Quantum mechanics inaelezea vitu vidogo zaidi kwenye ulimwengu wetu ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho kama molecules, atoms, sub atomic particles (electron, proton, neutron) , Kutokana na idea ya movie ni kuwa kwenye double slit method ambayo walirusha electron kwenye ukuta ambapo wanasayansi walitegemea kuona matokeo ya electron ziwe kama particles ila cha kushangaza zikaonekana zimetengeneza alama kama vile zipo mfumo wa waves, ina maana electron kwenye dunia yetu zinakuwa mfumo wa particles walijaribu kuzi monitor zinaonekana kama particles ila usipo zi monitor zinakuwa kama waves hivyo kwenye dunia yake (quantum world) zinakuwa mfumo wa waves , wanasayansi hawajui ni kwa nini ziwe kwenye mfumo wa waves hivyo wakaja interpretation zao kama vile Copenhagen, pilot wave, na nyingine nyingi ila kuna moja ambayo ndio inasifika sana inaitwa Many world interpretation, kwamba kuna dunia nyingi na ulimwengu mwingi ambao unaweza kuwa kama ulimwengu wetu pia sio lazima uwe mkubwa unaweza kuwa mdogo na kuwa kwenye ulimwengu wa quantum world.
Hivyo kwenye movie ant man na familia yake wanatengeneza machine ambayo inaweza kumfanya mtu na vitu vikawa vidogo zaidi kama subatomic particles na huko wanaenda kwenye ulimwengu wa quantum realm, wanakutana na viumbe wanaoishi humo,
Ila movie imefocus sana kwenye stori na sio sayansi sana sababu kwenye ulimwengu wa quantum realm laws za physics zipo tofauti sana na ulimwengu wetu, vitu kama muda, gravity vipo tofauti kabisa pia kuna vitu vyengine vya ajabu kama superposition ambapo vitu vinaweza kuwa sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja
Mi nimejaribu kuelezea quantum mechanics ninavyoelewa pia kutokana na movie ilivyo, ila kwa ujumla quantum mechanics haieleweki kabisa. Subiri ufafanuzi kwa wanaojua zaidi, Vitu kama Quantum tunneling, String theory, Quantum entanglement, Wave function, Heisenberg uncertnity, Energy Quantization, Superposition