Iam back_Euphoria
JF-Expert Member
- Sep 17, 2024
- 356
- 1,071
Halafu kuna blue exorcistView attachment 3411468
Updated.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
13. One Piece
14. Jujitsu Kaisen.
15. Solo Levelling.
16. Dragon Ball Z.
17. Bleach.
18. Naruto.
19. Berserk.
20. Attack on Titan.
21. Hell's Paradise.
22. OverLord.
23. Dan Dan.
24. Lazarus.
25. Fire Force.
26. My Hero academia.
27. Gachiakuta.
28. Hunter X Hunter.
28. Tokyo Revengers.
29. Tokyo Ghoul.
30. Sakamoto Days.
31. Kaiju Number 8.
Nimeicheki hiyo, nikajua mwamba ni dume ila nilikuja shtuka ni jike asee... Yaani daah wamejua kunichezea akiliSijui watu hawajaiona hii blue eye samurai duuh kaa stor ilitulia yaan ilikuw siku shule inafungua ten itabid niimalize mm oya ile story y revenge ya samurai mm netflix walitulia kwa ile story had unasem mm nilikuwa wap yaan
Guys story n tamu alafu samurai n dem mm niliikubal kinyam juz apa nimetoka kuicheck tena
Mm uyo samurai n real danger n story yake sem ilikuw inaendan kidogo kaa shogun
Hiyo black clover nilikazana nayo mpaka kufikia episode mia hamsini na kitu nikaona bora niweke kiporo kuliko kupoteza bando😂😂Ukishatoa One peace mwingine anayenitia uvivu ni Black Clover 😃😃ila hii ngoja nijikaze week ijayo niishushe nianze mdogo mdogo episode 100+ sio pow😃😃
Ippo Hajime una ugomvi nayo mkuu😃😃😃😃View attachment 3411468
Updated.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
13. One Piece
14. Jujitsu Kaisen.
15. Solo Levelling.
16. Dragon Ball Z.
17. Bleach.
18. Naruto.
19. Berserk.
20. Attack on Titan.
21. Hell's Paradise.
22. OverLord.
23. Dan Dan.
24. Lazarus.
25. Fire Force.
26. My Hero academia.
27. Gachiakuta.
28. Hunter X Hunter.
28. Tokyo Revengers.
29. Tokyo Ghoul.
30. Sakamoto Days.
31. Kaiju Number 8.
Sawaa sawaa mkuuIla episodes za mwanzoni walizingua Kidogo kwenye CGI.
Ila kadri episodes zinavyoendelea waliweka Flesh.
Ndo nimeamka hapa nishushe hata season mojaHa ha ha icheki. Zipo Seasons 5.
Me nilizingua wakati wadau wanaangalia nikasema nitachek tuu kuja kushtuka wapo episode ya 100 nikasema bas sasa hakuna namnaHiyo black clover nilikazana nayo mpaka kufikia episode mia hamsini na kitu nikaona bora niweke kiporo kuliko kupoteza bando😂😂
Nimequote hiyo post ya Mwananchi B nikarudi kwenye topic, nikaenda kwenye Edit, sioni option ya Insert quoteKwel haupitwi na kitu me ni mtalaamu wa Browser
Kwenye browser nenda kwenye message hiyo ya Mwananchi B Quote baada ya hapo nenda kwenye message ya kwanza pale juu bonyeza sehemu ya kuedit watakuletea sehemu ya insert Quote utaweka
Ili mtu aeelewa kabla hujaauote andika baadhi ya recommendations zilizotolewa na wadau then una insert Quote yako hapo chini
Itabid tuwaombe mods watusaidie kuwekaNimequote hiyo post ya Mwananchi B nikarudi kwenye topic, nikaenda kwenye Edit, sioni option ya Insert quote
Insert quote inatokea kama tu nikiwa nareply kwenye comment ya mtu
View attachment 3411767
Kuna hii inaitwa Devil May Cry ni ya mwaka huu ni kali sana, imetengenezwa na Wamarekani, hii tunaiweka kwenye kundi gani, au ni American AnimeAnime mwenzake Manga zinatoka Japan,
Donghua mwenzake Manhua zinatoka China
Aeni mwenzake Manhwa zinatoka Korea Kusini
Japo Solo leveling ni Anime (imekuwa animated Japan) ila original ni Manhwa ya Korea, pengine popular Manhwa ever. Same kwa nyengine kama God of High school, Tower of God, Windbreaker etc.
Manga Nyingi zinakua Black and white baadae zinakuwa za rangi kwenye Anime na anime nyingi ni 2D, Manga na Anime nyingi zinakua Deep, Anime kama one piece toka 1999 hadi leo ina endelea same kwa popular Anime kama Naruto, bleach, dragon ball etc.
Manhwa ni recent hawa jamaa hawana Aeni nyingi, budget zote wanamalizia kwenye Manhwa, zenyewe ni za kisasa mfumo wa webtoon na zinasomeka vizuri kwenye simu tofauti na manga zinazohitaji tablet ama kifaa maalum cha kusomea.
Manhua na mwenzake Donghua ni wachina, wazee wa quantity, hizi zipo nyingi mno na Animation zao ni 3D ila not necessarily quality kubwa over 2D za Anime, popular Donghua ni kama soul land series, throne of seal, will eternal etc.
Kuongezea Hizi zina apps ambazo ni open source za video Kama Aniyomi na forks zake kama animiru na za kusomea Mihon na Fork zake kama Tachiyomisy, Komikku etc unasoma na kuangalia bila ads na mfumo ambao upo clean kufuatilia bila kusahau ulipoishia.
Ngoja tuziorganize vizuri nadhan post ya Chief Mkwawa na hiyo list iliyotolewa na Mwananchi B uziquote pamoja then umtag mods aziweke pale juu maana Jf sasa ni kama search Engine pia😃😃
I stop arguing even if I'm rightAliyekasirika ni wewe
Ha ha ha daaah nataka kusahau Chuma aisee.Ippo Hajime una ugomvi nayo mkuu😃😃😃😃
Fanya yako binti , bora niangalie katuni kuliko Kufatilia Habari za Mwijaku na Babalevo.Uzi wa watoto wanaojiita watu wazima. Mtu mzima huwezi angalia katuni ukisingizia jina la kizungu animation
Anime sio za watoto. Tumia simu yako kufanya research vizuri."Mtoto Kufanya Mambo Ya Kitoto,Tunasema Mtoto Anacheza,,,Na Mtoto Akifanya Mambo Ya Kiutu Uzima,Tunasema Mtoto Anakua,,,Lakini Mtu Mzima Kufanya Mambo Ya Kitoto....!!Kuna Uwalakini...."
Pia usisahau castlevania na vinland saga na nyingine Mushoku tenseiHa ha ha daaah nataka kusahau Chuma aisee.
Ngoja niiweke kwenye List sasa hivi na mwenzake Kengan Ashura.