Anonghost Hackers vs Israel Hackers Bifu bado linaendelea!

Anonghost Hackers vs Israel Hackers Bifu bado linaendelea!

Hapa ndiyo unashindwa kujua akili za hawa watu.

Kwanza wanakuletea vitu vya ajabu ambavyo wewe ndiyo siku ya kwanza unaviona na wakati unashangaa, ndiyo wanaanza kukupa maswali. Wao Wa-Asia na Wazungu, wameviona tangu wanazaliwa na hizo Computer Game wamezifanya sana na hapo unataka kulinganisha akili zetu.

Kwanza lazima wajua kuwa, Shida zinafanya watu waanze kufikiri haraka haraka. Watoto wa Mijini na Vijijini wana tofauti. Wewe unikute mie huku Shamba SIKONGE na Wanangu, nimejikalia hata sina shida, IQ yangu si utaona ndogo? Hawa jamaa kwanza wao inabidi wapimwe IQ zao kama ni kubwa za kutosha kupima IQ za wengine wanaoishi katika mazingira tofauti.
wakati nasoma sekondari nakumbuka walikuja shuleni kwetu kuna dude kama liscreen unatambua maumbo haraka haraka kujua umbo lipi litafit wapi. walisema wanapima iq.

vipimo vingi vya iq standard zake zinawanufaisha wao sababu si vitu ambavyo ni vya mazingira yetu.

hata mimi naweza anzisha standard yangu ya iq nikaweka popoo, sambia, matomokwa, kitale, na vitu vyetu vyengine vya tanga mwisho wa siku watu wa tanga watakuwa na iq kubwa kushinda wote duniani.
 
ndio maana siwapendi watu weupe ina maana waafrika tu ndo hatuna akili kwelii


kwa kauli kama hiyo pia !
Inaweza kusababisha wao kutuona sisi kama tuna IQ ndogo sana !
 
kaka mwenyez mungu ametutengeneza binadamu wote tuwe sawa kila mtu na uwezo wake hakuna binadamu mwenye akili kumshinda mwenzake ila kuna binadamu ambao wanashindwa kujitambua uwezo wao.

mtu hata awe kilaza namna gani kuna eneo anafit vizuri zaidi kuliko mwenzake. kuna mtu anapata sifuri hisabati lakini kumbe angesoma stadi za kazi angepata 100 hivyo ndio binadamu tulivyo.

wazungu na nchi za kimagharibi wanatafuta kila namna kutukoloni kifikra waafrica na nchi nyengine wajione masikini wa kiakili na kifikra na siku zote wasiendelee.

na hata tukisema basi hio iq ni kweli basi nchi inayoongoza ni hongkong ikifuatiwa na korea kisha japan. israel hata 10 bora haipo na jambo la kusikitisha zaidi nchi zote 10 la mwisho ni za kiafrica tanzania ikiwemo. tanzania tunashika nafasi ya 9 kutoka chini.

Well said bro!
walichofanya waisrael ni kuwekeza kwenye Elimu enzi hizo na kwenye tafiti na kwa sasa wamewekeza sana kwenye ICT kiasi kwamba inasemekana jeshi lao asilimia zaidia ya 75 ya maofisa ni MA_ICT na shughuli yao ni ugunduzi na utundu tu ofisini na sio sisi jeshi lemjaa makruta na wakta majani.

na hii inafaidas kubwa sana kwao kwani asilimia 90 ya makampuni yote ya HIGHTECH Israel yana anzishwa na hawa Vijana kutoka Jeshini. na pia technology yao yote inagunduliwa huko jeshini.
 
Mkuu uhuru wa internet uliisha isha! Kitambo tu japokuwa tutazidi kudanganyana tu kwamba unapokuwa ktk internet unakuwa huru !

La hasha !
Angalia videos pale chini !

Utasikia Hackers wamekamatwa na FBI lakini huwa wanaenda wapi?

Vikundi vya anonymous vipo vingi ila kuna vinavyokuwa controlled na CIA kufanya Cyber attack! Na kuchukua important data!

