Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

TOPICAL eeh!SASA ANSBERT keshanguruma na ndo keshamuatack huyo jk wako sa we unaamuaje?iv wakati anamuatack we ulikuwa wp kumkinga?ona sasa keshahadhirika aah nshajua unalilia nin kumbe huna kaz tena!ushafutwa kaz du Ansbert kakuharibia..pole sasa usilie sana
 
Pole Miya Ansbert ameropoka siyo amenguruma ..amekurupuka analia kwa hasira na mapofu yanamtoka kwa hasira ya kukosa ushindi....tumemwachia uhuru wake na kubaki kulialia..hadi 2015 atakapolia zaidi padre wake atakapotupwa mbali sana kwenye siasa za nchi yetu tukufu..ok

JK anadunda wenye chuki binafsi wamenyon'enyea kama vile mvua imewanyeshea akiwemo ansbert, pengo et.al.

tunawajibu tu kuwaelimisha wajinga wengi wenye kumfuata bac
 
Good analysis, pongezi kwakuwa sober nakueleza fikra zako kwa busara umewapita wanachadema wengi akili akiwemo yule mungu wao...

Back to leadership style, JK anachotaka ni capacity building hasa kwa wananchi katika kufahamu, kujadili, na hata ku-question mwenendo wa viongozi wao katika ngazi zote za serikali

Hili linatokana na hulka za wa Tanzania na lina historia yake katika jamii yetu..wewe unaamini katika BAN, SACK and FIRE..hiyo ni style yako ndio maana umetoa mfano wa CEO..serikali siyo kampuni mkuu..operation za serikali ni lazima ubadili culture za wananchi wako

JK alianza kujenga culture ya uwazi "transparance" on government reports and expenditure..report za CAG zikawa Public ndio kina slaa walipopata mdomo mrefu..miaka yote 10 ya mkapa ripot hiyo ni siri ya rais na viongozi wake...ok...kwanini alifanya wakati ana uwezo kuficha na hakuna mtu wa kummuliza kikatiba... alitaka wananchi waelewe, wafuatilia na wahoji viongozi wao..hii nakwamambia imesaidia sana kuwajengea capacity wananchi wetu...mijini na vijijini

Huwezi kukurupuka kuadhibu kufukuza na kushutumu watu kama afanyavyo lowassa bila kuandaa wananchi na wanachi kuwa tayari kuwaaadhibu pia...

Kama ambavyo wewe uko tayari kuona kina Lowassa wanaadhibiwa hayo ni matokeo ya style ya JK..sasa wewe una style yako usifikiri ndio popular style..
....mtu akisoma harakaharaka anaweza akadhani umeeleza kisomi. lakini ukweli umelumbana na hujajibu hoja hata moja ya Ansbert. Article yako haina kielelezo hata kimoja. mfano aliwekaje wazi swala la EPA hata wakina PhD Slaa wakapata confidential data. mbona aliunda tume ambayo iliishia kutuachia kizunguzungu hadi leo. Hebu tueleze uwazi gani upo Kagoda, Meremeta, Deep green etc. kisha utupe sasa faida ya uwazi huo kwa wananchi ni nini?
Nadhani hoja zako ingeweza kuwa nzuri ungetoa vielelezo na jinsi Taifa lilivyonufaika na uwazi wa JK.
 
Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance

Slaa hana confidential data yeyote ile, kelele zake zote zipo kwenye CAG report ambayo JK ameagiza ziwe public unlike 10 years of mkapa ambayo ilikuwa siri yake..ok

Nikupe faida kidogo japo unatakiwa kujishughulisha kusoma kuliko kuabudu watu kibubusa ...uwazi umesaidia viongozi katika halmshauri zetu kuandaa na kuweka taratibu za fedha vizuri..angalia kila mwaka halmashauri zenye audit query zimeanza kupungua kwakuwa wananchi sasa kupitia madiwani wao wanakuwa na nguvu (evidence) za kuwashughulikia viongozi kutoka kwenye CAG report

Mafisadi wanaadhibiwa na mahakama ne wengine watafukuzwa kwenye chama ....kelele za kina ansbert na pengo ni kuwa mbona wanaofukuzwa na kushtakiwa ni wakatoliki (hasira na chuki kidini)...

Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...
 
Nampongeza Ansbert Ngurumo kwa uchambuzi wake wa kizalendo, unaoonyesha ujasiri, busara na hekima. Namshauri Mhe. Rais Kikwete, with all seriousness, amteue Ansbert awe mmoja wa washauri wake.

Labda Ansbert anaweza kukataa kwa vile anaona kwamba this is a hopeless case; na kwamba ni afadhali angojee ajiunge na Serikali ijayo ya CDM. Niwajuavyo WaTz. labda hawathubutu kumwondoa kabla ya 2015. Kwa hiyo Ansbert angeweza kusaidia ad interim.
 
Mzee Rais hamhitaji ansbert kwa kuandika makala ambazo zinaattack as a person and his religious belief...kwanza ansbert ni christian fundamentalist

Anafaa sana kwenye serikali yenu ya chadema (though ni Njozi)...si baya ukawa hope vijana..
 
Duh! kama hujui faida ya kuwa na serikali "transparency" then unahitaji kwenda kusomea good governance

Slaa hana confidential data yeyote ile, kelele zake zote zipo kwenye CAG report ambayo JK ameagiza ziwe public unlike 10 years of mkapa ambayo ilikuwa siri yake..ok

Nikupe faida kidogo japo unatakiwa kujishughulisha kusoma kuliko kuabudu watu kibubusa ...uwazi umesaidia viongozi katika halmshauri zetu kuandaa na kuweka taratibu za fedha vizuri..angalia kila mwaka halmashauri zenye audit query zimeanza kupungua kwakuwa wananchi sasa kupitia madiwani wao wanakuwa na nguvu (evidence) za kuwashughulikia viongozi kutoka kwenye CAG report

Mafisadi wanaadhibiwa na mahakama ne wengine watafukuzwa kwenye chama ....kelele za kina ansbert na pengo ni kuwa mbona wanaofukuzwa na kushtakiwa ni wakatoliki (hasira na chuki kidini)...

Ni bahati mbaya viongozi wengi mafisadi serikalini ni wakatoliki...sasa inabidi wavumilie wanavuliwa gamba, michango hewa kanisani inaweza kupungua...

Hovyooo...bora ungelala....
 
Tanzania nzima kuna waandishi wawili tu wasiomung'unya maneno,wenye msimamo unaoeleweka na kila raia na wasema ukweli bila woga,Ansbert Ngurumo na saed kubenea.hata kama hatutaki kuwatambua sasa vipo vizazi vitawaenzi.hii makala imenisisimua mno hasa transparent yake kutaja waziwazi mambo yanayowashinda wengi.kuandika hv si kazi nyepesi hasa unapomgusa direct Amri jeshi mkuu na hasa wa nchi zetu hizi za HIPC.(Heavy indebted poor countries)

Nakubaliana na wewe lakini umemsahau kamanda mwingine anaeandika kwemye gazeti la Raia Mwema anaitwa JOHNSON MBWAMBO!
 
TOPICAL, ANGEROPOKA USINGEKUWA HAPA BANA..sa ndo ujiandae siku nyingine asikuharibie kaz hv..na hapo hana jeshi wala mabomu
 
TOPICAL, ANGEROPOKA USINGEKUWA HAPA BANA..sa ndo ujiandae siku nyingine asikuharibie kaz hv..na hapo hana jeshi wala mabomu
Watu kama Topical napata tabu kweli kuwaelewa.nimesoma post zake imebidi nitafakari upya nafasi ya shetani kwenye maisha ya mwanadamu.akili tulizopewa na Muumba huwa zinasimama shetani anapotuingia? Najua kazi ni kazi ila kazi ya kupotosha umma tena umma wenyewe wa watanzania maskini kabisa! Ndio maana daima naamini Mwl Nyerere alikuwa nabii.aliwahi kusema mtu akifilisika kisiasa lazima akimbilie udini na ukabila! Ni nani anaelia hayo sasa mara udini mara ukabila? Binafsi propanganda hizi Rais alipaswa kuzipinga wazi na si kwa mafumbo na vijembe akiogopa kuwakosoa wenzake.mlisema CUF wadini je udini wao umeisha? Mbona hamuwagusi now days? Unafiki haujawahi kuleta mafanikio popote na kama mnadhani mtaendelea kutawala kwa stlye hii subirini muone.
 
