Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,467
Huyu jamaa ni mwana CCM kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii, anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaCCM mwenzake Reginald Mengi.

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji, kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa CCM tu na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria, vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni CCM pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI (maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60, hivyo hawataweza kwa miaka mitano) ALILENGA KUPATA NINI?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada, hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana!
 
Nafikiri Diallo atakuwa mwenye furaha iliyopea maana mgombea wake ndiye aliyeibuka mshindi. Haiyumkini hiyo ni faida (ROI) ya kujivunia.
 
Nafikiri Diallo atakuwa mwenye furaha iliyopea maana mgombea wake ndiye aliyeibuka mshindi. Haiyumkini hiyo ni faida (ROI) ya kujivunia.
Kwa binadamu yeyote ni lazima awe na aibu, hasa baada ya yale aliyoshiriki kuaminisha jamii kwamba chini ya mgombea wake yangefanikiwa lakini yakafeli vibaya sana! Hakuna amani Mwanza.
 
Kwa binadamu yeyote ni lazima awe na aibu, hasa baada ya yale aliyoshiriki kuaminisha jamii kwamba chini ya mgombea wake yangefanikiwa lakini yakafeli vibaya sana! Hakuna amani Mwanza.

Unfortunately, Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
 
Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
Hivi unawezaje kuwa na amani wakati wale ulioshiriki kuwadanganya wanapigwa mabomu kila siku ?
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Si keshafulia huyu jamaa,anaendesha office km nyumba ya traffic.Traffice anaweza chmoa hela bil amahesabu akatoa tuu,au akaamua chakula iwekwe njiani akiwa hana hela. Huyu jamaa kila kodi inamhusu, umiliki wa rasilimali watu nao ni shida,king`amuzi chake ni taabu, vipindi vya star tv ni vya hovyo km futuhi yao. Ndio walikuwa wanadhani anaweza shindana na ITV wakaanzisha ziara ktk media.Walipoona makada wanazimika, wakaja na mpya wamekubali kulipa sijui TCRA,baadae tena wamekubali kulipa kodi TRA.
 
Mi nadhani tumwache tu maana tukianza kumsema sema hivi asije akapata teuzi kwa kuonewa huruma
 
Hivi unawezaje kuwa na amani wakati wale ulioshiriki kuwadanganya wanapigwa mabomu kila siku ?

Kwani "determinants" za amani ni zipi?

Kwani "determinants" hizi ndizo zinaleta amani ya moyo ama kuna "determinants" zinginezo?
 
Back
Top Bottom