Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Jamaa unapenda kiki ila kiki haikupendi.
Labda na yeye tumuulize hayo maelezo yametoka kwa nani
Umechelewa pole sana jaribu uzi mwingineNgoja nikae page yakwanza leo watu wailaiki komenti yangu.
God forbid..!
Viongozi wote wa upinzani wawe waangalifu maana wame stage huo utekaji ili wakimteka kiongozi wa upinzani waseme ni kawaida tu mbona hata mo alitekwa
hahahahUmechelewa pole sana jaribu uzi mwingine
Viongozi wote wa upinzani wawe waangalifu maana wame stage huo utekaji ili wakimteka kiongozi wa upinzani waseme ni kawaida tu mbona hata mo alitekwa