Nampongeza Ansbert Ngurumo kwa uchambuzi wake wa kizalendo, unaoonyesha ujasiri, busara na hekima. Namshauri Mhe. Rais Kikwete, with all seriousness, amteue Ansbert awe mmoja wa washauri wake.

Labda Ansbert anaweza kukataa kwa vile anaona kwamba this is a hopeless case; na kwamba ni afadhali angojee ajiunge na Serikali ijayo ya CDM. Niwajuavyo WaTz. labda hawathubutu kumwondoa kabla ya 2015. Kwa hiyo Ansbert angeweza kusaidia ad interim.
Hakuna jambo gumu mzee wangu kwa mwanadamu kama kukubali udhaifu wake.tena kuukiri dhahiri na ukiwa tayari umejitapa sana ulivyo mahiri kiungozi.kiongozi makini angefanya hata marekebisho kimya kimya kwani nia ni mafanikio ya utawala wako.ila kwa Ngurumo itaibuka chuki tu! Nashukuru kujitokeza na wazee wengine waige mfano kwani mawazo tofauti si rahisi kupita mtaani kufahamu kama ilivyo rahisi hapa palipojaa watu wa kada zote.
 
kwa kweli ningekuwa na uwezo ningempa hata uwaziri mkuu nhuyu Ngurumo. Big up sana, kaka 2015 gombea urais kaka. Umeongea kwel tupu. Kikwete soma hii then pima, alafu ifanyie kazi basi, kwa maslah ya watanzania
 
aahh wanajamvi kwa kuuogopa usalama wa rahai ni nini? jamaa tatizoo nafasi hzi na system mzima ya nchi yteu inaongozwa na watu ambao wameshapitwa na wakati watu wasiona na mawazo mapya watu wasionauvumilivu wa kusikiliza oja na kujenga hoja za wananchi wote? mimi binafsi namuunga mkono bwana ngurumo,raisi ni mtumishi wa wananchi si mungu wataifa hili ,hapo halipo ni ajira haliyoipa kupitia kwneye box la kura
,raisi ni mtumishi wa wananchi na wala simfalme wa watanzania?

Mimi nadhani muheshimiwa tumemlea sanaa na atutaki kumjengea hoja za kumkosoa nazani niwaandishi wachache sana wanaoweza kumkosoa da prezdei wtu?

Kiukweli hapa tulipo kwanamna moja ama nyingine na yeyey amechangia sanaa kutufikisha hapa tulipoa,miminadhani muheshimiwa toke alipo chukua nchi 2005 sidhani kama alikua anajua ni kwanini aliamua kugombea uraisi na nikipi alikua amedhamilia kikiongeza nchini kwayaleyote mafanikia ambayo wenzie walikifanikisha hko nyuma..

UTAMBUZI WA NINI AFANYI NCHII HII IPIGE ATUA YA KIMAENDELEO....akutaka kutengeneza mfumo labda mpya ambao ungemsaidia kufikia malengo aliyokua anayataka.

:tonguez:
 
Ansbert Ngurumo pamoja sana kaka! Tatizo la nchi yetu ni tabia ya viongozi wa ngazi za juu kudhani kwamba ukipata uongozi maana yake ni kupata akili na uwezo kuliko wananchi unaowaongoza. Ndivyo, anavyokwenda huyu kikwete. Nimefurahi ulivyogusia hoja kwamba yeye ana rekodi gani anayojivunia kiasi cha kumfanya awafokee mawaziri wake!! Wengi wetu tunajua kuwa uwezo wa kikwete kiutendaji ni mdog. In fact, hata IQ yake inaweza kuwa ni ndogo kuliko mawaziri wake wote aliowaita Dodoma.

D. na wewe umenena kweli, hivi huyu jamaa anafikiri ana ufahamu kuliko aliokuwa anawafokea, NO!, Lakini ningependa hii hoja ya Ngurumo isomwe na watu wengi wakiwemo usalama wa taifa pamoja na mkulu mwenyewe. Sipati picha atajisikiaje?let us wait for response
 
Back
Top Bottom