moshathedoniaa
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 201
- 338
Mimi advance nimesoma KLFKama una ubongo mdogo tulia...
Kwanza advance umesoma masomo gan...
Kama mti wa history na kiswahili kaa mbali sawa...
Mimi advance nimesoma KLFKama una ubongo mdogo tulia...
Kwanza advance umesoma masomo gan...
Kama mti wa history na kiswahili kaa mbali sawa...
Tuiite through the wormhole with dosho12Weee jamaa nilikua nakuchukulia poa poa tuu kumbe una hatareee...
Sasa mkuu hapo kwenye quantum worlds nataka kuelewa zaidi na zaidi ...
Huwenda hata sisi tukawa tupo kwenye quantum worlds...?
Je hiyo quantum worlds haiwezi kuwa affected na matendo yetu.
Mfano ukawa mdogo mpaka kuweza kuingia kwenye kikombe...
Then ukawa mdogo zaidi ya virus nahisi hapo utakua upo kwenye hyo inaitwa quantum worlds...
Hiko kikombe kikajazwa maji what happen......
SAfi mkuu, unajua unachokiongea....lakini directors wa wenzetu wako vzuri sana yani ni muvi lakini kuna uhalisia flani na maisha yetu....hapa huwa wanatisha sanaaNipo kwenye Dimension nyingine 😁
Wenzetu wanafanya research kwanza kabla ya kutoa movie zao, mtu unaenjoy story na unapata elimu kidogo, na wanafanya mtu unaanza kuipenda sayansiSAfi mkuu, unajua unachokiongea....lakini directors wa wenzetu wako vzuri sana yani ni muvi lakini kuna uhalisia flani na maisha yetu....hapa huwa wanatisha sanaa
Kiswahili Language na FranceMimi advance nimesoma KLF
😁😁Kiswahili Language na France
Ahahahaha huku kimbia aiseee huwezi toboa
Nini kina-determine kusimama kwa muda katika hiyo nadhari? Je, Kila kitu hubaki katika nafasi ileile pasipo kusogea hata kidogo au shughuli zinakuwa zinaendelea kama kawaida?Duh ! Hapo sijui mi pia huwa nawaza hivyo ila mwisho wa siku hzo huwa zinabaki concept tu, labda hatazeeka ataishi milele, mfano ulimwengu alikuwepo mungu sidhani kama yeye anatime huenda itakuwa kama hivyo, labda milele ndio inamaanisha muda kusimama kabisa.
Katika nadharia hiyo wanasemaje uwepo wa viumbe hai kama mimea, wanyama na binadamu? Je, watu hutokea Ulimwenguni kwanza katika Tukio la Kifo Chao na wakiishi wakirudi nyuma mpaka mpaka utungo wa mimba zao?Inversion machine kwenye TENET zinafanya dhana ya muda kuwa reverse au kuwa katika mzunguko "cyclical/non-linear/causal loop", hali hii inaibua retrocausality ambapo "matokeo hutangulia visababishi katika mzunguko" yaani "effects precedes cause", hili hupelekea kuwe na muingiliano wa matukio kwenye mzunguko mfano: silaha zilizotengenezwa future kutumika currently, pia inaelezea nadharia ya superposition "double slit" yaani unaweza kuwa una-exist pale "future" na hapa "present" kwa wakati mmoja japo wewe ni nafsi moja (mfano sarafu kuwa na upande wa kichwa na upande mkia)
TENET ni quantum realm na ni sci-fi: si maisha halisi kwenye macro-world ambapo muda ni linear: yaani muda huenda mbele tu haurudi nyuma "upo kwenye mstari mnyoofu" mfano miaka: 2025, 2026, 2027 na +, lakini pia si maisha halisi ambayo kanuni ya linear causality ni msingi unaoamuru mipangilio ya mambo "hakuna matokeo yasiyo na sababu: cause -> effect na si kinyume chake", mfano: MELO -> JF
zinaendelea kama kawaida ila labda hakuna kuzama na kuchomoza kwa jua maana kama ni usiku ni usiku tuu au mchana ni mchana tu maisha yote, kwa mtazamo wanguNini kina-determine kusimama kwa muda katika hiyo nadhari? Je, Kila kitu hubaki katika nafasi ileile pasipo kusogea hata kidogo au shughuli zinakuwa zinaendelea kama kawaida?