Ann Romney cried when Obama won !!

Ann Romney cried when Obama won !!

At Fox News.jpg

The Fox guys!
 
Bado analia tuu, ha he ha he, ngoja tusubiri 2016, labda atagombea tena:A S angry:
 
Nadhani hata Natalia analia mpaka sasa. Where are you sister Republican? Don't say we did not warn you.
 
Ryan: Shocked at loss, Obama won fair and square

"Bad news: Dad lost. The good news: They get to stay at the same school," he said. "That was the upside of all this. The downside is we didn't win the election that we really wanted to win."

http://news.yahoo.com/ryan-shocked-loss-obama-won-fair-square-232321569--election.html
 
Nadhani sasa ndio maana wanataka kumchapa Obama kwa fimbo ya mchongoma kwa kuhakikisha majimbo yakutosha yanajitenga na "FEDERO GOVT".

Hili likifanikiwa litakuwa pigo kubwa kuliko kuukosa Urais wa Marekani
 
hivi kwanini wasije kusimamia kuhesabu kura hapa kwetu, maana nina hakika hata 2010 ccm haikushinda hata kidogo, na 2015 ndio kabisaaaaaaa hawatashinda, ila wataiba kura kama ilivyo ada kwao!
 
The guy is very smart upstairs. to beat wazungu two times is NOT a joke.

Mkuu campaign yao ilitumia tekinolojia ya kisasa zaidi (data driven system ya kufanya/kutoa mahamuzi nini la kufanya ili umzidi kete mwezako) mtandao ulitumika kikamilifu. Jamaa aliandaa karibu miaka miwili kabla ya uchaguzi, alikuwa na database kubwa ya majina ya wapiga kura wanao onekana wanamunga mkono, kawatumia hao hao wawashawishi marafiki zao kwenda kupiga kura na wampigie yeye; kama nilivyo sema katika utangulizi wangu social networks (walitumia mpaka facebook kweye mikakati yao for the first time) zilitumika kikamilifu, vile vile na volunteers walikuwa wanapitia nyumba hadi nyumba kuhamashisha wapiga kura au kuwapigia simu za ushawishi wapiga kura kutokana na majina yaliyo andikwa kwenye database.

Jamaa na TEAM yake iliyo ongozwa na Jim Messina bila kumsahau David Axelrod walikuwa wamajipanga vilivyo kumkabili Romney- What a DREAM TEAM!!!!
 
Josephine Slaa nayeye atalia 2015 lowassa akichukua nchi
 
Vilio vimezidi GOP mpaka wale jamaa wahapa JF wamepotea na hawagusi hii mada. Yaani wao ni kutokwa mipovu tu. Thanks President Obama and God bless you.
 
Vilio vimezidi GOP mpaka wale jamaa wahapa JF wamepotea na hawagusi hii mada. Yaani wao ni kutokwa mipovu tu. Thanks President Obama and God bless you.

Mkuu umenifanya nicheke sana lol!
 
Back
Top Bottom