Ant-Man and the Wasp: Quantumania....

Ant-Man and the Wasp: Quantumania....

Hii nahisi kwa kuwa kwenye singularity ndio laws za universe zinavunjika according to Einstein kwamba hata Time pia huwa unasimama pia nahisi kwa kuwa wanasema huenda kuna hzo wormholes ambazo ni unstable hazitabiriki kabisa
Hivi kama time itasimama.. inamaana huko hakuna kufa au...
Vipi kuhusu effect ya time kusimama kwa binadamu mkuu
 
Hivi kama time itasimama.. inamaana huko hakuna kufa au...
Vipi kuhusu effect ya time kusimama kwa binadamu mkuu
Duh ! Hapo sijui mi pia huwa nawaza hivyo ila mwisho wa siku hzo huwa zinabaki concept tu, labda hatazeeka ataishi milele, mfano ulimwengu alikuwepo mungu sidhani kama yeye anatime huenda itakuwa kama hivyo, labda milele ndio inamaanisha muda kusimama kabisa.
 
Kuna movie nyingine inaitwa Tenet ukipata muda itafute uicheki humo wameigiza muda una flow tofauti kabisa wametumia concept ya effect inaanza kisha inafata cause, pia muda una flow kinyume kwa watu wengine, nzuri sana ila inachanganya
Ile movie sikielewa kabisa mkuu maana niliona kama ipo ki studio sana aiseeee ila ngoja tuone nikaichek upya mkuu...

Ambayo nilifatilia mwanzo mwisho ni ile series ya the lost aiseee hataree sna
 
Duh ! Hapo sijui mi pia huwa nawaza hivyo ila mwisho wa siku hzo huwa zinabaki concept tu, labda hatazeeka ataishi milele, mfano ulimwengu alikuwepo mungu sidhani kama yeye anatime huenda itakuwa kama hivyo, labda milele ndio inamaanisha muda kusimama kabisa.
Ndo hapo inakujaga concept kuwa mungu ni energy..

mkuu naomba nielekeze kuhusu issue relativity ile ya Einstein
 
Kingine mkuu ni kwanini katika hizi ishu za astronomy wanatumia sana kipimo cha speed ya light na sio kama sisi huku duniani mambo ya km per hour
Labda kwa kuwa ni distance kubwa mno kama wakitumia kilometer itakuwa na namba kubwa hivyo wakaona ni simple kutumia light speed
Sasa kaka kwanini usiwe unaleta nyuzi kama hizi humu mpaka nakukuta kwa nyuzi za binti wa zamani kule.
😅😅 zipo ila sio nyingi huwa naangalia sana mada za kenzy na the coder jmaa wanajua tafuta thread zao
 
Labda kwa kuwa ni distance kubwa mno kama wakitumia kilometer itakuwa na namba kubwa hivyo wakaona ni simple kutumia light speed

😅😅 zipo ila sio nyingi huwa naangalia sana mada za kenzy na the coder jmaa wanajua tafuta thread zao
KENZY nafatilia sana nyuzi zake ...
Ila jamaa sometimes ukimkuta kwenye nyuzi za ajabu ajabu uwezi zania kabisa

Ngoja aje huyo the coder
 
huwa naangalia clip za prof Brian cox, Neil degrasse tyson, Brian Greene, michio kaku huwa wanazungumiz sana mambo ya comsmology hasa kwa kupita podcast za Joe rogan
Sijaelewa kitu hapo ahahahahha...
Sema ntaanza kutafuta maswali naleta hapa ili uwe una jibu kwa ifasaha maana kuna kipindi nataka kuanzisha cha haya mambo naimani ntapata watazanaji wengi tu
 
Sijaelewa kitu hapo ahahahahha...
Sema ntaanza kutafuta maswali naleta hapa ili uwe una jibu kwa ifasaha maana kuna kipindi nataka kuanzisha cha haya mambo naimani ntapata watazanaji wengi tu
Watazamaji wapo ila challenge huwa inakuja kwenye wachangiaji 😅, mi zilizovuka kidogo na kufika watazamaji wengi ni 1. Fahamu kuusu ndoto na ufahamu 2. Mzunguko halisi wa jua na sayari zinazolizunguka 3. Kubadilika kwa magnetic poles za dunia 4. Fahamu kuhusu dark oxygen
 
