Magembe R. Malima
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 233
- 216
Hizi ni baadhi ya filamu za uhuishaji (Animated films) zitakazooneshwa katika tamasha la filamu Zanzibar mwezi
Julai mwaka huu. Zimetengenezwa na Watanzania...... mnaweza mkaona hatua zilizofikiwa katika sanaa hii.
Hii ni ya Anaeli Kihunrwa (Mkufunzi na Mwanzilishi wa Chuo cha MediaOne).
[video=vimeo;64291770]http://vimeo.com/64291770[/video]
Hii ni ya Moud Omari (Mhuishaji na "Mkufunzi binafsi" (Private Tutor)) wa DTOON.
[video=vimeo;64135374]http://vimeo.com/64135374[/video]
Filamu na habari zaidi juu ya Tamasha la Filamu, ZIFF, waweza kuzipata hapa na hapa.
Anaeli anapatikana hapa.
Moud anapatikana hapa.