THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Hivi mnajua mtu anavyo zeeka na ubongo wake huwa unasinyaa.?Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
Kashfa ipo wapi. Mimi nimeuliza swali wewe unaliita kashfa. Mimi ninacho taka kufahamu ni kivipi Baba yake Moh aitwe Abdallah wakati Moh was the first Muslim?
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
kumbe wadini ni waislaam ee??Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
Anna Abdallah si muislam ni mkristo,japo nakubaliana nae kuwa hoja yake ya kusema makanisa yapo mengi ni ya kipuuzi,tunataka idadi ya makanisa na misikiti iwe mingi ili watu wazid kumjua mungu na idadi ya vituo vya polisi ipungue kabisa na magereza wafungwa wawe wachache...
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini?? Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
Simjui Moh ni nani lakini Uislam upo hata Adam kaukuta hapa duniani! Do not confuse Quran and Islam!! Muslims believes in INJILI,ZABURI,TAURATI and QURAN.
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
Acha kamba wewe mfuasi wa Moh, Uislam umeanza miaka 500 baada ya Kristu. Habari za Urongo pereka kwenye mihadhara
Ndiyo maana nakwambia hujui uliongealo! Ni sawa na useme Ukristo umeanza lilipotoka agano jipya!! Wengi mnashindwa kutofautisha Quran na Uislam!Uislam upo kabla ya Quran,That's why Muslims believes in all Holy Books including Agano la kale lakini nakubaliana na wewe kuwa Quran imeanza kushushwa Kipindi cha Prophet Muhammad peace be upon him!! Sikulazimishi ukubaliane na nilisemalo maana labda ulishamezeshwa sumu na viongozi wako wa dini tangu utotoni.
Hizi Pumba zako peleka kwenye vijiwe vya gahawa au madrasa unaweza eleweka lakini siyo hapa kwa watu wenye akili nyingi na wanaosoma sana maandiko mbalimbali. sasa sikiliza wewe maamuma....Ndiyo maana nakwambia hujui uliongealo! Ni sawa na useme Ukristo umeanza lilipotoka agano jipya!! Wengi mnashindwa kutofautisha Quran na Uislam!Uislam upo kabla ya Quran,That's why Muslims believes in all Holy Books including Agano la kale lakini nakubaliana na wewe kuwa Quran imeanza kushushwa Kipindi cha Prophet Muhammad peace be upon him!! Sikulazimishi ukubaliane na nilisemalo maana labda ulishamezeshwa sumu na viongozi wako wa dini tangu utotoni.