Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Noana wanaume mnatishana kwa kutunishiana misuli ya nani atamuwahi mwenzie kumpiga bong’oa .....😅😅😅😜
Mdundane atayeibuka mshindi anaendeleza anniversary mwaka mwingine ...😃😃😃
Nacheka utadhani mazuri, hii haina tofauti na ule usemi wa...
Muosha huoshwa, kula uliwe.
Niko jikoni napika, mkimaliza kurumbana mje mezani kula.