Lakini pia hivyo vyama mbadala havijaonyesha nia thabiti ya kumkomboa mwananchi. Mengi waliyoyapinga kwa nguvu zote wakati wa kikwete na Mkapa, ndio hayohayo wamegeuka kuyatetea wakati wa Magufuli.kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
anza maandaliziNimeahidi siku CCM ikifa au hata kuondolewa tu madarakani, ni lazima nifanye karamu nyumbani kwangu.
Kwa sababu mpaka kesho naamini, baada ya kifo cha ccm, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Kwa hali ilivyo sasa, ni Wana ccm wachache pekee ndiyo wanao ifaidi keki ya Taifa vilivyo!
Jitahidi uwe na upande,na ujulikane uko upande gani,usiwe vuguvugu,Mungu hapendi watu vuguvugu.Okay. Ngoja CCM na CHADEMA waje kusema neno.
Ukweli iko hivyo,Bado sana maana wapinzani mna style ya kushambulia mtu na sio chama. Kwa sasa mnaaminisha watu Kikwete alikua msafi kuliko Magufuli hivyo JK akisimama na kuwapigia ngoma mnaicheza vizuri tu.
Aaah Bwana Tumeshazoea shida ,Bora tu itoke hata tukiwa Kama hao.Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
Ukweli iko hivyo,
Tulitegemea Magufuli atamfunika vibaya Sana Kikwete,lakini looo.
Pamoja na Udhaifu wa Kikwete Magufuli kashindwa kabisa kumfunika.
Kwa ujumla Kikwete hakua mtu mbaya ila alikua dhaifu,lakini sio katili.
Jiwe kila sifa ya Ukatili alikua nayo.
Wakati wa Kikwete mishahara ilipanda kila mwaka
Wakati wa Jiwe miaka yote mitano hakuna hata senti tano iliyopanda kwenye mishahara.
Wakati wa Kikwete hapakua na wasiojulikana,
Wakati wa Kikwete Hapakua na task force ya kuchukua fedha za watu benki kibabe,watu hawakukimbia nchi.
Nimeahidi siku CCM ikifa au hata kuondolewa tu madarakani, ni lazima nifanye karamu nyumbani kwangu.
Kwa sababu mpaka kesho naamini, baada ya kifo cha CCM, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Kwa hali ilivyo sasa, ni Wana CCM wachache pekee ndiyo wanao ifaidi keki ya Taifa vilivyo!
Unapotosha kwa kujua au kutojua? Mwenekiti wa CCM alifariki na hajachaguliwa wala kuteuliwa mwingine. Upinzani wameomba kukutana na Rais si Mwenyekiti wa CCM, Lakini hata kama Rais ndiye angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CCM wao wanapoomba kukutana na Rais hawaombi kukutana na Mwenyekiti automatically!, na ndiyo maana watakutana Ikulu na siyo Lumumba au CCM Dodoma!Anguko litatokea wapi wakati wenyeviti wa vyama vipanzani ndo hao wameandika barua za kuonana na mwenyekiti mteule wa CCM?
Unafikiri wamgemwita mheshimiwa ndio angewasikiliza?Kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Lakini kwa kuwa wameweza kufanya mabadiliko, ni kitu kizuri. Waendelee kufanya mabadiliko hadi wapatikane wanaofaa. Warekebishe katiba zao ili walioko madarakani wakihujumu nchi wachuliwe hatua, maana kama hawamuogopi Mungu, basi wataogopa kifungo. Endelea kufuatilia huko BrazilKila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
Kweli imebaki na slogan zilezile. Huku ni ukucha kufikiri. Prof wa jalalani ndie mwasisi wa neno mabeberu kwani alisoma enzo za siasa za mabeberu. Walipotea njia hatuko kwenye ukombozi bali kuendeleza wananchi wetu. Sio kubaguana na kuita wafuasi wa ubeberu hii ni siasa zilizochoka. Nape analijua hili hataki kusema CCM imepoteza direction completely. Siasa za kubaki madarakani kwa dola.CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.
Baada ya uhuru, lengo lilikua kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata Uhuru. Vyama rafiki kama Frelimo, Swapo, ANC nk vilijiunga na sisi. Adui bado alikua ni Kaburu na Beberu. Kwa nia njema kutokana na uchaguzi wa nchi zetu, viongozi wetu waliamua kufuata mfumo wa Kijamaa ili kugawa kilichopo kwa watu wote sawa. Siasa za kijamaa zilitufanya kuwa wahanga wa Vita Baridi kwani tulikuwa upande wa Urusi na China. Mabeberu walituona ni tishio.
Nyakati zinebadilika, sasa hivi tunapigania mabadiliko ya kiuchumi na maisha bora. Mass Media imeleta mabadiliko makubwa. Vijijini watu wanafahamu kuwa wanaweza kuishi kwa umeme wa solar na wakavuna maji ya mvua na kuishi maisha bora zaidi. Mpinzani wetu si Kaburu tena bali ni sisi wenyewe tunataka kuishi maisha bora.
Propaganda za kutubagua na viongozi wa upinzani haziwezekani. Hawa viongozi ni ndugu zetu, tulijua nao, tulisoma nao na wengine ni ninamuonea zetu. Hawa si Makaburu wala si mabeberu. Kama vilivyoanguka vyama vingine vya siasa vilivyopigania uhuru. CCM haipiganii tena ukombozi.
Labda alijitahidi kufanya yale waliyokuwa wakiyapingaLakini pia hivyo vyama mbadala havijaonyesha nia thabiti ya kumkomboa mwananchi. Mengi waliyoyapinga kwa nguvu zote wakati wa kikwete na Mkapa, ndio hayohayo wamegeuka kuyatetea wakati wa Magufuli.
Kaka mkubwa, mimi sio mwanasiasa. Mimi ni mzalendo kwa nchi yangu.Jitahidi uwe na upande,na ujulikane uko upande gani,usiwe vuguvugu,Mungu hapendi watu vuguvugu.
CCM ilishageuka kutoka Chama Cha Siasa na Sasa imekua genge hatari,
Iko kama magenge mengine ya kihalifu.
Mafia
Intarahamwe
Alshabab
Isis
Al qaida
Janjaweed
Renamon
N.k
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasaWewe ni TLP?