Anguko la Facebook liko karibu

Sella turcica

Senior Member
Oct 13, 2020
103
190
Niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada,

Ni wazi kuwa wengi wetu tunatumia au tuliwahi kutumia Facebook katika kipindi fulani. Nakumbuka miaka ya 2013 nilikuwa naazima simu kwa watu ili niingie Facebook. Ila baadae niliacha kabisa kutumia huo mtandao.

Lakini mada yangu hasa ni kuhusu WhatsApp na sera ya faragha waliyotoa juzi hapa. Facebook iliinunua WhatsApp mwaka 2014 kwa $19 billion na tangu wakati huo WhatsApp imekuwa ikiingizia Facebook mapato kidogo sana. Kuanzia mwaka 2016 WhatsApp imekuwa ikishare data za watumiaji na kampuni ya Facebook bila wateja kuambiwa. Wapo baadhi waliojitoa ila wengi hawakujua nini kinaendelea.

Juzi kati hapa WhatsApp imekuwa ikituma notification kwa wateja wake kwamba watatakiwa kukubaliana na sera mpya ya faragha kuanzia February 8 au kama hawatakubali basi watashindwa kutumia huduma yao. Watu wengi wamekasirikia hicho kitendo na ikapelekea wemgi kuanza kupakua apps nyingine za kuchat kama telegram na signal. Juzi tarehe 15 wakatoa maelezo ya kuongeza muda kutoka tarehe 8 February hadi 15 May. Hawakusema kuwa watabadilisha chochote, ila wamewapa muda zaidi kwa ajili ya kutafakari.

Sijui Facebook wanajiamini nini hadi kuwa na kiburi cha kuwaambia watu kwamba aidha wakubali data zao kuchukuliwa kwa ajili ya matangazo au waache kutumia WhatsApp. Je, wanadhani kwamba bila WhatsApp maisha hayawezi kwenda?

Facebook imekuwa ikiandamwa na scandals za kutumia vibaya data za wateja wake kwa miaka mingi. Naona kuanguka kwa Facebook kuko njiani.

Zilikuwepo kampuni kubwa tu hapo nyuma lakini walipoharibu na kuchukulia mambo for granted wakapotezwa kwenye soko. Nani alijua kuwa simu za Nokia zingekuja kuwa adimu? Nani alijua BlackBerry ingekuja kupotezwa?

Kitu pekee ambacho kwa sasa Facebook inajivunia ni kwamba WhatsApp ina watumiaji wengi. Almost kila mwenye smartphone atakuwa na WhatsApp. Lakini wakiendelea hivyo mambo yanaweza kuja kubadilika. Kuna apps zinakuja kwa kasi kama telegram na signal. Wasiposoma alama za nyakati suala la Facebook kutawala ulimwengu wa mitandao ya kijamii litakuja kuwa historia.

App-privacy-labels-messaging-apps.jpg
 
kupotea kwa kampuni ya Facebook sio rahisi hivyo, hasa ukizingatia Facebook ndio mmiliki wa company hizi
  1. WhatsApp
  2. Oculus VR
  3. Instagram
  4. CRTL-labs
  5. LiveRail
  6. Onavo
  7. tbh
  8. Redkix
  9. Parse
  10. Atlas Solutions
pia hizi kampuni kubwa zinatabia ya kutumia nguvu ya pesa kuzima kampuni ambazo zinachipuka kuwa washindani, angalia Google waliinunua YouTube, Facebook wakanunua WhatsApp na Insta, angalia Alibaba kanunua karibu kila e-commerce platform za kichina ambazo zilikuwa zinachipukia kwa kasi.

so they use financial power kuua ushindani.
 
Hakuna lisilo la mwanzo.. likakosa mwisho au changamoto.. ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Mkuu ingekuwa hivyo mpaka leo kungekuwa na Blockbuster, Nokia, Blackberry etc

Kampuni zinakufa mkuu usipo address changamoto za wateja wako.
 
Ni suala la Muda tuu kabla ya whatsap yalikuwepo makampuni makubwa na yameshapotea kwenye ramani. Tech inabadilika sana
 
Kupotea kwake kutaanza pale itakapoanzwa kupigwa Ban na mamlaka Mfano India tayari wameshaataarifu Facebook kusitisha mabadiliko ya lazima ya privacy policy. Downloading rate ya Signal imekua kupita mategemeo yao mpaka imebidi wafungue server mpya zakustahimili, Kikweli kampuni ninayofanya kazi imepiga marufuku installation ya apllication yoyote iliyopo chini ya facebook kwenye simu ya kampuni, mawasiliano yote yanatikiwa yafanyike Kupitia Signal, Muda utakua msema kweli ila kama facebook hawatabadilika kwa kuacha kuvuna taarifa za watumiaje wake anguko lao lajaa.
 
Hakuna lisilo la mwanzo.. likakosa mwisho au changamoto.. ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
Microsoft na Apple wao kabla ya Facebook ila mpaka leo wapo. Ni kubadili uelekeo kwenda na wakati si unaona IBM ilikuwa ndiyo kampuni kubwa kwenye masuala ya computer sasa imeondolewa ila imejikita kwingine na inafanya poa sana
 
Kupotea kwake kutaanza pale itakapoanzwa kupigwa Ban na mamlaka Mfano India tayari wameshaataarifu Facebook kusitisha mabadiliko ya lazima ya privacy policy. Downloading rate ya Signal imekua kupita mategemeo yao mpaka imebidi wafungue server mpya zakustahimili, Kikweli kampuni ninayofanya kazi imepiga marufuku installation ya apllication yoyote iliyopo chini ya facebook kwenye simu ya kampuni, mawasiliano yote yanatikiwa yafanyike Kupitia Signal, Muda utakua msema kweli ila kama facebook hawatabadilika kwa kuacha kuvuna taarifa za watumiaje wake anguko lao lajaa.
wasingewabania ilehuduma yao ya kutuma na kupokea pesa whatsapp aisee walikuwa wanakuja ua hawa wengine
 
Microsoft na Apple wao kabla ya Facebook ila mpaka leo wapo. Ni kubadili uelekeo kwenda na wakati si unaona IBM ilikuwa ndiyo kampuni kubwa kwenye masuala ya computer sasa imeondolewa ila imejikita kwingine na inafanya poa sana
Ndio maana hiyo.. zitaibuka zingine pia .. hata Microsoft kabla ya google alikuwa babalao maeneo mengi
 
wasingewabania ilehuduma yao ya kutuma na kupokea pesa whatsapp aisee walikuwa wanakuja ua hawa wengine
Bado wanaifanyia piloting, currently inafanya kazi Brazil. Nina uhakika itakuwa moja ya innovation itakayo warudisha kwa kasi kwenye ramani
 
Niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada,

Ni wazi kuwa wengi wetu tunatumia au tuliwahi kutumia Facebook katika kipindi fulani. Nakumbuka miaka ya 2013 nilikuwa naazima simu kwa watu ili niingie Facebook. Ila baadae niliacha kabisa kutumia huo mtandao.

Lakini mada yangu hasa ni kuhusu WhatsApp na sera ya faragha waliyotoa juzi hapa. Facebook iliinunua WhatsApp mwaka 2014 kwa $19 billion na tangu wakati huo WhatsApp imekuwa ikiingizia Facebook mapato kidogo sana. Kuanzia mwaka 2016 WhatsApp imekuwa ikishare data za watumiaji na kampuni ya Facebook bila wateja kuambiwa. Wapo baadhi waliojitoa ila wengi hawakujua nini kinaendelea.

