Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance

Nikupe faida kidogo japo unatakiwa kujishughulisha kusoma kuliko kuabudu watu kibubusa ...uwazi umesaidia viongozi katika halmshauri zetu kuandaa na kuweka taratibu za fedha vizuri..angalia kila mwaka halmashauri zenye audit query zimeanza kupungua kwakuwa wananchi sasa kupitia madiwani wao wanakuwa na nguvu (evidence) za kuwashughulikia viongozi kutoka kwenye CAG report

Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...

Kumbuka kuwa wakati Dr. W. P. Slaa akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa ndiyo wakati huo madudu mengi kwenye Halmashauri yaligunduliwa na halmashauri nyingi zikaanza kuwa makini katika matumizi ya fedha za Serikali.

Kwa upande wa kauli yako kuwa mafisadi wengi Serikalini ni Wakatoliki naona kauli yako imekaa kimajungu zaidi, imekosa mashiko na ni ya uchochezi zaidi.
 
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...

JK, Rostam nao ni wakatoliki eh??
 
Ansbert, kama ni kwenye ngumi basi hii umepiga kwenye pua! Kudos!

Mchango wangu...............

Kuna watu wachache (lazima niongeze kwa haraka "wachache mno") ambao wanajiita "Waislamu" humu JF lakini maneno na matendo yao yanauaibisha sana na kuushushia hadhi mno Uislamu.

Familia yangu ni ya mchanganyiko wa Wakristo na Waislamu, kwa hiyo nazijua vizuri sana values za Islam kwani nimekulia humo humo pamoja na huu Ukristo wangu.
Uislam unakatakaza rushwa, hauna ubinafsi, hauna uroho, hauna uvivu, hauna uropokaji, hauna kujitukuza, hauna kupenda makuu. Hauna uchafu huu hata kidogo!

Sasa hawa "Waislam" wa hapa JF ambao JK akipewa kibano inakuwa nongwa eti tu kwa sababu ni Mwislamu wanajitambulishaje??

Hao si Waislamu. Nani atapinga kwa ushahidi nikisema kuwa hao "Waislam impostors" wa hapa JF ndio akina Mukama? Kingunge? Chiligati? Membe? Kombani?

Nani anaweza akanipinga kwa ushahidi nikisema hapa kuwa Malaria Sugu ndiye Chiligati?

Nani???!!

CCM wanakaribia kwenye kibao kilichoandikwa "EXIT".
Ndugu zangu, Waislamu kwa Wakristo, watch your step... CCM inatafuta wa kufa naye!!
 
Ansbert Ngurumo amesema kweli!!! Nyerere alisema Ikulu ni mahala patakatifu, si pa kukimbilia. JK kakimbilia kupigiwa saluti na ving'ora. Ni mtu asiyekuwa na Vision. Huwezi kuendesha nchi kwa Ilani bila kuwa na Vision😛ound:
 
Ansbert, kama ni kwenye ngumi basi hii umepiga kwenye pua! Kudos!

Mchango wangu...............

Kuna watu wachache (lazima niongeze kwa haraka "wachache mno") ambao wanajiita "Waislamu" humu JF lakini maneno na matendo yao yanauaibisha sana na kuushushia hadhi mno Uislamu.

Familia yangu ni ya mchanganyiko wa Wakristo na Waislamu, kwa hiyo nazijua vizuri sana values za Islam kwani nimekulia humo humo pamoja na huu Ukristo wangu.
Uislam unakatakaza rushwa, hauna ubinafsi, hauna uroho, hauna uvivu, hauna uropokaji, hauna kujitukuza, hauna kupenda makuu. Hauna uchafu huu hata kidogo!

Sasa hawa "Waislam" wa hapa JF ambao JK akipewa kibano inakuwa nongwa eti tu kwa sababu ni Mwislamu wanajitambulishaje??

Hao si Waislamu. Nani atapinga kwa ushahidi nikisema kuwa hao "Waislam impostors" wa hapa JF ndio akina Mukama? Kingunge? Chiligati? Membe? Kombani?

