Tb Joshua alikuja Tanzania akashuka kwenyr ndege yenye thamani ya mabilioni akiwa peku.....kibiblia hii ni ishara mbaya kwa taifa,taifa litakumbwa na mambo fokiria rais unampokea mgeni kashuka kwenye ndege ya kisasa anakanyaga chini wakati unajua nyumbani kwake ana viatu pea kwa pea,na anatoa misaaada ya mamilioni kila Mwaka,Kuna maneno ya siri yule TB Joshua alimwambia jamaa 'yangu' fulani kuhusu utabiri fulani ambao sio busara kuusema kwa sababu sometimes kauli huumba! .
Naweka kumbukumbu ya bandiko hili, siku ya siku nitakukumbusha na kukueleza TB Joshua alitabiri nini! .
Pasco
Usifanye juhudi za kijinga za kuwatoa watu kwenye mada husika...kama unaona kuna hilo hitaji unaweza tu kulianzishia madaMakamanda ushauri wa bureau: Kwa vile ukuta unakuja hapo 01/10/2016 kulingana na amri ya Dj, muda huu na nguvu zenu mngezitumia kujiandaa ipasavyo.
Swadakta! Au unafananisha na za DJHizo ndio akili za Mwenyekiti?
Swadakta! Au unafananisha na za DJ
Mkuu usemacho kwa maridhiano ni muhimu kina mantiki,lakini amani usiamini kuna watu bila mchakamchaka na push up huwa ni ngumu sana kukaa kwanye mstari,ndio mana kuna msemo usemao dawa ya moto ni moto.LET THE EVENTS TAKE THEIR COURSE.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Let the events take their course(cause? )but have ever thought about the outcomes?Mkuu usemacho kwa maridhiano ni muhimu kina mantiki,lakini amani usiamini kuna watu bila mchakamchaka na push up huwa ni ngumu sana kukaa kwanye mstari,ndio mana kuna msemo usemao dawa ya moto ni moto.LET THE EVENTS TAKE THEIR COURSE.
Si umtaje tu mkuu.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Amenand amen Mshana.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Did that old man think about the outcome when he refused to shake hands with his president?Let the events take their course(cause? )but have ever thought about the outcomes?
Mwanamke kujiamini [emoji123] [emoji123]Dikteta uchwara John Pombe Magufuli.
Mimi nipo Bulongwa hapa.
Kwa hiyo?Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Hivi policcm wanaweza kuja Makete mpakani na ziwa Nyasa.Mwanamke kujiamini [emoji123] [emoji123]