Ant-Man and the Wasp: Quantumania....

Ant-Man and the Wasp: Quantumania....

Inversion machine kwenye TENET zinafanya dhana ya muda kuwa reverse au kuwa katika mzunguko "cyclical/non-linear/causal loop", hali hii inaibua retrocausality ambapo "matokeo hutangulia kisababishi katika mzunguko" yaani "effects precedes cause", hali hii inapelekea kuwe na muingiliano wa matukio kwenye mzunguko mfano: silaha zilizotengenezwa future kutumika currently, pia inaelezea nadharia ya superposition "double slit" yaani unaweza kuwa una-exist pale "future" na hapa "present" kwa wakati mmoja japo wewe ni nafsi moja (mfano sarafu kuwa na upande wa kichwa na upande mkia)

TENET ni quantum realm na ni sci-fi: si maisha halisi kwenye macro-world ambapo muda ni linear: yaani muda huenda mbele tu haurudi nyuma "upo kwenye mstari mnyoofu" mfano miaka: 2025, 2026, 2027 na +, lakini pia si maisha halisi ambayo kanuni ya linear causality ni msingi unaoamuru mipangilio ya mambo "hakuna matokeo yasiyo na sababu: cause -> effect na si kinyume chake", mfano: MELO -> JF
cha kushangaza timeline inaenda vile vile hakuna kubadilisha kitu yani kama kitu flani kilipangwa kitokeee lazima kitokee hata ufanye nini, mfano ilikuwa ni lazima yule msichana apigwe na inverted bullet ili waende kwenye ile gallery kumsaidia na wakutana na another yeye, sababu alishakutana naye,

Mi nahisi hata maisha yetu yapo hivi hakuna future wala past bali ni present maana kwa anaye angalia nje ya timeline anaona kila kitu kwa wakati mmoja
 
Yes what happens, happens, the interference pattern changes nothing, everything unfolds within one coherent timeline "a causal loop"
 
Vipi kuhusu hizi movie mnaweza dadavua kidogo.
1. Source code
2. Predestination
3. Edge of tomorrow
1. Source code nimeiona kitambo sana nimesahau matukio yake mengi ila inahusisha mambo ya tech.
2. Predestination sijawahi kuiona
3. Naweza kuelezea edge of tomorrow
 
Mafeking ‎zote movie ya edge of tomorrow na source code zinahusisha time loop ambapo kutokana na Einstein General relativity kuna kitu kinaitwa a closed timelike curve (CTC) ambapo ni njia ya kinadharia inayo mfanya mtu kurudi kwenye sehemu alipoanzia hivyo kutengeneza time loop, ni condition ambayo ina twist au kukunja space time ila mara nyingi hutokea karibu na black holes au kwenye ulimwengu unaozunguka,

‎Ila kutokana na movie ya Edge of tomorrow hiyo hali haipo ila kuna njia nyingine ambayo inahusisha particle ya kinadharia inayoitwa Tachyons, hii ni particle inasemekana ina kwenda speed zaidi ya mwanga hivyo inaweza kwenda na kurudi mbele ya muda bila shida hivyo kwenye movie vita ya kwanza cage alipigana na wale mimic alpha wao na kufanikiwa kuliua ila anadondokea na damu yake ambayo imechanganya na particle za tachyons wanazotumia wao kama silaha ya ku rudi kila wanapo kufa hivyo inamfanya cage kuunganishwa na ufahamu wa hao Alpha mimic hivyo kuweza kurudi nyuma kwenye sehemu ya mwanzo kila anapo kufa,
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri,
Nakushauri icheki na predestination

Movie za sayansi nyingi huwa zinaongeza chumvi ili kuvutia soko as usual ile ni biashara sio so mbwembwe za hapa na pale lazima ziwepo!, si mbaya maana ni burudani!. ila si movie zote zina haya mambo nyengine baadhi hujitahidi kuigiza uhalisia.

kuhusu muda sidhani kama watu wanauangalia kama ninavyouangalia mpaka kuna muda huwa najiuliza "kwanini wengine huwa wanafikiria kuwa muda unaenda mbele na kurudi nyuma...?!!"
kivipi mnawaza mtu anaweza kurudi nyuma mpaka akaona past..?

