Ansbert Ngurumo: Baada ya movie ya Mo kuisha, Freeman Mbowe na John Heche imarisheni ulinzi wenu

Mboe atuambie kwa nini mlinzi wake kapotea na mwingine kafia gesti
Vyombo vyenu vya Uchunguzi vimeshindwa kubaini? Vifuteni kazi, CHADEMA Wala Mbowe Sii Dola kiasi Cha kutoguswa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya nchi hii. Tatizo Ni kuwa hilo nalo mlilicheza ninyi wenyewe kwa lengo la kummaliza Mbowe ila mkakosea script, mkageukana, mmeamua ku buy time mkitafakari namna ya kufanya. Mungu anawaona!
 
'...Leo yametoka maagizo mawil'..

Heshima yako bwana Ngurumo, pia pole kwa kuishi 'ukimbizini' maana ugeni si kitu chema.

Pia tunakushukuru kwa tahadhari hii juu ya raia wenzetu hawa.

Katika tahadhari yako hii ni vyema pia ukatusaidia Umma juu ya kadhia na fumbo hili la 'watu wasiojulikana'.

Kama umeweza kujua kuna maagizo haya basi tusaidie.

1. Ameyatoa nani?
2. Amepewa nani?
3. Atekeleze lini (kama walikuweka wazi).
4. Atekeleze vipi(kama ulifanikiwa kujua).

Hili litatusaidia sana kuweza kujua hata ndugu zetu kina Saanane, Azory, Roma, nao walitekwa na kina nani. Hii itakata kiu ya jamii na kuwa na tahadhari ya watu hawa na mfumo mzima wa masuala haya.
 
nawaomba viongozi wa upinzani jilindeni kwanza kabla ya kutembea na ulinzi wa polisi. bahati nzuri kamanda siro ameruhusu watu kumiliki silaha kisheria mkivamiwa msiwe wapole zipigwe kwanza. tukio la lissu upinzani hamkujipanga vizuri mlipaswa mweke cover.
 
Back
Top Bottom