Nani anaweza akanipinga kwa ushahidi nikisema hapa kuwa Malaria Sugu ndiye Chiligati?

Nani???!!

CCM wanakaribia kwenye kibao kilichoandikwa "EXIT".
Ndugu zangu, Waislamu kwa Wakristo, watch your step... CCM inatafuta wa kufa naye!!

Maneno mazito sana haya! Nadhani Topical atasoma hili
 
Gurumo bigup waeleweshe hawa wenye magamba kwenye bongo zao,alea alea kana ka nsungu mwelu...................
 
duh hapa kweli Ngurumo ume enda LIVE na mkuu . Ila najua siku nyingi mkuu anazijua makala zako na huwa hasomi bali huuliza wamweleze umesema nini basi wanamdanganya humo humo maana anaogopa kusoma na kukutana na maswali magumu
 
Sasa huyu jamaa kwa nini anafanya kazi kwenye magazeti ya vyama (Tanzania Daima na Uhuru), si aende kwenye gazeti la Taifa, MwanaHalisi. Mimi ndo gazeti ninalonunuaga na sikutegemea kukuta taarifa ya Kiataifa huku. Naomba Saed Kubenea either mkodishe au amuajiri kabisa ili makala hizi tuzipate kwenye gazeti la Taifa, MwanaHALISI.
 
pumba hizo!! ulitakiwa useme aandikie gazeti lenye sera ya kusema ukweli.. call a spade a spade... sijaona kama amepotea kuandikia Tanzania daima
 
Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...

sikujua kama humu kuna watu short sighted kiasi hichi!!
 
pumba hizo!! ulitakiwa useme aandikie gazeti lenye sera ya kusema ukweli.. call a spade a spade... sijaona kama amepotea kuandikia Tanzania daima
Haya upi mchele sasa kununua na kusoma Tanzania Daima. Watu wengine bwana. Sasa nani asiyejua kwamba MwanaHALISI ndo gazeti ambalo kwa kiasi fulani haliko bias na siasa za vyama. Kama ulikuwa hujui, Tanzania Daima ni CDM na Uhuru ni CCM. Siwezi kuyanunua hayo magazeti kwa vyovyote vile.
 
Nadhani ni sababu za kiuchumi! Ukosoma habari yeyeote gazetini changanya na uelewa wako!
 
Ansbert, kama ni kwenye ngumi basi hii umepiga kwenye pua! Kudos!

Mchango wangu...............

Kuna watu wachache (lazima niongeze kwa haraka "wachache mno") ambao wanajiita "Waislamu" humu JF lakini maneno na matendo yao yanauaibisha sana na kuushushia hadhi mno Uislamu.

Familia yangu ni ya mchanganyiko wa Wakristo na Waislamu, kwa hiyo nazijua vizuri sana values za Islam kwani nimekulia humo humo pamoja na huu Ukristo wangu.
Uislam unakatakaza rushwa, hauna ubinafsi, hauna uroho, hauna uvivu, hauna uropokaji, hauna kujitukuza, hauna kupenda makuu. Hauna uchafu huu hata kidogo!

Sasa hawa "Waislam" wa hapa JF ambao JK akipewa kibano inakuwa nongwa eti tu kwa sababu ni Mwislamu wanajitambulishaje??

Hao si Waislamu. Nani atapinga kwa ushahidi nikisema kuwa hao "Waislam impostors" wa hapa JF ndio akina Mukama? Kingunge? Chiligati? Membe? Kombani?

Nani anaweza akanipinga kwa ushahidi nikisema hapa kuwa Malaria Sugu ndiye Chiligati?

Nani???!!

CCM wanakaribia kwenye kibao kilichoandikwa "EXIT".
Ndugu zangu, Waislamu kwa Wakristo, watch your step... CCM inatafuta wa kufa naye!!
Well said mkuu.
Wanaoiginza udini katika mjadala huu wana nia ya kutuondoa kujadili utendaji ubovu wa serikali ambao umetamalaki. Sheria, kanuni na taratibu hazizingatiwi kikamilifu na watendaji.. Tunasahau ya magufuli na pm. ambmo0umetamalaki
 
Sasa huyu jamaa kwa nini anafanya kazi kwenye magazeti ya vyama (Tanzania Daima na Uhuru), si aende kwenye gazeti la Taifa, MwanaHalisi. Mimi ndo gazeti ninalonunuaga na sikutegemea kukuta taarifa ya Kiataifa huku. Naomba Saed Kubenea either mkodishe au amuajiri kabisa ili makala hizi tuzipate kwenye gazeti la Taifa, MwanaHALISI.

