Another Odm Mp Killed In Kenya.

Kumbe huyu Mbunge alikua mkamuaji! he got what he deserves..

Polisi huwa wana sababu kwa kila kinachotokea duniani, Polisi ilisema kuwa waliomuua Malcom X walikuwa na ugomvi naye kwa pesa na wanawake. Waliomuu Kombe Tanzania walidai kuwa alikuwa ameiba pesa.

Polisi wa kenya wanacheza the same game hapa.

Kibaki hata ukiua wabunge wa ODM, uchaguzi ukirudiwa si bado ODM watashinda bado hayo majimbo? What a loser
 
Polisi wa Afrika wapo tayari kufanya lolote wanaloambiwa na wanasiasa waliopo madarakani. Kwa hiyo mtu mwenye akili hawezi kupokea maelezo ya polisi kama kasuku, lazima habari za polisi ziwe corroborated, otherwise umeliwa, wanaweza kukwambia hata ulikuwa unaiba.
 
Wanawatia woga wenzao wapunguze makali yao. Kwa njia nyingine wanawalazimisha ODM leadership kuwakataza na kutoa kauli kali against wenyewe(wananchi) kuacha kuandamana na vurugu zinazohusiana na maandamano(vifo na kadhalika)wakisahau bado wananchi wanataka kura zao zilizoibiwa-the repucurssion,ndindu tu.
 
Kumbe huyu Mbunge alikua mkamuaji! he got what he deserves..

Masatu na wengine wote msomao,

Wakuu ningewaomba msilisikilize jeshi la polisi kule Kenya maana wote wako-compromised na Kibaki.Kilichonifanya nijue kwamba hili jeshi is full of a criminal mind ni wakati alipouliwa Bw.Robert Ouko.Jamaa walisema eti he committed suicide in a very wierd fashion.Eti alijiwasha moto kisha akachukua bomba na kujipiga risasi.Huyu bwana pia kumbuka kua alipatwa na mguu uliovunjika...sasa nambie alijunja mguu,kisha akajiwasha moto,kisha akajipiga risasi????Duuuhh!... hii ishu ilileta kitimtim mpaka Moi akawaleta wale jamaa za Scotland yard.Kwa ufupi hadi leo aliyemuua Ouko hajulikani!Kisha tazama wanavyoua watu bila mpango na evidence zikionyeshwa wansema eti walopigwa risasi wana-act kama kwenye sinema za Rambo!Aliyesema ushuzi huu anaitwa Bw. Kiraithe ambaye ni kigogo wa jeshi la polisi la Kenya na kabila la Kibaki. Sasa niambie kama unaweza kuamini maneno yatokayo kwenye vinywa vya watu kama hawa?

Sasa acha niwape nyuzi niliyobwagiwa hapa kutoka Nairobi.(my contact is up there in politics za Kenya kwa hivyo naamini updates zake kwa sana).Huyu mbunge wa Ainamoi aliyebwagwa jana alipigwa tembe kumi na tisa mida ya saa nne unusu asubuhi kadamnasi ya watu.Aliyefanya kitendo chenyewe alikula kona hadi mji uitwao Turbo ambako alichukuliwa na helicopter nyeusi na kupelekwa to an unknown destination.Tetesi ni kwamba helicopter yenyewe ni ya mtoto wa yule Rais wa zamani,Daniel Arap Moi.Kwa jina anaitwa Gideon Moi.Hii yote imefanyika chini ya lisaa limoja na tayari polisi washaanza kusambaza hio story kwamba jamaa alikua mkamuaji wa wake za watu.Jamani!!!Hata iweje basi unafanya usinzi barabarani na unajua unajulikana wewe ni mbunge?Kumbuka pia marehemu wote wawili wana ukoo wa damu.A'fu pia hali ya Kenya ni mbaya na sidhani mtu mwenye akili timamu na anayewakilisha watu Bungeni anaweza kua barabarani,mchana kweupe, akinyemelea wake za watu.Mmmmmhhhhhhhhh!!!!
In this context it also imperative to note that wabunge kadhaa wa upinzani wamepata text mesasage zinazowaambia waachane na wake za watu.Hii ni kwamba wakibwagwa kwa sababu za kisiasa, polisi wataleta hizi story za kuwanyemelea wake za watu.Wabunge wa-ODM walikua wamefanya kikao awali wakilalamika eti masiha yao yanatishiwa na watu wasiowajua. Unadhani nani alikua namba moja kwenye hio listi yao?Huyo bwana aliyebwagwa!Sasa jaza mwenyewe.
 