Naona we huwajui anonymous na unachukua hoax za kwenye internet unatuwekea hapa. Anonymous sio controlled by fBI wala CIA wala hawana leader, unajua kweli anonymous ilipoanzia wewe? Anonymous ilianza kiutani sana, na ni watu tu ambao hata hawajuani, sio kundi kwamba lina kiongozi wala nini..
Afu hackers wanaohack websites wa kawaida sana, hivo ni vitu hackers wa level ya chini wanafanya...
 
Wanadai hawatumii Tools (softwares)
wao wanafanya manual hacking


​

Hizo ni biti tu, hakuna kitu kama manual hacking ati hawatumii softwares, hiyo ya wapi hiyo? bila software a computer can't run, na huwezi access kitu kama website ukaichakachua kwa kitu tofauti na software, ina sound stupid kabisa, ndo maana hua nasema hawa hackers wa websites ni beginners kabisa..
 
Naona we huwajui anonymous na unachukua hoax za kwenye internet unatuwekea hapa.

Sawa mkuu unaweza kuwa sahihi !

Anonymous sio controlled by fBI wala CIA wala hawana leader,

Tatizo unachukulia anonymous kama ni kikundi kimoja!
Ndomana nimeishasema hapo! Juu! Kuna wengine wapo pamoja na mmarekani na wengine hawapo pamoja nao!

Kiukweli anonymous naijua vizuri tena sana tu!
Ni hackers wangapi wameishakamatwa na wakadai wametumika na FBI !

Na wengine mpaka wanakufanya kazi kabisa CIA !


unajua kweli anonymous ilipoanzia wewe?

Anonymous ilianza kiutani sana, na ni watu tu ambao hata hawajuani, sio kundi kwamba lina kiongozi wala nini..

ndomana nimeishasema hapo juu nikizungumzia #OpIsrael kwamba hata wewe unaweza uka join ! Na sio lazima uwe unawajua !

Afu hackers wanaohack websites wa kawaida sana, hivo ni vitu hackers wa level ya chini wanafanya...

Hacker wa level ya chini anae hack facebook accounts 80,000

mbona hata mtoto atakubishia !

Japokuwa ndiyo wapo wa level ya chini wanaofanya hacking izo !

Jamaa anaeongoza mpaka sasa!

HashoR = 36702 hacked website!
Afu tumwite begginner ! Mbona haileti sense ! Yeyote

ningeweka links hapa ! Lakini jana Thread waliifunga kwasababu hiyo hiyo !
 
Hizo ni biti tu, hakuna kitu kama manual hacking ati hawatumii softwares, hiyo ya wapi hiyo? bila software a computer can't run, na huwezi access kitu kama website ukaichakachua kwa kitu tofauti na software, ina sound stupid kabisa, ndo maana hua nasema hawa hackers wa websites ni beginners kabisa..


Nna wasi wasi na wewe nadhani huelewi unachobishia hapa !

Unafurahisha sana mkuu !
 
umeandika kishabiki sana.

haijalishi nani kajibu nani hajajibu, nachojua kwa hakika, watu wa Israel, ashkenazi to b specific, ndio binadamu wenye IQ kubwa kuliko binadamu wengine wote duniani, wakiwepo hao anony nini sijui


Mkuu Uswe hebu pitia hii makala

Top Israeli scientist says Ashkenazi Jews came from Khazaria, not Palestine | Darkmoon

Ukweli ni kwamba kuna kusita kwingi kama ashkenazi ni wayahudi/waisrael (wengi wanadai ni wazungu tuu)

Ama kuhusu IQ sipati picha kama huwa inategemea rangi au nasaba za watu. Zingatia kuwa waanzilishi wa maarifa yote ya sayansi na mahesabu kwa sasa huenda ni hawa jamaa waliopo pande za bara arab
 
Last edited by a moderator:
Nna wasi wasi na wewe nadhani huelewi unachobishia hapa !

Unafurahisha sana mkuu !
Mkuu naomba ueleze hiyo manual hacking unayoita wewe hadi mtu akafanikiwa kuaccess website akaweka mpicha wa ajabuu huo.. naona wewe ndio hujui unachokieleza... tusiende na ushabiki hapa tueleze facts.. Afu umeweka red pale nilipoandika a computer cant run without software, em eleza kwa nini? au kuna computer unaijua duniani haitumii software ili nishangae?
 