Jielimishe:

1. Ngurumo ameandika Maswali Magumu tangu mwaka 2002 katika Mwananchi Jumapili, akamtia kibano Rais Mkapa. Lilipoanza Tanzania Daima akahamisha makala hiyo kwenye gazeti hilo mwaka 2004 hadi leo. Amemtandika JK tangu alipotangaza nia ya kugombea 2005 hadi leo. Alikuwa mwandishi pekee aliyethubutu kukosoa serikali ya JK wakati wahariri na waandishi wote wakiogopa kumgusa JK, au RA au EL. Hivyo, wanaoanza kumsoma leo, mmekoa mengi. Amekuwa pioneer, wengine wamefuata, na sasa wakosoaji wa JK wameongezeka. Katika wote wanaomkosoa JK, Ngurumo ndiye amekuwa consistent. Kudos!

2. Ngurumo ni mmoja wa walimu (mentors) wa Saed Kubenea, tangu enzi za RAI miaka ya 2000. Kubenea alipokuwa anasimamia gazeti la upinzani, Hali Halisi, kabla hajaanzisha MwanaHALISI, Ngurumo aliendelea na kazi hiyo - mentoring - akiwa anahariri gazeti hilo. Kwa hiyo, kabla ya Ndimara, mwalimu wa Kubenea alikuwa Ngurumo. Sijui kama ameacha kum-mentor sasa, na ndicho kiini cha urafiki kati yao. Ukisoma vema kazi za Kubenea utagundua kuwa yapo maneno na staili ambazo ameziiga kwa Ngurumo. Wote wawili hawa wana sifa moja ya msingi - ni waandishi jasiri.

3. Kubenea alipotaka kuanzisha gazeti la MwanaHALISI, miongoni mwa waliomsaidia kulianzisha na kulisajili ni Ngurumo na Absalom Kibanda. Nina uhakika watu hawa wawili, Ngurumo na Kibanda, wanaendelea na kuhariri baadhi ya kazi za MwanaHALISI hata leo.

4. Tanzania Daima si gazeti la Chadema, bali ni mali ya mtu, familia ya Freeman Mbowe (si unajua kila ampuni lazima iwe na mmiliki?) haliwezi kufananishwa na Uhuru kwa sababu si la chama cha siasa, na ndiyo maana utakuta habari zinazowabeba watu wa CCM au tahariri zinazounga mkono masuala kadhaa ya serikali katika Tanzania Daima. Mbona kumekuwa na habari na makala nyingi zinazoumiza Mbowe au Chadema? Huwezi kukuta Uhuru ikisifia lolote la Chadema, na ndiyo maana Uhuru halinunuliwi (linategema ruzuku na subscription ya lazima kwenye wizara na idara za serikali), na Tanzania Daima linakua kila siku. Ni vema tutofautishe mali za Mbowe na mali za Chadema. Mimi naamini Tanzania Daima limeamua kuwa na sera ya MABADILIKO, na kwa kuwa Chadema inasimamia mabadiliko hayo, achana na ukweli kwamba inaongozwa na Mbowe, lina kila sababu ya kuendelea kuandika linavyoandika, maana limetusaidia sana kuinua akili, hisia na mioyo wa Watanzania katika mapambano. Siku Tanzania Daima litakapogeuka la Chadema ndiyo siku litakapoanza safari iliyoliua Uhuru. Unapozungumzia magazeti ya TAIFA, huwezi kuyasahau Tanzania Daima na MwanaHALISI.