ab - teachers ..vipi kaka jamaa hakuchukuliwa na helicopter..alikuwa na pikipiki na alikamatwa muda mfupi baada ya kuuwa..hiyo helicopter imetoka wapi??

leo amefikishwa mahakamani ..footage zake zimetoka ..na wananchi wameshangaa namna alivyokuwa handled kama hero na police wenzake..hakufungwa pingu wala nini..na alikuwa na nguo zake safi na hata aliweza kubadili na kuvaa nguo mpya aliporudi mahakamani baada ya mapumziko ya mchana...wananchi walishangaa namna alivyokuwa anaonekana hana wasi..akirushiana utani huu na ule na askari waliomu escort...pia akipungia baadhi ya watu na tabasamu juu...watu wanahisi hana shaka na maisha yake ..nani anajua labda tayari pesa yake ipo banki...kama malipo.
 
Taratibu naona Kenya inageuka kuwa baghdad nyingine.Kweli uroho wa madaraka ni kitu kingine.
 
tuombe sana lkn hali kwa ndugu zetu hawa kkurudi ktk mstari si suala la siku za karibuni
 
ab - teachers ..vipi kaka jamaa hakuchukuliwa na helicopter..alikuwa na pikipiki na alikamatwa muda mfupi baada ya kuuwa..hiyo helicopter imetoka wapi??

leo amefikishwa mahakamani ..footage zake zimetoka ..na wananchi wameshangaa namna alivyokuwa handled kama hero na police wenzake..hakufungwa pingu wala nini..na alikuwa na nguo zake safi na hata aliweza kubadili na kuvaa nguo mpya aliporudi mahakamani baada ya mapumziko ya mchana...wananchi walishangaa namna alivyokuwa anaonekana hana wasi..akirushiana utani huu na ule na askari waliomu escort...pia akipungia baadhi ya watu na tabasamu juu...watu wanahisi hana shaka na maisha yake ..nani anajua labda tayari pesa yake ipo banki...kama malipo.
Nd'o hapo sasa wasiwasi wangu. Kwanza kabisa jiiulize nani alimkamata huyu bwana..Kisha kama ulivyosema jamaa kotini alikua hana wasiwasi wala nini...anacheka huku akinongonezana na mwera wenzake,anasoma gazeti, anapiga simu....wewe uliona wapi murder suspect/mshtakiwa akitambaa namna hii. Hii nd'o inaitwa kwa kimombo "in your face".All statements zinatoka umwerani na hawa watu kuwaamini ni at your own risk. Hio tetesi ya helicopter inavuma kishenzi.Basically a chopper was spotted hovering around maeneo ya tukio. Jiulize how did the police make such a quick arrest without any witnesses.Tunajua mwera hazikuwepo wakati jamaa anabwagwa. Pia jamaa alikua juu ya pikipiki and he took off from the scene...was there a high speed chase...Kenya Police dont do this unless ni wale flying squad wanaowinda bank robbers...why were the police quick in calling it a crime of passion....walifanya uchunguzi saa ngapi to arrive at such a conclusion. An investigative mind always tries to puncture holes into statements like these and in this case the holes are just too many. P.S. Nasikia they have suspects in custody for the first murder..Umepata tetesi yoyote...Kenya imekua the wide wild west jamani.
 
Back
Top Bottom