Mbona haujatoa mlio huko Gaza?Asili yenu ni kifo na fujo.
Asili yenu ni maafa na damu.
Asili yenu ni kuhangamiza na uuaji.
View attachment 3529983
AhahhaMbona haujatoa mlio huko Gaza?
Ripoti ya UN inasema toka yafikiwe makubaliano ya kusitisha vita, Israeli imeendelea kuishambulia Gaza na imeshaua watoto wasiopungua 100 na bado wamewazuia wasifikiwe na chakula wala madawa
Hakuna sehemu yoyote imeongelea ukristo hapo.Niweke tu record vizuri kuwa, Israel hakuna wakristo wala hawamtambui Yesu
Walau Waislam wapo japo sio wengi. Nirahisi kuwaona wakristo Saudi Arabia kuliko kuwaona Israel...
Hivyo msije kujidanganya kushabikia iSRAEL mkifikiri ile ni Nchi ya wakristo; kule hawamtambui Yesu wala......
Niliwaambia watu kuwa njia sahihi ambayo inaweza kuangusha serikali ya iran ni kupitia uislamu wenyewe kwa sababu mtu awezi kuamini kwenye uislamu na akawa na akili ....Serikali pumbavu ya kiislamu ya iran inatumia dini dhidi ya wananchi wake na kufanya ichukiwe ndani ya nchi ....kosa kubwa sana ilo hivyo kufanya adui wa nje kuwa na nguvu...tazama upumbavu wa Samia bushiri ana taka kushindana na nguvu za dunia huku anazidi kuchukiwa ndani ya nchi.Asili yenu ni kifo na fujo.
Asili yenu ni maafa na damu.
Asili yenu ni kuhangamiza na uuaji.
View attachment 3529983
Kwa hiyo umeona ukichomekea kiingereza cha English course ndio tunakuona mzungu au?Hakuna sehemu yoyote imeongelea ukristo hapo.
You are the last person i need a record from, who the fk are u by the way🤣
ANYWAY,
Hapo ni picha kubwa iliofanywa na kikundi cha islamic republic chini ya utawala wa kigaidi wa ayatollah.
PUNGUZA KUNYWA VISUNGURA
Inaelekea hujui ugaidi ni nini? Mpaka uambiwe na marekaniHakuna sehemu yoyote imeongelea ukristo hapo.
You are the last person i need a record from, who the fk are u by the way🤣
ANYWAY,
Hapo ni picha kubwa iliofanywa na kikundi cha islamic republic chini ya utawala wa kigaidi wa ayatollah.
PUNGUZA KUNYWA VISUNGURA
Yule dingi hana stress yoyote ile wenyewe stress ni wale wapiga mikwara, ukisha kua na misimamo Yako katika hii dunia hakuna mpumbavu atakuletea ujinga ujingaAyatollah ndo rais pekee anayepitia wakati mgumu kuliko wote ukanda huo, plus mikwala ya Trump hapo mapigo ya moyo yapo juu juu mda wote.