SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,080
- 75,440
Hayo machozi ujue alivuta hisia siku mzee J4 alivyopigwa chini kwenye mbio za kutaka kugombea urais na ukawa mwisho wa ndoto zake za kuwa first lady, msanii sana huyu bi mkubwa.Huyu mama anaenda kwenye misiba kule upareni na kujikusanya na wamama wa kule na kuanza kulia nao ...huu ni ujinga ataliaa wee hapo na ujanja wake ni kupata huruma zao ila wameshamshtukia ...na ndio maana anajishtukia sasa hivi ..abaki zake huko huko mtera
hatuongelei mate picha zipo
View attachment 54880
Source tu inatosha, mengine siongei
- Asisitiza damu kutomwagika 2015
- Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.
Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
Dada anna kilango malecela, naona kwanza ungekuwa na uvumilivu wa kutochemka kujibizana na chadema. Kwanza ungetafakari wananchi wa same umewafanyia nini?. Dada wewe hujiulizi kwanini mpaka leo tunapoongea hapa bara bara ya kutoka mkomazi kwenda jitengeni mpaka kihurio mpaka ndungu haina lami? Hali yetu inasikitisha sana na tulitaraji hayo ndio ungeweza kuongea na kushindana na wakubwa kwa kujibizana ili tufanikiwe tupate bara bara lakini leo unaingia kwenye hoja za chadema?ta
dada kule mamba napo ule ujenzi wa kiwanda cha tangawizi mpaka sasa hali hakuna matumaini pesa hakuna sasa leo utawaambia nini wananchi wako wasifikirie kwenda chadema na kuchukuwa nchi mwaka 2015
bara bara yetu ni mbaya dada achana na malumbano na chadema watakunyanganya jimbo
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?
- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!
- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!
William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!
too emotional for my liking Bill.
mama anajivunia kiwanda ch tangawizi, ningchojiuliza je wakazi wote wa huko same ni wakulima wa tangawizi? Vip barabara, umeme, maji nk.
ha! Ha! Ha! Ha!
na ni kwasababu alivuka kwa maslai yake.