5. Waliochelewa kumjua Ngurumo ndio wanaomshangaa na kumlinganisha na Kubenea. Ukweli ni kwamba hawalingani, hata kama wanashaabiana katika mambo fulani fulani. Sisi tuliofuatilia maendeleo na ukuaji wa Kubenea katika fani ya uandishi, tunatambua kazi nzuri ya akina Ansbert Ngurumo na Ndimara Tegambwage katika kumtengeneza Kubenea kuwa hivyo alivyo. Anayebisha amuulize Kubenea mwenyewe, maana kwa jinsi asivyo mtofu wa shukurani atawasifu na kuwashukuru waliom-mentor... hawa niliowataja na wengine anaowajua, waliolifanya MwanaHALISI kwa hivi lilivyo leo. Kubenea unasemaje?

Nawasilisha.
 
Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance

Mafisadi wanaadhibiwa na mahakama ne wengine watafukuzwa kwenye chama ....kelele za kina ansbert na pengo ni kuwa mbona wanaofukuzwa na kushtakiwa ni wakatoliki (hasira na chuki kidini)...

Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...

Huyu TOPICAL ni mgonjwa wa akili. Tazama wanaochangia humu, hesabu wanaomuona wa maana, tafakari kauli zake, utagundua kwamba Topical hana uwezo wa kugundua kuwa ametoboka ubongo, unavuja vumbi ... anendelea tu kuandika upupu wake.

Tazama kwa mfano, anadhani mafisadi hawa ni wakatoliki: Kikwete, Lowassa, Ridhiwani, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge, Mkono, Mramba, Chenge, na wengineo mnaowajua. Anataka tuache kutazama makosa yao ya kiutendaji, tutazame dini zao, utadhani wanatuhumiwa kidini....

Halafu TOPICAL, kama elimu yako ndogo si uache usiyoyaweza? Hivi uelewa wako wa sarufi wa Kiingereza unakujulisha kuwa kuna kitu kinaitwa serikali transparency? Ngoja nikupe somo kidogo. Transparency ni nomino - abstract noun, haiwezi kutumika kama kivumishi (adjective). Ungesema kuna serikali transparent. Uelewa huu mdogo wa vitu vidogo kama hivi hauwezi kumwezesha Topical kuelewa uchambuzi wa Ngurumo, ni mufilisi, ndiyo maana anakimbilia udini! Nadhani tunamwonea, na tunampa heshima kumjadili. Shit!
 
Jielimishe:

1. Ngurumo ameandika Maswali Magumu tangu mwaka 2002 katika Mwananchi Jumapili, akamtia kibano Rais Mkapa. Lilipoanza Tanzania Daima akahamisha makala hiyo kwenye gazeti hilo mwaka 2004 hadi leo. Amemtandika JK tangu alipotangaza nia ya kugombea 2005 hadi leo. Alikuwa mwandishi pekee aliyethubutu kukosoa serikali ya JK wakati wahariri na waandishi wote wakiogopa kumgusa JK, au RA au EL. Hivyo, wanaoanza kumsoma leo, mmekoa mengi. Amekuwa pioneer, wengine wamefuata, na sasa wakosoaji wa JK wameongezeka. Katika wote wanaomkosoa JK, Ngurumo ndiye amekuwa consistent. Kudos!

2. Ngurumo ni mmoja wa walimu (mentors) wa Saed Kubenea, tangu enzi za RAI miaka ya 2000. Kubenea alipokuwa anasimamia gazeti la upinzani, Hali Halisi, kabla hajaanzisha MwanaHALISI, Ngurumo aliendelea na kazi hiyo - mentoring - akiwa anahariri gazeti hilo. Kwa hiyo, kabla ya Ndimara, mwalimu wa Kubenea alikuwa Ngurumo. Sijui kama ameacha kum-mentor sasa, na ndicho kiini cha urafiki kati yao. Ukisoma vema kazi za Kubenea utagundua kuwa yapo maneno na staili ambazo ameziiga kwa Ngurumo. Wote wawili hawa wana sifa moja ya msingi - ni waandishi jasiri.

