Anguko la Clouds TV naliona

Anguko la Clouds TV naliona

MTOA POST USIFANANISHE REDIO INAYOISHIA MLANDIZI NA REDIO INAYOSIKIKA NCHI NZIMA AU UBORA WENU UNAPIMIWA KWA DAR TUU?
 
MTOA POST USIFANANISHE REDIO INAYOISHIA MLANDIZI NA REDIO INAYOSIKIKA NCHI NZIMA AU UBORA WENU UNAPIMIWA KWA DAR TUU?
✓Sasa imagine kwa Tanznaia nzima Wasafifm ni ya tatu na hapo Haina hata miaka 3,but kwa dar es salaam , Zanzibar na pwani ni namba moja.

✓Why hizo mikoa ni Wasafifm na sio clouds fm na ukongwe wao...? Ukipata jibu jiongeze wasafi ikiwa mikoa yote Tanzania itakuwaje sawa.
 
Back
Top Bottom