Mtanzanika JF-Expert Member Feb 27, 2012 2,389 1,131 Jul 3, 2012 #1 Ikipita gari kali kitaani, Mwanaume atataka kujua ni gari ya aina gani lakini Mwanamke atataka kujua gari inaendeshwa na nani!
Ikipita gari kali kitaani, Mwanaume atataka kujua ni gari ya aina gani lakini Mwanamke atataka kujua gari inaendeshwa na nani!