Anne Semamba Makinda's Profile!

mkipewa? msipopewa mnalala doro siyo? haya mmepewa kidole juu, juu tafadhali

Jamani kwa nini unasema hivyo? Hatulali bana. Si unaona Makinda alikuwa Naibu, Rose Migiro yuko UN nk. Tunaweza bana kama mfumo dume ukitukubali.
 

Kamanda hayo unayoyasema kama yana ukweli basi tunayo shida kubwa.

Labda kwa maoni yako ni nini kifanyike? Maana katika 'Secret Ballot" wananchi "Wamewachagua Wao". Au imekaaje?
 
Jamani kwa nini unasema hivyo? Hatulali bana. Si unaona Makinda alikuwa Naibu, Rose Migiro yuko UN nk. Tunaweza bana kama mfumo dume ukitukubali.

Ni kama Chadema kuwakubali ThiThiemu kuwa ni chama makini na kinachofaa kuongoza nchi!!! Teh! Teh! Teh!
Big Lady, Mfume dume sijui jike upo vichwani mwa watu na sio uhalisia. Na mara nyingi wanatumia hiyo kitu kwa manufaa yao. chunguza utaona. "Za kuambiwa changanya na zakooooooo!!!!"
 
Viti maalum vya CCM aibu tupu kuna kina mama hata kusoma inakuwa shida... Jamani...

Haaaa haaaa JAMANI . . . . MWAYA tutafika yu . . .

Kwa Anna Makinda, je inaweza kuwa ameprove kuwa anaweza? Alipotolewa viti maalumu alienda kugombea jimboni. Since then amekuwa akishinda.

Hivi kuna wa viti maalumu wasiojua kusoma? We cant be serious!
 

Sasa nagundua kuwa CCM waliplot kumwondoa the best speaker in the tanzania history, kweli alikuwa wa standard and speed. Kipindi cha 2005 hadi 2010 kila mtanzania alikuwa anajua kinachofanyika bungeni. Ikifika muda wa bunge watu walikuwa wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kusikiliza na kuangalia vitu vya Six. Nilipata bumbuwazi kusikia Anne anachuka fomu, hii ina maana ilipangwa kuwa safari hii spika lazima awe a lady.
 
Mkuu, hebu lifanyie kazi kisha tuletee data, ingawa halitakuwa na uhusiano sana na utendaji wake.

Mtoto wa Anna atakuwa mkubwa kuliko huyo Neema. Neema atakuwa ni mtoto wa mke ambaye Prof alimuoa baada ya kuzaa na Anna. Watoto wa Prof kwa mke huyo wamesomea South Africa. I remain to be corrected .
 

Duh! Wakati huo JK alikuwa wapi?
 
Mtoto wa Anna atakuwa mkubwa kuliko huyo Neema. Neema atakuwa ni mtoto wa mke ambaye Prof alimuoa baada ya kuzaa na Anna. Watoto wa Prof kwa mke huyo wamesomea South Africa. I remain to be corrected .

Tumekusoma Mkuu. Tuko pamoja.
 

Marahaba Keil. Ni kweli cheti changu kimeandikwa "University of Dar es Salaam" wala hakuna reference yo yote ya Morogoro - cheti 'legal size' ukitaka kutolesha photocopy mpaka upunguze size to 90%. Enzi hizo SUA haijazaliwa. Graduation ilikuwa pale Engineering Main Campus.

Mamanalia hebu mpeni nafasi huyu mama halafu ndiyo mujudge kwamba amefanikiwa au la. Kwa nini munakuwa pessimistic kwa kila kitu? Huyu alishawahi kuwa mbunge tangu 1975 (I think), Minister, Mkuu wa Mkoa, Naibu Spika - basi bado ashindwe tu?
 

Ni kweli jambo hili ilipangwa makusudi ndo maana wanawake wengi sana waligombea ndani ya ccm, na pia kama Anne asingekuwa anajua kuwa Sita hatateuliwa asingeacha kugombea nafasi ya naibu spika.
Kinachonisikitisha ni kuwa kwanini CCM wanaosema hakuna ubaguzi wowote hata wa kijinsia watende tendo la ubaguzi la namna hii la kumnyima mtu haki ya kuwa kiongozi pamoja na kuwa na sifa zote eti kwa sababu ni mwanaume!!!!!!!!! Hii haikubaliki kwa chama makini!! Kweli CCM ni sikio la kufa.
 

Ukiangalia jinsi alivyokuwa anawahandle wapinzani alipokuwa anaendesha vikao wakati wa bunge lililopita utatambua kuwa she is short-fused!! Unless anabadilika kazi hii ya kuendesha bunge itamuwia vigumu sana hata akapata ugonjwa wa shinikizo la damu kama hanaompaka sasa!! She has to learn to be calm!!
 
 
ndio maana viwanda kibao vimekufa

mtu mmoja anakuwa boardy memba kwa mashirika zaid ya 3 wa walati mmoja?!

Ina maana watu hawakuwepo wa kushika nafasi hizo. Kama ndivyo mbona hao hao ndio walileta "vidonge vya uzazi wa mpango ILI KUPUNGUZA WATU?"
 

Msekwa ameingiaje hapo? Nijiavyo mimi huyu dingi Msekwa ni mume wa Anne Abdallah labda kama walikwisha pigana tipper! Anna Abdalla alikuwa mwenyekiti wa muda kuongoza uchaguzi wa Anna Makinda! Mafisadi wamechukua Ikulu, Bunge na Mahakama! Tasisi ya Takukuru ilisha wekwekwea kwapani longi! Ila ngoma nzito bunge hili-Na amini lazima patachimbika tu humo bungeni. Time will tell!
 
Kazi anayo ndiyo maana hotuba yake fupi baada ya kuchaguliwa kuwa spika amesema ataanza kujifunza sheria na kanuni za kuliongoza bunge. halafu mbona kama amekaa kiubabe babe ili kuficha udhaifu wake kuwa sheria inampiga kushoto ili hali bunge hili limejaa wasomi kbao hasa nyanja ya sheria? miaka yoye hii hata kujiendeleza na degree ya online?
 

Hilo ndo tatizo , amepataje huo uspika??
Haiwezekani abebwe na kuwekwa hapo pasipo maslahi ya watu wengine! Wasiwasi mwingine ni namna alivyokuwa anpata shida na haoja za wapinza, nakumbuka alivyopata shida sana kumzuia marehemu Chacha Wangwe kutoahoja yake akiwa naibu speaker sasa anapokuwa Speaker itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…