Anne Semamba Makinda's Profile!

TANGU ASUBUI LEO, VITUO VYOTE VYA REDIO NA TELEVISHENI HAPA VINASHINDANISHA WATAZAMAJI WAKE, NA WASIKILIZAJI KUHUSU SPIKA MPYA MWANAMKE WA AFRIKA MASHARIKI , KATI NA JANGWA KUSINI MWA SAHARA! hakuna tena kujadili kuhusu mustakabali wa taifa letu, lililotekwa na mafisadi wachache wasiozidi kumi. watu wanazungumzia kuhhusu jinsia ya spika mpya makinda, wamesahau kuwa jinsia ya anna makinda siyo muarobaini ya matatizo ya nchi yetu. wakati tupo kwenye kiza hiki kinene kuzungumzia jinsia ya anna makinda , akina rostam azizi na wengine wako bize kule bahi na namtumbo wakichimba urenium na tutakapozinduka madini haya adimu yaktakuwa yamekwisha.

watanznia wenzangu, hakuna atakaye pinga hata mama makindaakishika kiti cha kikwete provided hatutakuwa na mafisadi humu nchini.

tuache kushangilia mongela kuwa rais wa beijing, makinda kuwa spika, migiro kuwa katibu wa un. dada zetu hawa wawe mbele kupigana dhidi ya mafisadi, hawa ni da da zetu, mama zetu, bibi zetu, wanastahili kupewa hivi vyeo, wana nwake msibweteke, vita ni kubwa mbele yenu. msikubali kuhungwa mnastahili.
 
kama jk anawapenda wanawake na angependa waongoze mihimili ya dola bila shaka angempisha dr asha rose migiro awe mgombea pekee wa ccm badala ya kikwete kwa kuwa kikwete nchi ilishamshinda
 
Very dissapointing! Nimemsikia akiongea, anatoa majibu ya hovyo hovyo tu/upeo mdogo sana(ya kidiploma diploma).
 
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL

Odessa files zinaonyesha alipokuwa hapa aliwahi kuadabishwa na wenzake kwa kuwekewa upupu
 

First, the interview was based on GIGO (Garbage in, Garbage out). There was no hard questions i can tell, and there was no follow ups question to clarify what she proud to be. Before i go further, I have nothing against Ms. Makinda but i want to make it clear there is nothing New she will bring to the table.

Kwanza tuangalie sehemu kadhaa ambazo nimezihighlight. Kusema kwamba Mama Makinda amebadilisha Elimu ya Njombe bila kuweka data is total wrong. What is the benchmark of her maono? Under Ms.Makinda how many school were created compared to when and who was the MP? All this are valid questions which need serious answers. As far as health care, tell me does Njombe area have any Hospital which can perfom even a minor surgery? Now if all of your people have to travel to Muhimbili for even minor surgery then you come up front to tell us we're doing milestone in Healthcare, are you serious?


Why we have weak economy? Place like Njombe with a fertile land and good weather why there is a weak economy? How much CCM government contribute to that weak economy? Who to blame for that weak economy?

Manpower hasn't been Tanzania problem. Kwa miaka nenda uje tumekuwa na watu wa kutosha. Huyu Mama sidhani kama anafahamu anachoongea, au alikuwa anafanyiwa interview na mmoja wa mashabiki wake.

Bila hata aibu Muuliza maswali anaweka Board ambazo huyu mama amasave, hebu niambie ni kiwanda gani kati hivyo hapo kipo. Tanesco yenyewe bado inapumulia machine. What does that tell you kuhusu huyu mama? Mwatex (dead), NBC(dead), TRA (dead) soon Bunge ().

The moral of the story is Like Ridhiwani na wengine this is the product of kupigiana vifua, special favor, women right and you name it. This women is empty suit...... Na yule Tonny wa Atlanta ni mwanae?
 


- Well, huu ulikuwa ni uchaguzi mzuri sana maana hii ni nightmare ya mafisadi, wamejaribu sana kumzuia asirudi bungeni, lakini ni jasiri sana amepigana nao mpaka wameshindwa, anafaa sana kushika hii nafasi maana hana mchezo katika kazi za taifa na ni sauti nzito sana kule CC, huwa anawatwanga sana mafisadi, ni mpenda maendeleo na mpenda haki sana, Mungu amjalie na kazi yake mpya.

- Hii picha nilipiga naye Mvumi, Dodoma. Ninamfahamu kwa karibu ni mchapa kazi na kiongozi asiyependa mchezo, Mungu Aibariki Tanzania!

William.
 

Kamanda unajuana na kila mtu kwenye uongozi wa Tanzania. Tueleze zaidi unvyomjua mama Makinda zaidi ya kuuza naye sura.
 

Hahaaaa na wewe hapo kwenye nyekundu inaelekea ni mfanyakazi au mwanafunzi wa hapo walipokuwa wanaenda UD
 
Kamanda unajuana na kila mtu kwenye uongozi wa Tanzania. Tueleze zaidi unvyomjua mama Makinda zaidi ya kuuza naye sura.