Binafsi swala la kurudi nyuma ya wakati naona haliwezekani!, sidhani kama ulimwengu unasheria ya hivyo kwani muda ni stillness ya space na sisi ndio tunaotumia space ku exist sasa yale mabadiriko yetu kwenye space pamoja na bongo zetu ktk kunakili mambo hapo ndipo kuna kuja effect ya past na future!, hata ukiangalia nadharia ya Einstein ukiweza kutembea kwa kasi ya mwanga sio kwamba utaweza kurudi past bali ni utadhorotesha muda!.

Hii tafsiri yake ni hii utadhorotesha zile process za ukuaji wako tu na wala sio kwamba utai affect space moja kwa moja!.
nafikiri naweza kugusia hivyo tu kwa uchache..
 
Binafsi swala la kurudi nyuma ya wakati naona haliwezekani!, sidhani kama ulimwengu unasheria ya hivyo kwani muda ni stillness ya space na sisi ndio tunaotumia space ku exist sasa yale mabadiriko yetu kwenye space pamoja na bongo zetu ktk kunakili mambo hapo ndipo kuna kuja effect ya past na future!, hata ukiangalia nadharia ya Einstein ukiweza kutembea kwa kasi ya mwanga sio kwamba utaweza kurudi past bali ni utadhorotesha muda!.
Ni kweli hii ni huwa idea tu za sayansi fiction ila huenda kwenda kasi zaidi ya mwanga kuna tengeneza an artifical wormholes ambayo inamfanya mtu kuweza kurudi nyuma sababu wormholes zinaunganisha spacetime
 
ni kivipi unaweza kurudi nyuma ya wakati...?
Yani space time imetengenezwa na fabric ambayo wanaita the fabric of spacetime na kwa sasa wanahisi hzo fabric zimeunganishwa na wormholes ndogo kupitia Quantum entanglement, hivyo huenda kwenda spidi zaidi ya mwanga kiasi cha energy inayotakiwa ni the same na kiasi cha energy inayatikiwa kutengeneza temporally artificial wormholes ambazo zitakufanya upate access ya fabric ya spacetime kuweza kukurudisha nyuma, sababu Time tuseme ni kama mstari unatoka point B kwenda C ( A➖B➖C ) na spacetime inazishikilia huo mstari hivyo wormhole inatengeza njia ya kurudi point A,
 
Mh! mkuu hichi kitu ni nadharia tu mi sidhani kama kuna kitu kama hicho, hii inakuwa kama space ni mkanda wa movie yani uweze kwenda mbele nakurudi nyuma!.
kwenda mbele ndio kitu inawezekana lakini sio kwa kudoji muda ni vile tu ukiweza kustopisha ukuaji wako ila sio kwamba muda umepita ni wewe umestop kukua!.

yaani kiufupi naweza kusema ni kama kuweka nyanya kwenye friji katika mazingira ya kawaida ingeweza kuharibika kwa muda mfupi ila kwasababu ulistopisha zile process zake kwa kuiweka kwenye friji basi imeweza kukaa wiki kadhaa!. basi hivyohivyo ndivyo inaweza kufanya kazi.

Katika kitu nahisi kimekuja kuvuruga watu ni namna yakutafsiri hizi sheria fiction zimekuwa nyingi na mapendekezo ya binadamu anataka kusikia nini pasipo kujali uhalisia!.
Hizo wormhole hazikengeuki na nature ati zikurudishe nyuma nafikiri hata vitu vinavyopatikana kwenye space yenyewe lazima vitakuwa na limit ya speed!, lazima kutakuwa na constant speed ya vitu vyote visiweze kuvuka hapo!.

