Hii nzuri sana kwa Traders, Unatafuta sell entry na kuingia kwa Full Margin.Negative Oil Prices First Time Ever: More Insanity To Come In The Weeks Ahead
More: Negative Oil Prices First Time Ever: More Insanity To Come In The Weeks Ahead
SOMA NA HAPO KUHUSU CRUDE OIL
SOMA NA HAPO KUHUSU CRUDE OIL
hahhahahahahhaaaa
Mkuu siku hizi hauko active sana huku. Niliwahi kuomba kuja kupata elimu kidogo lakini nikaona nijipige shule kwanza. Na sikujua uko wapi wala kama ungekubali kunipokea.Hii nzuri sana kwa Traders, Unatafuta sell entry na kuingia kwa Full Margin.
View attachment 1425656
Angalia muda hapo saa 12:07hr,
View attachment 1425664
Stup ninayotumia kuingia na Kutoka
View attachment 1425670
1M TF simple setup.
Gugo inamajibu ya yote!Unanunuaje hayo ma crude oil
Nakubaliana na wewe mkuuMkuu,
Ninakubaliana na wewe lakini kwenye market kuna a lot of manipulation. Mfano, gas kipindi cha winter maitaji ni makubwa na kwa akili za kawaida utaona lazima bei ipande au kubakia hapo hapo. Lakini mwaka huu bei ilishuka kuvunja record. Na sasa tunaenda summer ambapo maitaji yanashuka lakini cha kushangaza bei ndio inapanda.
Kuna watu walinunua wiki hapo nyuma baada ya Saudi Arabia, Russia na USA kufikia makubaliano na kupunguza production. Niliwaonya kwamba it is not going to be that easy. Labda price itashuka tena lakini sikutarajia kwa kiasi hiki!
I learned the hard way kwamba chochote kinachooneka ni rahisi kutengeneza pesa kwenye market itakuwa sivyo!
huu utaniBuy crude oil and hold!