Ant gravity

Ant gravity

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,635
Reaction score
89,398
Smooth-Criminal-michael-jackson-7446671-2200-1487.jpg
 
Inawezekana mkuu ila mpka leo sijaelewa, hadi nkajaribu ila wapi. Mwishoe nimeamua kuwaachia wenyewe tu
chini ya kiatu kunakuwa na uwazi fulani ambao unaruhusu kachuma fulani kupita na kujishikiza kachuma hako kanakuwa kameshikizwa chini ya stage/ubao so ukiwa umevaa hivyo viatu unaenda hapo kwenye hivyo vichuma and then unaingiza ktk hiyo sehemu ya viatu kisha unafanya yako,
ukitaka kucheki nenda youtube utaona
 
Back
Top Bottom