Background yake kifamilia ikoje?
Acha mama apete bana tusubiri tuone uwezo wake tusimhukumu kabla ya matukio oh sorry matokeo ya utendaji kazi.
Baba yake mzazi alikuwa Mkuu wa mikoa kadhaa to start with... so it didnt come as sheer luck/kubahatisha kwake kuingia kwenye siasa mapema.Si mnajua tena... watoto huwa na hulka kufuata nyayo za mzazi/wazazi.
Pia kifamilia, nadhani wana undugu ya Jackson Makweta aliywahi kuwa Waziri kwa miaka mingi.
Hii ni kwa hisani ya rafiki yangu Kiungani
Sahihisho nadhani huyo Prof wa SUA ni Kapinga (RIP) na si Ndunguru.
Mama mchapa kazi, mwenye heshima kwa wote na mwenye utu.Background yake ( kifamilia) imemsaaidia kuweza kuchomoza vema kwenye career ya siasa.
Nafurahia hatua aliyoifikia maana anastahili.Hayo mengine yanayosemwa juu yake ndio kwanza nayasikia hapa JF.Ukali bungeni etc.Nadhani kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Nijuavyo - ni mtu yuko principled which can be interpreted as rigid.
Professor Bruno Ndunguru ni Mmatengo wa Mbinga ambaye alikulia na kusoma shule za awali Mbeya na anakizungumza kinyakyusa vizuri sana. Alikuja oa bibi shamba binti wa kabila la kimbulu (jina lipo). mara ya mwisho kumuona Prof. alikuwa Mafinga akifanya kazi na mashirika ya kimataifa kwenye mashamba ya chai.
Baba yake Anna alikuwa kati ya ma RC wa mwanzo mahili na Jasiri sana. Aliweza igeuza sura ya Tabora City ya kale kuwa ya kisasa. Chonde chonde Anna tafadhali aige ujasiri wa baba yake na asimezwe na mafisadi ambao ni adui wakubwa wa nchi hii. wasije kuweka fukoni mwao - baba yake "alipigana nao" na ndio maana alikuwa kipenzi cha Mwalimu Julius Nyerere
Rostam Motion Sparks Heated Debate
17th April 2008; Dodoma - There was drama in Parliament yesterday when MPs demanded an explanation as to why Igunga legislator Rostam Aziz was barred from moving a motion against the Richmond Committee report.
The House was treated to a heated argument between deputy Speaker Anna Makinda and Opposition MPs for about 15 minutes, with the latter calling on Ms Makinda to declare her interests in the issue before responding to their queries.
Source: http://allafrica.com/stories/200804181037.html
Nimesikia leo amechaguliwa na tayari kaitisha Press Conference na kutangaza viapumbele vyake.
Tukipewa nafasi WANAWAKE TUNAWEZA mwaya.
Ukiona mtu kama huyu mwenye uhusiano na MAFISADI jua kuwa kuna jambo
1. IKULU ipo under remote control ya mafisadi
2.NOW Bunge under remote control ya mafisadi
3.NEXT is Tanzanian under remote control ya mafisadi
Wakati wanazaa naye Prof. tayari alikuwa ameoa au bado? Hii itasaidia kujua background yake in Moral Values.
ukiacha ile spreadsheet yako ya matokeo, nakukubali kama dataman...maana kila kitu lazima umwage data. keep it up
Nakumbuka miaka ya 1990's alirudi jimbo la Njombe kugombea baada ya kuwa katika viti maalum kwa muda mrefu akaambulia kuulizwa kuwa na wananchi wa Njombe"ALIKWINA???" maana yake "ALIKUWA WAPI MUDA WOTE?"
Wakati wanazaa naye Prof. tayari alikuwa ameoa au bado? Hii itasaidia kujua background yake in Moral Values.
mkipewa? msipopewa mnalala doro siyo? haya mmepewa kidole juu, juu tafadhali