Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Pamoja na uongo wako mrefu sana uliojaa mapovu mengi mithili ya mgonjwa wa kifafa , sasa rudi kwenye hoja , Dunia inaomba kujua FAIDA ALIZOPATA DIALLO KWA UONGO ULE WA KARNE ALIOUFANYA .
FAIDA NI KWAMBA ALIZUIA MAFISADI WASIENDE IKULU. FULL STOP
 
Lini lowasa alifukuzwa na bunge??? Yaani hata facts za unayemuita fisadi huzijui haya bado tena unaendeleza ujinga wako eti slaa katimuliwa una barua inayoonyesha slaa kusimamishwa kazi???? Hivi unapata nini unavyoleta uongo hapa yaani hta historia ya siasa za Tanzania huzijui no wonder upo CCM maana kwa reasoning hii naelewa kwanni Tanzania ni kati ya nchi 30 maskini zaidi duniani

Shame on u maccm......
BUNGE LILIMTAKA AJIPIME KAMA KWA KUHUSIKA KWAKE NA RICHMOND ANAFAA KUENDELEA KUWA PM. AKONA ATAAIBIKA AKIONDOLEWA KWA AZIMIO LA BUNGE. AKAACHIA NGAZI. DR SLAA ALIFUKUZWA NA CHADEMA WALIPOINGIA KWENYE UNAFIKI WA KUMLETA MTU WALIYEMTANGAZA FISADI AGOMBEE UCHAGUZI KUPITIA UKAWA. MWENYE AKILI AKAJUA AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA. AKAWAACHA NDUMAKUWILI MUENDELEE
 
Sasa nani hapo alitimuliwa???? Hayo ya kutimuliwa ndio nataka uthibitishe sio hearsay eti "aliona angedhalilishwa...." kana kwamb we mke wake alikwambia chumbani. Haya bado unadanganya te cjui eti chadema walimleta lowasa eti slaaa akasusa wakati hta slaa alikiri yye ndio alihusika kumleta lowasa chadema kupitia mshenga gwajima ssa hayo ya dr slaa kutimuliwa yanatoka wapi?? Narudia tena best ya dr slaa mshenga gwajima na john mnyika walisema wazi kuwa aliyesababisha slaa aondoke ni mke wake sasa www ni nani umjue slaa kuliko mnyika na mshenga gwajima???? Na facts waliweka??

Shame on u empty mind
 
Ha! Ha! Ha!
 
FAIDA NI KWAMBA ALIZUIA MAFISADI WASIENDE IKULU. FULL STOP
Kwahiyo alizuia fisadi wakati yeye naye ni fisadi?? Ina maana wakati anampigia kampeni magufuli alikuwa amelipa kodi zake zote??? Kma je deni lilikuwepo toka enzi hizo za kampeni ni kweli tukisema ccm inafadhiliwa na mafisadi????

Ukweli huwa unatabia ya kujificha ila with time unakuwaga dhahiri
 
Sasa nani hapo alitimuliwa???? Hayo ya kutimuliwa ndio nataka uthibitishe sio hearsay eti "aliona angedhalilishwa...." kana kwamb we mke wake alikwambia chumbani. Haya bado unadanganya te cjui eti chadema walimleta lowasa eti slaaa akasusa wakati hta slaa alikiri yye ndio alihusika kumleta lowasa chadema kupitia mshenga gwajima ssa hayo ya dr slaa kutimuliwa yanatoka wapi?? Narudia tena best ya dr slaa mshenga gwajima na john mnyika walisema wazi kuwa aliyesababisha slaa aondoke ni mke wake sasa www ni nani umjue slaa kuliko mnyika na mshenga gwajima???? Na facts waliweka??

Shame on u empty mind
Kwa akili yako ndogo Unataka kusema alistaafu?
 
Muuulize baba yako atakuambia.
Sina ndugu wa direct ccm mimi wote nlishawapaga elimu ya uraia na wote walipiga kura kwa mara ya kwanza 2015 ili kuifuta ccm hivyo wote hao wanaamini katika mabadiliko nje ya CCM!! so sina baba anayeshabikia lichama chakavu lenu
 
Kwa akili yako ndogo Unataka kusema alistaafu?
Gangonine: lowasa alifukuzwa
Gangonine: slaa alifukuzwa

FACTS
Slaa alijiuzuru
Lowasa alijiuzuru

Kajifunze kwanza historia ya siasa za bongo ndio urudi sio unapotosha watanzania hapa kumbe huna lolote unalojua shame on u
 
Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!
Nyerere alipewa nchi kwa uzoefu alioutoa wapi!?!? Unapokuwa baba wa familia uzoefu unautoa wapi!?!?

....acha kutumia matako kufikilia kaka.....

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama walivyokuwa watu wa kaskazini kwa kuangalia ITV pekee. Star Tv ilitimiza wajibu wake kwa kutuhabarisha tukae mbali na genge la watu waliokuwa hawataki kingine chochote zaidi ya madaraka. CDM kama vile Essau wa kwenye biblia walikuwa tayari kuuza uadilifu wao wa awali wa chama chao kwa fikira kwamba tajiri mpya angewapeleka ikulu. Kama Magufuli atashindwa kutimiza wajibu wake itakuwa ni juu yake lakini otherwise Star tv walifanya vizuri.
Hayo malengo unesema wewe ila jamaa yeye alitumia ccm kama kichaka cha kujifichia wahujumu nchi kama ilivyokuwa imezoeleka!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Tungejitahidi kuelekeza akili na nguvu zetu ktk kujenga nchi pia kutafuta maendeleo BINAFSI, mbona uchaguzi umeshapita aliyepata kapata ,tukiendelea kuhoji nani kapata nini ,tutaishia kupata MAONO,hatimaye tutaenda KUTUNZWA NA MAKAKA WAZOEFU WA KISONGO!
Hoja mufu kabsa kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na vyombo Vya habari katika nyanja kuhabarisha mienendo ya serikali na mambo mengine yafananayo!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati mtu anajisikia furaha kutoa kile alichonacho kwa ajili ya kufurahisha kundi Fulani la watu kama afanyavyo Mengi kwa walemavu na makundi mengine (altruistic motive). Ni sawa na watoa damu hawategemei malipo

Lakini kuna watu wanatoa kwa lengo la kuonekana na watawala kwamba Fulani anajitolea ingawa wanapenda kuonekana lakini hawahitaji chochote kutoka kwa watawala.

Kuna watu wanajitolea kwa sababu siku za nyuma kuna watu walijitolea kumsaidia hivyo kama sehemu ya kulipa fadhila nae hujitolea kwa wengine

Kuna watu wanajitolea kwa lengo la kunufaika na kile walichokitoa na huwa wanataka kikubwa kuliko walichotoa (lobbyist) na kundi hili ni kubwa kuliko hayo niliyotajwa hapo juu. Nenda bar wanaume 90% akimnunulia mhudumu... atataka refund in kind.

Mwisho kuna kundi linataka kujitolea ili asifiwe, atukuzwe aonekane na hawa hupenda kutoa na kulipia hata airtime waonekane na watu wawasifie.

Je waliosaidia CCM kwenye uchaguzi uliopita wapo Kundi gani kati ya hayo? Mzee wetu yupo Kundi gani?
Kundi la 90% exactly!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom