Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,506
- 2,452
Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni ulimwengu halisi,wale wote waotao ndoto ya yule ni kweli kunamfanano wa yule kwa kila kitu lakini mmoja anapenda utawala wa sheria,hii sio accident ni kanuni ya asili,haina budi kutokea upepo na mawimbi ya bahari yatulie.
Mwaka huu tukio la kihistoria la ukombozi halina budi kutokeaWanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
Mkoloni ana nafuu sana. Lakini awe mweupeBora arudi mkoloni kuliko Hawa ccm
Umeambiwa na nani?Mwaka huu tukio la kihistoria la ukombozi halina budi kutokea
Nilikuwa simpendi Gwajima
Mkuu muda utafika utajionea mwenyewe ,jambo hili litatokeaUmeambiwa na nani?
We jamaa unaumwa nini lakini? Una tahiri Maiti?No man will be buried uncircumcised, as long as I am working in the mortuary.
Nitawakeketa naapa.
Cc: Intelligent businessman
Hebu tupe mechanism how, in nutshell. Tumechoka ujue.Mkuu muda utafika utajionea mwenyewe ,jambo hili litatokea
Wanaitwa kufanya nini hao,ama waje kububujikwa machozi?Choicevariable, TlaahTlaah,mtoto wa shule,mbumbujikwa machozi
Wacha tuone itakuwajeDalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni ulimwengu halisi,wale wote waotao ndoto ya yule ni kweli kunamfanano wa yule kwa kila kitu lakini mmoja anapenda utawala wa sheria,hii sio accident ni kanuni ya asili,haina budi kutokea upepo na mawimbi ya bahari yatulie.
Anguko la kihistoria linakuja kwa kasi sana,ni sawa na mtu aliyeanguka kwa utelezi wa matope ,kila anapojitahidi kujiokoa ndipo anapozidi kupalilia anguko ,ni sawa na anguko hili kadri anavgozidi kurekebisha ndiyo speed ya anguko inaongezekaNo man will be buried uncircumcised, as long as I am working in the mortuary.
Nitawakeketa naapa.
Cc: Intelligent businessman