Aliyekula kala iwe kidogo au kikubwa,halafu Wema na Hamisa kama Saidi na Side wote wauzaji.Ila nyumbu anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class , A-List super star hadi kuangukia pua, wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jaman ? Like seriously?? Ina maana hata hamisa mobetto kampiku akili? , mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina rick Ross , makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi maskin .
Yani wema sasa hivi yuko level moja na kina lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.
Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wemaView attachment 1818589
Mkuu unajua kuna muda inabidi ukubaliani na ukweli kuwa sasa umeisha na muda wako umekwisha uanze kuishi maisha halisi. Watu wengi uwa tunaanguka zaidi kwa kutotaka kukubaliana na ukweli. Ukikubaliana na ukweli ni bora zaidi maana utaanza kuishi kiuhalisia ila ukiendelea fake utajikuta mwisho wa siku unadhalilika zaidi maana badala ya kujipanga upya unajikuta hutaki kukabiliana na ukweli.Ila nyumbu anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class , A-List super star hadi kuangukia pua, wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jaman ? Like seriously?? Ina maana hata hamisa mobetto kampiku akili? , mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina rick Ross , makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi maskin .
Yani wema sasa hivi yuko level moja na kina lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.
Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wemaView attachment 1818589
Kafunga mda Sanaaa hata miaka miwili inafika kwa sasa kalikodi mobeto kids corner the number one celebrity in TZ....!Kwani lile duka lake la pale chini siku hizi kafunga? Au hakuna wateja.
Kabisaa yaani Mimi namsapoti 100% kina Lokole wanamponda kwa kua wanajua kawaharibia biashara zao maana Wema ni tittle...!!!Mkuu unajua kuna muda inabidi ukubaliani na ukweli kuwa sasa umeisha na muda wako umekwisha uanze kuishi maisha halisi. Watu wengi uwa tunaanguka zaidi kwa kutotaka kukubaliana na ukweli. Ukikubaliana na ukweli ni bora zaidi maana utaanza kuishi kiuhalisia ila ukiendelea fake utajikuta mwisho wa siku unadhalilika zaidi maana badala ya kujipanga upya unajikuta hutaki kukabiliana na ukweli.
Ni afadhali afanye anachofanya kama kweli kafulia kuliko kuendelea kufake kuwa yuko vizuri maana inamuumiza kipesa mpaka kiakili.
Yule binti atakuja kujutia huu ujana anaouchezea. Mama yake anamuexpose kwenye mambo ya kishenzi sababu tayari yeye ameshachuja na Hana namna ya kujiweka kimjini bila huyo mtoto anayemuuza bila kujali future ya mwanae.Wema ni sikio la kufa huyo, hafu namuona na Paula akija kuwa ka wema sepetu hivi
Exactly!!Wema ni sikio la kufa huyo, hafu namuona na Paula akija kuwa ka wema sepetu hivi
Yani wema alitumia vibaya zama zake aisee mbona hamisa ni mama wawili na amepata akili na anasonga mbele milango inazidi tu kufunguka
Atakuja kujuta haswa huyu na Bora hata angeendelea na shule ingekuja kumu boost Jojo alikuwa mhuni Ila elimu yake ilimsaidia sasa huyu Paula hashikiki anatoka na hawa mastar wapuuzi tu, lulu baada ya majanga alijifunzaga na kutulia tuliYule binti atakuja kujutia huu ujana anaouchezea. Mama yake anamuexpose kwenye mambo ya kishenzi sababu tayari yeye ameshachuja na Hana namna ya kujiweka kimjini bila huyo mtoto anayemuuza bila kujali future ya mwanae.
Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Hoyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.Atakuja kujuta haswa huyu na Bora hata angeendelea na shule ingekuja kumu boost Jojo alikuwa mhuni Ila elimu yake ilimsaidia sasa huyu Paula hashikiki anatoka na hawa mastar wapuuzi tu, lulu baada ya majanga alijifunzaga na kutulia tuli