Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Wakorea bado Studio, so Ikabidi Wajapani Watengeneze animation,Aah umenipa Elimu...
Nilibishana sana na jamaa yangu kuhusu Solo leveling me nasema ni ya wakorea baada ya kusoma Manhwa yake yeye anasema Wajapani kwakuwa wanazungumza kijapan mule😃😃
Kweli, za mwanzo mwanzo lazima quality itakuwa tatizo.Quality yake ndo inanipa wasiwasi😃😃
Imetoka leo episode 1Binafsi Anime yangu pendwa ni Ippo Hajime Makonouchi hii hata week iliyoosha nimetoka kuiludia ...
Japo sidhani kama watatoa mwendelezo wake nipo nasikiliza watoe manga ya mwezi huu hapa niliishia sehemu nzuri sana
Baada ya hapo Attack On Titan ipo kwenye ratiba zangu nikiboeka tuu naangalia namkubali sana mwamba wangu Levi Ackerman na kichaa wake HangeView attachment 3411213
Solo Leveling Mwaka huu walijua kutushika Season 2 imekuwa ya moto mno...
Nipo nangojea Kaiju No 8 niliambiwa mwezi huu wataachia
Aah sawa mkuu nimekupataWakorea bado Studio, so Ikabidi Wajapani Watengeneze animation,
Ngoja tutajipindan nayo tuu ni kama Makonouchi 😃😃😃mwanzo unaangalia tuu ila mbele quality ilituliaKweli, za mwanzo mwanzo lazima quality itakuwa tatizo.
Ila za mbele zinaweza kuwa zipo vizuri.
Tupo wengi mkuu karibuKumbe wadau wa anime tupo wengi
Hii itanifaa kesho 😃
Sijafuatilia nilikuwa busy busy leo plus awafim kufungiwa sijaona wacha niitafuteImetoka leo episode 1
Hivi ni baadhi ya vitu Roho inapenda embu ngoja niishusheHumo kwenye Kingdom utaona War ni Form of an Art Yaani watu hawapigani tu Ovyo Ovyo. Ila Kuna Geniuses linapokuja suala la Vita.
Hii wameitolea live action movie zake. Nimeiona Kingdom 3. Iko poa sana
Ila episodes za mwanzoni walizingua Kidogo kwenye CGI.Hivi ni baadhi ya vitu Roho inapenda embu ngoja niishushe
Ha ha ha icheki. Zipo Seasons 5.Hii itanifaa kesho 😃
One piece mia mia.... Luffy pale katiView attachment 3411468
Updated.
1. Black Clover.
2. Wind Breaker.
3. Death Note.
4. Demon Slayer.
5. Tsumikichi moon Fantasy.
6. Haikyuu.
7. Blue Lock.
8. The Saga of Tanya the Evil.
9. God of Highschool
10. Shangri la Frontier.
11. Spy X Family.
12. Classroom of Elite.
13. One Piece
14. Jujitsu Kaisen.
15. Solo Levelling.
16. Dragon Ball Z.
17. Bleach.
18. Naruto.
19. Berserk.
20. Attack on Titan.
21. Hell's Paradise.
22. OverLord.
23. Dan Dan.
24. Lazarus.
25. Fire Force.
26. My Hero academia.
27. Gachiakuta.
28. Hunter X Hunter.
28. Tokyo Revengers.
29. Tokyo Ghoul.
30. Sakamoto Days.
31. Kaiju Number 8.
Kabisa Mkuu.Ngoja tutajipindan nayo tuu ni kama Makonouchi 😃😃😃mwanzo unaangalia tuu ila mbele quality ilitulia