Fahamu aina za bearing, oil seal na fan belts

Jopelo John

JF-Expert Member
Aug 17, 2018
260
225
Nawatangazia fursa ya biashara kwa wamiliki wa viwanda, wamiliki wa malori na magari na wafanyabiashara wote na taasisi na kampuni mbali mbali nchini Tanzania.
Tunauza bearings, Oil seals na fan belts.

Simu- 0686-168624 , 0737-017866. tupo dar es salaam, tunakuletea mzigo popote pale ulipo.
wadau wa mikoani tunasafirisha mzigo.

Maelezo kwa ufupi:

Bearings;
Aina za Bearings;
1) Deep groove ball bearing, 2) Spherical roller bearing, 3) Needle roller bearings, 4) Thrust ball bearing
5) Tapper roller bearings 6) Plumber block bearings 7) Cylindrical roller bearings
8) Miniature bearings 9) wheel bearings 10) bush bearings 11) ac compressor bearings.

Oil seals
Aina za Oil seals
1) Shaft seals 2) V seals 3) Rubber fabric seals
kwa mimi nimeamua kutaja aina hizi 3 kwasababu ndio zina soko kubwa hapa tanzania, aina zingine wadau wanaweza kunisaidia.

Belts (Mikanda)
Aina za belts
zipo A,B,C,D,E, SPA,SPB,SPC,XPA,XPB,XPC. kwa A,B na C ni plain type, kwenye A ina urefu wa mita 12.5 mm. B. ni 17 mm na C ni 22 mm. D na E ni heavy duty type. D ina urefu wa 32mm na E ni 50 mm. SPA Mpaka SPZ ina maanisha upana wa mkanda unaongezeka. X maana yake mkanda una meno.

Kitu muhimu kwa mteja anayenunua vitu hivi mara kwa mara anatakiwa ajue part number ya sample yake. akitoa part number inakuwa rahisi kwetu kucheki bei kwenye system yetu na kumpatia bei. kama part number imefutika alete sample ili sisi tupime tujue vipimo vyake ili tumpatie bei.

ni ngumu sana kuweka price list ya spea hapa kwenye uzi huu kwasababu tuna spea za size 1000 tofauti tofauti. sasa sidhani kama wadau watakuwa na muda wa kusoma bei za spea 1000.
Njia rahisi, kama una part number ya sample nipigie simu ntakupa bei.

Kwa wadau wa mikoani tunasafirisha. Simu- 0686-168624 , 0737-017866.
IMG_20190821_082912.jpg
IMG_20190821_165510.jpg
IMG_20190820_170227.jpg
IMG_20190821_082602.jpg
IMG_20190821_082553.jpg
IMG_20190820_172614.jpg
IMG_20190820_172606.jpg
IMG_20190826_164813.jpg
IMG_20190820_162835.jpg
IMG_20190821_104434.jpg
pillow-block-bearings-all-types-500x500.jpg
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
48,950
2,000
FMS control panel naweza kupata kwa kiasi gani kwa ajili ya kazi za TRS?
 

Jopelo John

JF-Expert Member
Aug 17, 2018
260
225
Una bearing za kwenye meli au boat.
OK mkuu ,
kwa boat na meli tuna supply bearings inategemea matumizi ya wapi, kwa mfano

bearings za propeller shafts (boat and ships)
sasa kwa hizi inategemea na ukubwa wa bearing, kama ni size kubwa inahitajika hizo hatuna kwasababu demand yake sio kubwa na hii mara nyingi wamiliki wa meli wananunua huko huko ughaibuni.

bearings za rudder hii nayo inategemea na size na aina ya bearing inayotumika.

Boat trailer bearings hizi tunazo kwa size mbali mbali
 
Top Bottom