Vipi kuhusu majini unawa zungumziaje hao viumbe he ni kweli wapo au ni nadharia tu

Wanaishi wapi !? Mnaposema kuwa Kuna ulimwengu mwingine Huwa mnamaana ipi Yaani ni kwamba huo ulimwengu upo nje ya Dunia hii ama niaje !?
Watazamaji wapo ila challenge huwa inakuja kwenye wachangiaji 😅, mi zilizovuka kidogo na kufika watazamaji wengi ni 1. Fahamu kuusu ndoto na ufahamu 2. Mzunguko halisi wa jua na sayari zinazolizunguka 3. Kubadilika kwa magnetic poles za dunia 4. Fahamu kuhusu dark oxygen
 
Kuna movie nyingine inaitwa Tenet ukipata muda itafute uicheki humo wameigiza muda una flow tofauti kabisa wametumia concept ya effect inaanza kisha inafata cause, pia muda una flow kinyume kwa watu wengine, nzuri sana ila inachanganya
Yes walitumia dhana ya time loop "non-linear" na retrocausality kwenye quantum realm
 
Vipi kuhusu majini unawa zungumziaje hao viumbe he ni kweli wapo au ni nadharia tu
Kwa upande wa majini ni mfano nimetoa tu kwa maisha ya kawaida ila sio scientific accurate, nimeona kwa kuwa tunasikia wanaweza kuingia kwenye mwili wa mtu hivyo nikaona niwaweke mfano kama viumbe wa 4th dimension watavyokuwa
Wanaishi wapi !? Mnaposema kuwa Kuna ulimwengu mwingine Huwa mnamaana ipi Yaani ni kwamba huo ulimwengu upo nje ya Dunia hii ama niaje !?
Kwenye ulimwengu mwingine ni nadharia ila iliyo na ushahidi mkubwa, mfano ni hyo experiment ya double slit, pia kwenye parallel universe mfano ni superposition kwamba particle inaweza kuwa kwenye state mbili kwa wakati mmoja hivyo inawezekana kuwa sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja hiyo ikiwa ni kwa small scale hivyo inawezekana kuwa kwa large scale mfano wa dunia, pia ni wazo lilinajadiliwa tuko zamani enzo za wanasalfsa kama Atomist,

Kwa sasa Wanafanyia uchunguzi kwenye Lab ya CERN iliyopo Geneve Switzerland kwenye LHC kwa kugonganisha particle huku wakiangalia kiasi cha energy itayozalishwa baada ya mgongano huo kama watapata evidence ya energy toka kwenye quantum world
 
Mi kwenye ile movie ambacho sikuelewa ni zile mashine za ku reverse time na silaha kwamba zinatengenezwa future halafu wanazi stream present sikuelewa kiaje
Inversion machine kwenye TENET zinafanya dhana ya muda kuwa reverse au kuwa katika mzunguko "cyclical/non-linear/causal loop", hali hii inaibua retrocausality ambapo "matokeo hutangulia visababishi katika mzunguko" yaani "effects precedes cause", hili hupelekea kuwe na muingiliano wa matukio kwenye mzunguko mfano: silaha zilizotengenezwa future kutumika currently, pia inaelezea nadharia ya superposition "double slit" yaani unaweza kuwa una-exist pale "future" na hapa "present" kwa wakati mmoja japo wewe ni nafsi moja (mfano sarafu kuwa na upande wa kichwa na upande mkia)

TENET ni quantum realm na ni sci-fi: si maisha halisi kwenye macro-world ambapo muda ni linear: yaani muda huenda mbele tu haurudi nyuma "upo kwenye mstari mnyoofu" mfano miaka: 2025, 2026, 2027 na +, lakini pia si maisha halisi ambayo kanuni ya linear causality ni msingi unaoamuru mipangilio ya mambo "hakuna matokeo yasiyo na sababu: cause -> effect na si kinyume chake", mfano: MELO -> JF
 
Back
Top Bottom