Juzi kati hapa WhatsApp imekuwa ikituma notification kwa wateja wake kwamba watatakiwa kukubaliana na sera mpya ya faragha kuanzia February 8 au kama hawatakubali basi watashindwa kutumia huduma yao. Watu wengi wamekasirikia hicho kitendo na ikapelekea wemgi kuanza kupakua apps nyingine za kuchat kama telegram na signal. Juzi tarehe 15 wakatoa maelezo ya kuongeza muda kutoka tarehe 8 February hadi 15 May. Hawakusema kuwa watabadilisha chochote, ila wamewapa muda zaidi kwa ajili ya kutafakari.

Sijui Facebook wanajiamini nini hadi kuwa na kiburi cha kuwaambia watu kwamba aidha wakubali data zao kuchukuliwa kwa ajili ya matangazo au waache kutumia WhatsApp. Je, wanadhani kwamba bila WhatsApp maisha hayawezi kwenda?

Facebook imekuwa ikiandamwa na scandals za kutumia vibaya data za wateja wake kwa miaka mingi. Naona kuanguka kwa Facebook kuko njiani.

Zilikuwepo kampuni kubwa tu hapo nyuma lakini walipoharibu na kuchukulia mambo for granted wakapotezwa kwenye soko. Nani alijua kuwa simu za Nokia zingekuja kuwa adimu? Nani alijua BlackBerry ingekuja kupotezwa?

Kitu pekee ambacho kwa sasa Facebook inajivunia ni kwamba WhatsApp ina watumiaji wengi. Almost kila mwenye smartphone atakuwa na WhatsApp. Lakini wakiendelea hivyo mambo yanaweza kuja kubadilika. Kuna apps zinakuja kwa kasi kama telegram na signal. Wasiposoma alama za nyakati suala la Facebook kutawala ulimwengu wa mitandao ya kijamii litakuja kuwa historia.

View attachment 1681338
telegram ndo mchongo
 
kupotea kwa kampuni ya Facebook sio rahisi hivyo, hasa ukizingatia Facebook ndio mmiliki wa company hizi
  1. WhatsApp
  2. Oculus VR
  3. Instagram
  4. CRTL-labs
  5. LiveRail
  6. Onavo
  7. tbh
  8. Redkix
  9. Parse
  10. Atlas Solutions
pia hizi kampuni kubwa zinatabia ya kutumia nguvu ya pesa kuzima kampuni ambazo zinachipuka kuwa washindani, angalia Google waliinunua YouTube, Facebook wakanunua WhatsApp na Insta, angalia Alibaba kanunua karibu kila e-commerce platform za kichina ambazo zilikuwa zinachipukia kwa kasi.

so they use financial power kuua ushindani.
inawezekana katik hizo ulizo taja ninatumia watsapp pekee na Signal pia na tumia na watumiaj wakw wanaanza kua wengi kwa sasa so fb inawez kufa hat hivyo saiv ubola waka usha shuka sana
 
Ndio maana hiyo.. zitaibuka zingine pia .. hata Microsoft kabla ya google alikuwa babalao maeneo mengi
Mpaka sasa hivi ni baba lao, Azure inakuwa triple digit percentage sijui mwaka wa ngapi huu, na Google na Microsoft hata sio wapinzani kwenye main Business zao, mpinzani wa Google mkubwa ni Facebook, na Microsoft mpinzani Mkubwa ni Amazon na Apple/Linux kwa mbali.
 
Wateja walio wengi hawajui izo privacy policy na hawana muda nazo. Sio kila mtu mjuaji kama wewe FB haidondoki kizembe ivo.
 
Mkuu ingekuwa hivyo mpaka leo kungekuwa na Blockbuster, Nokia, Blackberry etc

Kampuni zinakufa mkuu usipo address changamoto za wateja wako.
Nokia Haijakufa, still ni multi Billion Dollar company, na wafanya kazi zaidi ya laki 1. Hii kampuni Umri wake ni zaidi ya miaka 150, ya zamani sana kabla hata ya Ukoloni ipo.

Same Blackberry, japo imekuwa kampuni ndogo ila bado ipo, ni billion dollar company nayo.
 
Back
Top Bottom