MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
Hata capt. Komba alisemaga hayo lakini...Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Hizi ni akili za king'ombe ng'ombe zinapatikana lumumba tu. Endeleni kusubiri baada ya uchaguzi mtakuja na hoja cdm haifiki2020.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Unaakili timamu unampa kura mtu aliyelaniwa na mungu hadi kamufukuza upadre kwa uzizi.
Hao uliowataja washawahi kuwa na nyasifa gani? ndani ya chama hicho cha kichaga.
hahhahahhahhahahhah ianguke tena mara mbili
Hao uliowataja washawahi kuwa na nyasifa gani? ndani ya chama hicho cha kichaga.
Akili yako imejaa matope pia uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaMuda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.
siasa za maji taka na mawazo ya kijinga.bas wachaga waliopo MAGAMBANI,CUF,NCCR,TLP wamepotea chama, bkoz chama chao ni CDM___Sasa inabid wachaga wote waliopo nje ya CDM waludi Kwenye chama chao CDM
Chadema siyo chama ni genge la wahalifu ambalo limejificha kwenye siasa.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
bas wachaga waliopo MAGAMBANI,CUF,NCCR,TLP wamepotea chama, bkoz chama chao ni CDM___Sasa inabid wachaga wote waliopo nje ya CDM waludi Kwenye chama chao CDM