snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
UPDATES>>>
Hackers 16 Wa Anonymous kutoka Nchi Mbalimbali !
Wameishajulikana!
=======================
wakati Islamic hackers wanaendeleza operation ya Yaku take down Israel websites!
Wakiwa na mission ya (to remove israel from the internet)
Kumbe nao Israel hackers walikuwa wana wa hack wanao wa hack wao!
Yaani Webcams za anonymous zilikuwa hacked na ''buddhax'' israel hacker! ''buddhax'' alisema
Next
time dont take part in OpIsrael. We
know who you are. We know where
you are. Long live Israel!
Anonymous 16 walipigwa picha! Na online accounts zao zikawa hacked!
hizi ni baadhi ya picha ya hacker baadhi zimeishatolewa mtandaoni !
While Anonymous hackers were
attacking Israeli sites, Buddhax traced
the IP addresses of some of the
attackers and broke into at least 16
computers, taking screenshots,
scraping computers for logins and
passwords of online accounts and
using their webcams to take photos of
the hackers, Buddhax said. He sent a
message to each hacker reading
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wadau hii Bifu nilidhani imeisha Stop!
Lakini Bado jumuiya ya Hackers wa kiislamu inaendeleza mpini kama kawaida! Ikiongozwa na Mauritania Attacker !
Lakini chanzo cha yote haya ikumbukwe ni wa Israel !
Wao ndio walio anza uchokozi !(japokuwa si sahihi kuita uchokozi)
#OpIslam
OpIslam | A mission to fight the Islamic Terror Plague
ndivyo walivyo iita Hackers wa Israel wakidai Waislamu wanaongoza kwa mauji ! Unyanyasaji, na kuua wasio na hatia!
Ikabidi wajikusanye remotely
na kuzisambalatisha websites za Nchi kadhaa za kiislamu!
Mnamo usiku wa kuamkia tarehe 26 mwaka jana!!
Website nyingi sana za jumuia ya nchi za Kiislamu zilikuwa hacked and Defaced !
Lakini wa Israel wao waliifanya Mwaka jana na mpaka sasa wapo kimya hawajajibu mashambulizi !
#OpIsrael
Hivi ndivyo walivyo Respond hackers wa Ki islam ikiwa ni majibu tu Kwa wa Israel!
Hackers wapo wengi tu na pia hata wewe unaweza kujiunga!
Wakijumuisha nchi mbali mbali ikiwemo
Indonesia = wale jamaa walio hack website ya chuo hapa Tanzania mwezi uliopita!
Morocco, Tunisia, Algeria, Misri, Iran, USA, etc
baadhi ya vikundi vinavyo patticipate
AnonGhost
Anonymous
SEA
Afghan Cyber Army
Izz ad-Din al-Qassam Cyber fighters
Mauritania HaCker Team
AnonSec
ZHC
X-Blackerz INC.
Xploiter
Team Hacking Argentino
Pakistian Haxors Crew ( PHC )
Egyptian Shell Team
Gaza Hacker Team
Fallaga
Indonesian Cyber Army
Indonesia Fighter Cyber
Anonymous Syria
Anonymous Malaysia
Anonymous Tunisia
Anonymous Algeria
Anonymous Jordan
Anonymous Lebanon
Wanadai hawatumii Tools (softwares)
wao wanafanya manual hacking
japokuwa kuna wengine Africa kusini wanafuata Mkumbo !
Hawa Jamaa wapo wengi aisee! Na katika operation hiyo tu wali hack website takribani 758 za israel ikiwemo na Email 3500 za wa Israel na kuzi leak !
Lakini wao wanadai wa Israel ni wanyanyasaji ! Na huo ni muda waku wa stopisha!
Israel hawakujibu kitu! Ilikuwa ni mwaka jana hiyo! Tarehe 7 april
Ila kama unavyojua palipo mu Israel Mmarekani hakosekani !
#OpPetrol
hii pia iliendeshwa na hawa hawa anon Ghost!
Na ilikuwa ni hasila tu za kitendo cha mauzo ya mafuta ya waarabu kwa Dora ya ki marekani!
Jamaa waka Hack Website za Kimarekani hususani FBI na waka leak documents zao za siri !
Lakini hawa jamaa Anon Ghost wanafanya kwa plan
yaani walivyo anza na #OpIsrael tarehe 7/april/2013 juzi juzi tena mwaka huu Tarehe 7/april/2014 wamefanya yao tena!
Kwa kuiita #OPIsraelBirthday
websites nyingi tu za Israel zilikuwa Hacked!
Nikiweza ntaweka list hapa!
Na kila siku hacking zinafanyika na hackers wa kiislam bila majibu kutoja kwa upande wa Pili!
Nimejaribu kwa kifupi tu!
Lakini kuna Operation nyingine itafanyika tena hapo 7/june/2014 na hawa hawa anon ghost !