Lakini Rais anapotoka hadharani ma kusema mimi ni Jiwe kweli kweli anaregemea mapokeo ya Raia wake yatakuwaje. Kwa kifupi uchaguzi unapofanyiwa figisu na wapinzani kukosa uwakilishi ni kujenga uhasama katika jamii.kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Kwani upinzani ulikuwa ukitetea jamii gani zaidi ya matumbo yao mbunge pekee upinzani aliyekuwa akitetea maendeleo ya jimboni kwake ni Mbowe tu. Wengine wote hakuna kitu akiwemi Lisu na Zitto kabwe nk.Lakini Rais anapotoka hadharani ma kusema mimi ni Jiwe kweli kweli anaregemea mapokeo ya Raia wake yatakuwaje. Kwa kifupi uchaguzi unapofanyiwa figisu na wapinzani kukosa uwakilishi ni kujenga uhasama katika jamii.
Ahha ndiyo maana aliwekwa afisa kipenyo kule Singida Mashariki baada ya Lissu kuvuliwa ubunge akiwa mgonjwa?kwani upinzani ulikuwa ukitetea jamii gani zaidi ya matumbo yao mbunge pekee upinzani aliyekuwa akitetea maendeleo ya jimboni kwake ni Mbowe tu .Wengine wote hakuna kitu akiwemi Lisu na Zitto kabwe nk
Kama mbowe alikuwa anatetea maendeleo jimboni kwanini jimbo lake "lilitakiwa" kwa udi na uvumba?kwani upinzani ulikuwa ukitetea jamii gani zaidi ya matumbo yao mbunge pekee upinzani aliyekuwa akitetea maendeleo ya jimboni kwake ni Mbowe tu .Wengine wote hakuna kitu akiwemi Lisu na Zitto kabwe nk
Alijiita mwenyewe Jiwe acha kujitoa ufahamu.kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Kujiita haikupi mandate ya wewe kumwita mheshimiwa raisi hivyo mfano umemtibua mzazi wako akasema mimi mwendawazimu nikilianzisha hapa mtahama nyumba utakuwa una mu adderess baba yako kama mwendawazimu? Kuwa ohhh wewe mwendawazimu nipe hela ya ada ya chuo nadaiwa? Sababu mwenyewe alijiita mwendawazimu?Alijiita mwenyewe Jiwe acha kujitoa ufahamu
Mkuu tyc Nimeona.Shida si CCM kuanguka au kung'oka madarakani, shida ni je nani atakaeing'oa madarakani!???
Ukiangalia upinzani ulivyo yaani hawafikii hata nusu ya ubora wa CCM kuanzia ktk mfumo wa kidemokrasia, kiuchumi, wingi wa wanachama, rasilimali watu ( hazina ya watu wenye ubora kiuongozi) nk
Mfumo wao wa Kidemokrasia utaona namna bora wenzetu ccm wanavyopokezana kiuongozi kwa mfano kuanzia mwaka 2005 mpaka leo hii 2021 wenzetu wameshakuwa na wenyeviti wa chama takribani WATATU (Mkapa, Jk, Jpm) pamoja na makatibu wasiopungua wanne,, ilhali ukija huku upinzani watu ni ving'aninizi wa madaraka kwa miaka yote wakiamini na kuwaaminisha wanachama kwamba wao pekee ndio wenye uwezo wa kuongoza hivi vyama
Hvyo CCM inaashiria kwamba ina shehena ya talanta za kiuongozi ktk kila ngazi
Kwa kifupi pasipokugusia mambo mengine naomba niishie hapa, ila kwa aina ya upinzani dhaifu tulionao nchini basi itachukua miaka dahali kuiondoa CCM