3. Kubenea alipotaka kuanzisha gazeti la MwanaHALISI, miongoni mwa waliomsaidia kulianzisha na kulisajili ni Ngurumo na Absalom Kibanda. Nina uhakika watu hawa wawili, Ngurumo na Kibanda, wanaendelea na kuhariri baadhi ya kazi za MwanaHALISI hata leo.

4. Tanzania Daima si gazeti la Chadema, bali ni mali ya mtu, familia ya Freeman Mbowe (si unajua kila ampuni lazima iwe na mmiliki?) haliwezi kufananishwa na Uhuru kwa sababu si la chama cha siasa, na ndiyo maana utakuta habari zinazowabeba watu wa CCM au tahariri zinazounga mkono masuala kadhaa ya serikali katika Tanzania Daima. Mbona kumekuwa na habari na makala nyingi zinazoumiza Mbowe au Chadema? Huwezi kukuta Uhuru ikisifia lolote la Chadema, na ndiyo maana Uhuru halinunuliwi (linategema ruzuku na subscription ya lazima kwenye wizara na idara za serikali), na Tanzania Daima linakua kila siku. Ni vema tutofautishe mali za Mbowe na mali za Chadema. Mimi naamini Tanzania Daima limeamua kuwa na sera ya MABADILIKO, na kwa kuwa Chadema inasimamia mabadiliko hayo, achana na ukweli kwamba inaongozwa na Mbowe, lina kila sababu ya kuendelea kuandika linavyoandika, maana limetusaidia sana kuinua akili, hisia na mioyo wa Watanzania katika mapambano. Siku Tanzania Daima litakapogeuka la Chadema ndiyo siku litakapoanza safari iliyoliua Uhuru. Unapozungumzia magazeti ya TAIFA, huwezi kuyasahau Tanzania Daima na MwanaHALISI.

5. Waliochelewa kumjua Ngurumo ndio wanaomshangaa na kumlinganisha na Kubenea. Ukweli ni kwamba hawalingani, hata kama wanashaabiana katika mambo fulani fulani. Sisi tuliofuatilia maendeleo na ukuaji wa Kubenea katika fani ya uandishi, tunatambua kazi nzuri ya akina Ansbert Ngurumo na Ndimara Tegambwage katika kumtengeneza Kubenea kuwa hivyo alivyo. Anayebisha amuulize Kubenea mwenyewe, maana kwa jinsi asivyo mtofu wa shukurani atawasifu na kuwashukuru waliom-mentor... hawa niliowataja na wengine anaowajua, waliolifanya MwanaHALISI kwa hivi lilivyo leo. Kubenea unasemaje?

Nawasilisha.

Nashukuru sana Kichwamaji kwa kunielimisha. Nimeelimika vizuri kabisa.
 
Makala nzuri kupita maelezo.

Tatizo imechapwa na fringe media, Tanzania Daima.

Kwa sababu Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA (ndivyo, sivyo, ndivyo linavyoeleweka), kuna watu, walengwa, hawagusi TZ Daima, hivyo ujumbe hautawafikia.

Na kwa utakaowafikia, itachukuliwa kama ni kada mmoja wa CHADEMA anafanya anachotegemewa afanye, kukosoa utawala wa CCM. No news.

Bahati mbaya, hakuna paper of record kama MWANACHI, CITIZEN, GUARDIAN etc. linaloweza kuchapa makala ya dizaini hii.

Hii ilikuwa slogan ya chama cha magamba 2005 kuwa walikuja na
Ari mpya
Nguvu mpya na
Kasi mpya
=ANGUKA,
Kwa mujb wa kura ya mwk huu kwel wakawa wameanguka, ila cha ajab ukijaribu kufuatilia unaweza kuona mbele ya ANGUKA wameongeza neno ZAIDI! naona slogan hii ni mojawapo ya njia ya mafanikio kwa mana siasa wa kweli.
 
Anguko=ccm=magamba=kikwete=two brothers= ufisadi= wazee madarakani= anne makinda= kutosoma nyakati= epa= makambas= mukama= ak47= rachel= udini = katiba nzee = mauaji arusha = meya arusha = lawrence masha
 
Back
Top Bottom