Kiukweli anonymous naijua vizuri tena sana tu!
Ni hackers wangapi wameishakamatwa na wakadai wametumika na FBI !
Na wengine mpaka wanakufanya kazi kabisa CIA
!
Em tupe mfano ya hao waliokamatwa Anonymous afu wakasema walikua wanafanyia kazi FBI na CIA, nina assume unajua tunaongelea Anonymous hacking group na sio anonymity kama kitendo cha kuhide identity...
 
Mkuu naomba ueleze hiyo manual hackingunayoita wewe hadi mtu akafanikiwa kuaccess website akaweka mpicha wa ajabuu huo.. naona wewe ndio hujui unachokieleza... tusiende na ushabiki hapa tueleze facts..


Mkuu huwezi kuelewa kitu kama huna mood nacho !
Na hata nikielekeza sidhani kama utaelewa !

Njia za manual hacking ambazo software haitumiki ni nyingi tu !

Kuna Blind SQLi injection !
Ambayo wana exploit errors katika database ! Na nyingine kama prev8

na wala hazitumii software aina yeyote ile !
Na google dorks nidiyo kitu chamsingi !

Na hata kuchukua website codes arafu wanatafuta error ! On a certain line ! Hata website codes zikiwa encrypted

Achana na hizi ambazo hata watoto wadogo wanatumia ! DDoS attack na Brute force method! Wanazotumia ku kick others down by single click button !

Zinazo involve softwares !
 
Em tupe mfano ya hao waliokamatwa Anonymous afu wakasema walikua wanafanyia kazi FBI na CIA, nina assume unajua tunaongelea Anonymous hacking group na sio anonymity kama kitendo cha kuhide identity...


Kaka kuna jamaa anaitwa Jeremmy Hammond ambaye alifungwa miaka 2 Jela kwamakosa haya haya ya Hacking ! Baada yakutoka jela akakutana na mwenzake tena amabye alim convice kwa mara ya pili ajiingize tena kwenye masuala kama haya ! Anaitwa Hector Monsegur ''sabu'' ambaye anadai alikuwa mshirika wa FBI ilibidi afungwe miaka 124 jela !

Soma hapa chini !

''I write this in advance of the sentence of
Hector Monsegur, aka “Sabu” – a former
Anonymous comrade turned FBI informant –
scheduled
to take place on August 23, 2013.

It is widely known that Sabu was used to
build cases against a number of hackers,
including myself.
What many do not know is
that Sabu was also used by his handlers to
facilitate the hacking of targets of the
government’s choosing – including
numerous websites belonging to foreign
governments. What the United States could
not accomplish legally, it used Sabu, and by
extension, me and my co-defendants, to
accomplish illegally.
The questions that
should be asked today go way beyond what
an appropriate sentence for Sabu might be:


Why was the United States using us to
infiltrate the private networks of foreign
governments? What are they doing with the
information we stole?
And will anyone in
our government ever be held accountable
for these crimes?

Ingia hapa Free Jeremy Hammond – Jeremy Hammond's Sentencing Statement, 11/15/2013


They condemn hackers and leakers when
the NSA, CIA, and FBI illegally spy on
everybody, and wage cyber espionage
through viruses and hacking for foreign
government systems.
They put signs everywhere that say “If you
see something, say something”
as if their
extensive surveillance camera systems
aren’t, they want us to become additional
eyes and ears for the police against our own
neighbors.


But if you point out suspicious activities of
our own government, if you leak
information that should be free and public
anyway, then they will follow you to the
ends of the Earth to put you in prison.


Even if you simply report on these leaks, they
will discredit you, subpoena you for your
sources, or just put you in prison on a
bunch of trumped up charges like they did
Barrett Brown.
 
Hii Mission Noma Duh Marutania Attacker Atawaua Haha Mmarekani May Be Atawasaidia wanacho Amini Hawa Jamaa No Place in This World Which Owned By israeli....Acha Movie iendelee sisi watazamaji Tu
 
Back
Top Bottom