.....ningekuwa mimi zaidi ya robo wangepotea......mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..
Sijui wanampendea nini?Mkuuu umeniacha hoiii
Uhalisia wenye kutia shaka sana.....ningekuwa mimi zaidi ya robo wangepotea...
...mtu akikushinda niambie ndani ya dk.5...
...ningekuwa mimi nisingesaini..
...ningekuwa mimi....
...ningekuwa mimi....
hizi kauli za 'ningekuwa mimi' siyo nzuri... ni dalili ya mtu hatari ambaye anaweza kufanya kitu chochote.
Dikteta uchwara John Pombe Magufuli.
Mimi nipo Bulongwa hapa.
Mimi wa Nyanda za juu kusini lakini huyu Dikteta Magufuli namchukia sana.
Natamani afe hata leo.
Taratiibu tutafikaSijui wanampendea nini?
Bora tugawe nchi tu yeye abaki na Chato yake.
John Pombe Magufuli ana chuki na visasi sembuse mimi.Chuki za namna hii hazijengi na zina madhara makubwa.
Jirekebishe...na urudie kusoma post ya Mshana jr.
Ina manufaa kwako pia na inakuhusu moja kwa moja.
Wakija PM watume pesa kwanza kwa MPESA huku nilipo ni voda tu.Wakuwezee wapi shosti, tena wakiona jinsia KE wataishia kukuPM tu
Kama unaamini JPM anayanya jambo baya basi isiliige.....John Pombe Magufuli ana chuki na visasi sembuse mimi.
Yuko sawa kwa lipi acha kupotosha."UKIONA WATU WANAKUCHEKEA UJUE UMEKOSEA MAHALA ILA UKIONA WATU WANAKUCHUKIA UJUE UKO SAWA KABISA"
Hizi ngonjera ni vyema angeimbiwa Seif siku aliyokataa mkono wa Shein sababu ile ilikuwa kuutangazia umma kuwa ana chuki isiyo elezeka.
Cha kushangaza ni kuwa wale wale waliompongeza Seif kuwa siyo mnafiki ndiyo wanalialia baada ya hii count attack.
Mwisho wa siku dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake ni vyema Magufuli naye apongezwe kwa kutokuwa mnafiki kama alivyopongezwa Seif.
Wahenga walisema boss hanuniwi.
1.IsiliigeKama unaamini JPM anayanya jambo baya basi isiliige.....
Jitafakari na ujirekebishe...utapata shida maishani wala zisizo na lazima.
Tatizo la chuki, humuumiza zaidi aliyeibeba moyoni.
Anguko la Chama Dola? Hahahahah hahahaha haahah hahah hahahahhhhahah hahahhhhh hahaaahhhhh !!!!
Kwani hekima ni nini? Inategemea na tafsiri ya kila mtu na mazingira aliyopo. Hekima kwa mwingine siyo lazima iwe hekima kwa kila mtu. Tusidanganyane. Ni mtazamo tu wa kila mtu na kila mtu yuko huru kufikiri atakavyo. Watu wanategemea wanyenyekewe hali wao hawana unyenyekevu wowote. Lazima wavune wanachopanda.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Haya mama nimekupisha.1.Isiliige
2.Ananyanya(maana ya haya maneno tafadhali)
Wewe ni division five pita mbali na mimi.