- Ni mchapa kazi asiyependa mchezo hata kidogo, infact huyu ni nightmare ya mafisadi wanajua sana na the fact kwamba amechaguliwa inaweza kwua dalili za mabadiliko makubwa sana katika uongozi wa Term ya pili ya Awamu ya nne, ni mpenda haki na mfuatilaji wa details za ishus, hivi karibuni alikuwa DC kwenye semina ya uongozi bora aliniambia kufurahishwa sana na system ya uwajibikaji kwa viongozi ya huku USA, Wapinzani bungeni wakiwa makini bila mapepe atawasaidia sana as long wanapeleka ishus zenye uhakiika na hasa FACTS,

- Mkuu hivi ndivyo ninavyomjua Mama Makinda kuhusu masilahi ya taifa!
na kwamba hata kurudi kwake bungeni ilikuwa kazi kubwa sana na ya ziada sana!

William.
 

Kumbe wewe ni age mate! Hata sisi tuliosoma Muhimbili miaka hiyo vyeti vimeandikwa

"University of Dar es Salaam" heshima bint Mkongwe

Mch Masa K
 

Asante Kiongozi! Ngoja tumpe muda baadaye tutakurudia hahahahahahah stick on your words maana bunge la kipindi hiki nadhani si pole pole

Respect

Masa K
 


Shut up Malecela! Wewe umekula jasho la Watanzania kupitia mzee wako.Lazima utetee SISIEM ,maana baba yako yuko huko,unasema Makinda mchapa kazi,prove amefanya nini la maana??
 

Well ni mchapakazi kama unavyosema kwa kweli na mimi ndio intuition inavyoniambia kwa kumuona mara chache si rahisi

kumuyumbisha ila kazidi ukali ambao muda mwingine ni mzuri nashangaa watu waosema bunge litamshinda.Mama Makini

so long as ajatumwa na waujumu uchumi bunge litakuwa safi tu maana usipokuwa mkali unaweza kuishia kuongea pumba

bungeni just imagine kura vinaharibika ,what the hell mbunge anaharibu kura yake !?Au Ole Sendeka ukisema umwachie andelee kuongea upupu kwa kivuli cha demokrasia no way.

Challenge hasa kwa wabunge vijana ni kusoma katiba ya Tanzania na kanuni za bunge ili watuwakilishe vyema ,hata

akionewa waweze kusema spika kavunja kipengele gani ktk kanuni za bunge au katiba.

Swali la msingi kwangu hasa kwa William unaweza ku mention accomplishment zake kwamba kama vile amekuwa kwenye

board nyingi amechangiaje zisianguke,alipokuwa Mkuu wa mkoa,alipokuwa waziri ,na naibu spika .Ukiweza ku mention kila

mmoja utanitoa ktk kumshabikia kuingia kuwa inspired on what she accomplished
.

Ukali wa mama Makinda akiuwekwa kwenye direction sahihi maslahi ya nchi itakuwa safi sana.

Kama nakosea najua watalaam watanyosha ,
 
Shut up Malecela! Wewe umekula jasho la Watanzania kupitia mzee wako.Lazima utetee SISIEM ,maana baba yako yuko huko,unasema Makinda mchapa kazi,prove amefanya nini la maana??

- Ha! ha! ha! ha! Great Thinker na Great Thinking ha! ha! ha! ha! hillarious bro ha! ha! yaani umenivunja mbavu sana ha! ha! ha! ha!

William.
 
Shut up Malecela! Wewe umekula jasho la Watanzania kupitia mzee wako.Lazima utetee SISIEM ,maana baba yako yuko huko,unasema Makinda mchapa kazi,prove amefanya nini la maana??

Mkuu hebu heshima Kidogo Wiliam ametulia sana leo anamwaga data! Chuki na ubinafsi wake hebu weka kando tumjue mama Makinda. William if you opt to ignore haters utasaidia. Unajua mambo ya kifamilia ya huyu mama Spika? naosoma controverse nyingi hapa JF nisaidie kidogo kuweka mistari sahihi
 

- Well accomplishment zake kwenye viteongo vingine vya kazi alizowahi kuzifanya huko nyuma sidhani kama zinaweza kueleza anything on what she will accomplish kwenye bunge, kwa sababu majukumu ya huko alikotoka hayafanani kabisaa na ya kuongoza bunge la Jamhuri, labda kwanza tungejadili nini kinatakiwa kwa kiongozi kuwa a good Spika! au?

- Tizama mfano wa Mheshimiwa Keenja, alipokuwa City alifanya wonders kwa vile kule alikuwa one man show, lakini sio siri kwenye uwaziri haikuwa kama alivyokuwa City kwa sababu yalikuwa ni majukumu yenye mazingara tofauti!



William.
 
- Ha! ha! ha! ha! Great Thinker na Great Thinking ha! ha! ha! ha! hillarious bro ha! ha! yaani umenivunja mbavu sana ha! ha! ha! ha!

William.


Nafikiri ungepost hii message kwa blogu ya Michuzi ,maana naye ni mkereketwa wa SISIEM kama wewe.
Hatutaki UFISADI hapa JF
 

William unaweka uCCM hapa umeacha kujibu swalki la msingi kwa kuweka utani

Sema walau kidogo
Asante

Masa K
 



Sorry maelezo yako mengine naona mazuri tu ila kwa nini mna notation ya kusema mtu anasaidia au atasaidia pale napofanya wajibu wake.
Mfano hapo kwenye red yeye anatakiwa kutenda haki kufanya wajibu wake si kusaidia neno hilo ndio linafanya viongozi wajione waungu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…