TANZIA Anna Maulidah Komu Afariki Dunia

TANZIA Anna Maulidah Komu Afariki Dunia

Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho.

Mama huyu alikuwa mgombea mwenza wa Mzee Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa 2005, amekuwa mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA na Mwenyekiti Bodi ya Wadhamini CHADEMA.
View attachment 3581148

View attachment 3581181
Habari nzuri
20260423_092001.jpg
 
Ni MKRISTU au muislam?

Tafadhali amayejua maana, sababu na historia ya majina **ANNA +MAULIDA + KOMU( nadhani jina la kichaga)**Afafanue ili tumjue vizuri marehemu
 
Mungu ameanza kushughulika na mmoja baada ya mwingine
 
Ni MKRISTU au muislam?

Tafadhali amayejua maana, sababu na historia ya majina **ANNA +MAULIDA + KOMU( nadhani jina la kichaga)**Afafanue ili tumjue vizuri marehemu
Huyu Mama wa Kichagga inaonekana aliolewa Zanzibar ndiyo akapata jina Maulida... ni Muislam ( I guess..)
 
Habari nzuri kabisa hii alikubali kutumiwa na CCM kuiua Chadema matokeo yaka kafa yeye akiiacha Chadema ikizidi kushamiri bado yule mjinga mwingine aliyekuwa makamu wa Sultan Mbowe. Hata Sultan Mbowe ajiangalie sana kwani alikuwa nyuma ya hii michezo yote ya kuihujuma Chadema.
Sawa. Tunatunza hii comment.
 
Mwenyezi Mungu amlaze pema jabali la siasa za upinzani Anna Komu.
Amen
 
Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho.

Mama huyu alikuwa mgombea mwenza wa Mzee Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa 2005, amekuwa mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA na Mwenyekiti Bodi ya Wadhamini CHADEMA.
View attachment 3581148

View attachment 3581181
IMG_20260429_213353.jpg

Kifo ni kifo tu.
 
Apumzike anapostahili
 
Back
Top Bottom