Anti snoring belt

Anti snoring belt

Mbacho Massawe

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
304
Reaction score
248
anti snoring belt.
Kifaa hiki kimethibitishwa kliniki kuzuia kukoroma na kukufanya ulale kwa rahamu starehe. Kukupa afya bora kwa ujumla.
.

Maelezo:
Rangi:ipo ya Bluu na Nyeusi.
Kusafisha: fua kwa mikono na sabuni na maji ya uvugu vugu.

Kazi: Inafanya kazi kwa watu ambao hulala midomo wazi na kuwapelekea kukoroma.

Pia inawasaidia kulala usingizi mnono,kwa wale wenye Tabia ya Kusugua meno, pia Kama una matatizo ya Taya inasaidia kuweka taya zako vizuri.

Weka oda yako mapema. Mzigo tunauza kwa Bei ya punguzo kabisa na mzigo umebaki mchache. Jipatie kifaa hichi kwa Tsh 15000/=

Mawasiliano: 0742645242
1595530738589.jpg
1595530745385.jpg
 
Hivi unajua starehe ya usingizi wa kukoroma kwa mlalaji? Kero labda anapata unayelala naye ila anayekoroma anastareheka balaa. Hayo madubwana yako hayana nafasi afrika, labda ulaya huko ambako mtu anaweza shtakiwa kwa kupiga mikoromo.
 
Hahahaha umenifurahisha Sana mkuu. Yanaweza kukosa tuu maana kwako kwa wengine yakawa dili boss
 
Biashara Kwasasa Hivi Nadhani Ni Nyingi Sana
Sikujua Mpaka Kulala Unajifunga Koo Ili Usikorome
Nashauri Iwapo Unahitaji Hiyo Kitu Shona
Kama Tulivyofanya Barakoa Wakati Wa COVID 19
 
Back
Top Bottom