Usiufikirie muda kama kitu kinachopita huo sio uhalisia, uhalisia ni action zako ndio zinapita na hii illusion inatengenezwa na ubongo wako yani yaliyopita utayaita past na yanayokuja yatakuwa future ila katika uhalisia haya yote yanatokea katika wakati mmoja!.
Nafikiri namna tunavyo experience space ni tofauti na uhalisia na ndio maana kuna vitu tunavifikiria tofauti na uhalisia!. hizo zitaendelea kuwa ni fiction tu mkuu kaa chini utafakari vyema unazoezi lakufanya kwenye kuuelewa muda na ukitaka kuuelewa muda futa kila kitu kwenye space halafu jiweke wewe pekee then discuss muda ni nini...!
 
Time ni kama Movement ya screenshot ambazo zinatengenezwa na matukio yako kila sekunde inayopita unafanya tukio na unatengeneza screenshot mpya hivyo unatengeneza timeline, sawa kwa observer ambaye yupo nje ya timeline ataweza kuona kila kitu kwa wakati mmoja, unavyozaliwa, unavyooa na kupata watoto mpaka unavyokufa ila haiondoa kuwa bado kuna moving timeline, ukisema time ni illusion vipi leo saa mbili asubuhi unahitaji vipi jumapili iliyopita itakuaje kama hakuna jana, na kesho matukio yaliyopita utayaweka kwenye kundi lipi ? Yalifanyika lini, huwezi kuondoa space kwenye maisha sababu kila kitu kipo kwenye space na space na time vyote vimeungana kila kinachotokea kwenye space lazima kuna kitu kitatokea kwenye time

Hivyo kama time ni movement za screenshot inatengeneza timeline hivyo kama kuna timeline unaweza ku jump kwenye point moja kwenda nyingine kutengeneza kutengeneza future, na kurudi nyuma ya muda ki nadharia inawezekana tokana na General relativity, pia kama ingekuwepo na teknolojia na energy ya kutosha inawezekana ki nadharia
 
😃 Mh! mkuu past yako si kama inabaki kwenye space ama vipi na mimi sijatenganisha time na space najua vinaambatana kiufupi muda ndio space yenyewe!.
vitendo vinatokea kwenye space na sio kwamba kikishatokea basi baadae unaweza ukafanya kitu ukaja kuvirejelea nakuviona kwenye space hiyohiyo space sio kama mkanda ama CD ati inarekodi vitendo, mkuu kwenye space kila kitu kinatokea there's no past na haina future! kikitokea ndo kimetokea na kikimalizika ndo kimemalizika!.

umezungumzia muda wa saa sasa huko mkuu naona bado sana wewe kwenye kuuelewa muda kama utarudisha mjadala huu tuanze kuzungumzia muda wa saa itakuwa ni very primitive issue kwangu mimi...😅
 
umezungumzia muda wa saa sasa huko mkuu naona bado sana wewe kwenye kuuelewa muda kama utarudisha mjadala huu tuanze kuzungumzia muda wa saa itakuwa ni very primitive issue kwangu mimi...
Nahisi hujanielewa vizuri, sizungumzii muda kama saa bali nazungumzia muda kama timeline kuanzia mwanzo wa ulimwengu big bang, unaijua Cosmic microwave background radiation (CMB), inaonyesha stages za universe kuanzia kwenye big bang ikionyesha alama za radiation za baby galaxy, hivyo hyo kama sio rekodi ya timeline ni nini, unaijua Holographic principle inasema black holes ina contain information of the universe, ina maana taarifa zinaweza kurekodiwa kwa ajili ya matumizi ya baadae

Jaribu kutafuta vitu mkuu usiegemee sana kwenye conspiracy theory, Einstein na Theory ya general relativity inasema Time kama Physical Dimension sio Kama Illusion
 
Back
Top Bottom