Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,072
- 2,306
Facebook is too big to fail
Mkuu unaonaje tellegram na signal ipi bora kkwakoMpaka sasa hivi ni baba lao, Azure inakuwa triple digit percentage sijui mwaka wa ngapi huu, na Google na Microsoft hata sio wapinzani kwenye main Business zao, mpinzani wa Google mkubwa ni Facebook, na Microsoft mpinzani Mkubwa ni Amazon na Apple/Linux kwa mbali.
bora kwa nini mkuu? ni app mbili tofauti zenye malengo tofauti, sijawahi kutumia signal ila ninavyoisoma inajali zaidi privacy, telegram yenyewe ni jack of all trades kuna vitu kibao ndani mpaka ngono, inategemea unatafuta nini.Mkuu unaonaje tellegram na signal ipi bora kkwako
Thanks broo naipenda sana telegram napenda jua hata udhaifu wake mkuubora kwa nini mkuu? ni app mbili tofauti zenye malengo tofauti, sijawahi kutumia signal ila ninavyoisoma inajali zaidi privacy, telegram yenyewe ni jack of all trades kuna vitu kibao ndani mpaka ngono, inategemea unatafuta nini.