Kwenye kuchangia mjadala wa bajeti ya wizara ya ulinzi na kujenga taifa Zitto alitaka kujua tamko la serikali juu ya Meremeta, wazira akapiga chenga ya mwili na mwishoe akasema Mtoto wa Mkulima alishalitolea maelezo. Sasa basi huyu maza akajitia kimbelembele kujipendekeza kwa serikali akaongea upuuzi eti suala la manunuzi ya kijeshi na zana za kijeshi hayapaswi kuzungumza hadharani. Akaongeza "wakati Sarungi akiwa waziri wa ulinzi na JKT na John Samweli akiwa mwkt wa kamati ya ulinzi na mambo ya nje tulishaafikiana na pia naomba mjue HUKO KWNY HIYO KAMATI NDIPO TULIPOKUTANA NA MALECELA NA KUANZA URAFIKI WETU" Sasa kumbe hawa magamba hawazungumzii mambo maana ya kitaifa kwny hizo kamati zao zaidi ya bla blaaa na upuuzi mtupu
JF haturembi mtu hapa, ukienda kinyume huachwiLeo imekuwaje tena mnamgeuka? Si JF kulikuwa na thread kibao za kumpongeza kila kukicha?
anaona ni sifa..huyu mama ni sifuri kabisa. Wananchi wake wanataabika vibaya mno ..jimbo lake ndio la mwisho kwenye mkoa wa kilimanjaro.Anaona ujanja sana kufanya urafiki na vikongwe ama ndo hongo ya ubunge?
Leo imekuwaje tena mnamgeuka? Si JF kulikuwa na thread kibao za kumpongeza kila kukicha?
Lakini hapo sijaona amejitia aibu! Ameeleza ukweli! Namkubali cuz kawa hata na confo ya kusema alikokutania na mumumewe!!JF haturembi mtu hapa, ukienda kinyume huachwi
anaona ni sifa..huyu mama ni sifuri kabisa. Wananchi wake wanataabika vibaya mno ..jimbo lake ndio la mwisho kwenye mkoa wa kilimanjaro.
hapa naona wewe mgeni!yeyote anayeharibu wattu wanasemaLeo imekuwaje tena mnamgeuka? Si JF kulikuwa na thread kibao za kumpongeza kila kukicha?
akifanya vizuri anapongezwa akichemsha anaambiwa ukweli kwani na hapo ni tatizo
kuna mtu anashambuliwa maisha yake hapa jf kama dk slaa?Hii ikifanyika na kwa malaika wa jf slaa itakuwa poa zaidi,si mnakandamiza tu upande mmoja kinafiki and kishamba
Lakini hapo sijaona amejitia aibu! Ameeleza ukweli! Namkubali cuz kawa hata na confo ya kusema alikokutania na mumumewe!!
huyu maza ni uselessy kabisa jimbo lake halina barabara ya lami hata moja , zaidi ya ile inayopita kwenda arusha,wananchi wake wanaishi maisha duni sana.barabara mbovu sana hasa huko mlimani, hospitalini hakuna madaktari na walimu wanakimbia vituo vyao vya kazi,na keshwadanganya wananchi wake sana. Yupo anamuuguza mmewe tu.