Anguko la Ayatollah ni anguko la ugaidi duniani

Hakika,

Huyu ndie baba wa machafuko hapo mashariki ya kati.

Ila vijana wa itikadi kali kali wamefumba macho 🤣🤣 kwa maana sio gaza na israel hauhusiki
Baba wa machafuko mashariki ya kati ni marekani kupitia kambi yake ya kijeshi iitwayo Israel, marekani kafanya vurugu Afghanistan kisa kanyimwa mafuta, kafanya vurugu Iraq kisa mafuta,kamteka rais wa Venezuela kisa mafuta,sasa anataka kufanya vurugu Iran kisa mafuta
 
Niweke tu record vizuri kuwa, Israel hakuna wakristo wala hawamtambui Yesu
Walau Waislam wapo japo sio wengi. Nirahisi kuwaona wakristo Saudi Arabia kuliko kuwaona Israel...
Hivyo msije kujidanganya kushabikia iSRAEL mkifikiri ile ni Nchi ya wakristo; kule hawamtambui Yesu wala......
Sasa hapo kwenye thread Ukristo umezungumzwa wapi? Au ndo kuweweseka?
 
Niliwaambia watu kuwa njia sahihi ambayo inaweza kuangusha serikali ya iran ni kupitia uislamu wenyewe kwa sababu mtu awezi kuamini kwenye uislamu na akawa na akili ....Serikali pumbavu ya kiislamu ya iran inatumia dini dhidi ya wananchi wake na kufanya ichukiwe ndani ya nchi ....kosa kubwa sana ilo hivyo kufanya adui wa nje kuwa na nguvu...tazama upumbavu wa Samia bushiri ana taka kushindana na nguvu za dunia huku anazidi kuchukiwa ndani ya nchi.
Ukiachana na njaa, janga jingine ambalo tunalo wanadamu chini ya Jua ni Uislamu.
 
Niweke tu record vizuri kuwa, Israel hakuna wakristo wala hawamtambui Yesu
Walau Waislam wapo japo sio wengi. Nirahisi kuwaona wakristo Saudi Arabia kuliko kuwaona Israel...
Hivyo msije kujidanganya kushabikia iSRAEL mkifikiri ile ni Nchi ya wakristo; kule hawamtambui Yesu wala......
Wapo waisrael kibao wakristo na wanamtambua Yesu vizuri sana.
Yule dingi hana stress yoyote ile wenyewe stress ni wale wapiga mikwara, ukisha kua na misimamo Yako katika hii dunia hakuna mpumbavu atakuletea ujinga ujinga
Ayatollah enzi yake imeisha ndani ya siku chache zijazo ataikimbia Iran
 
Wapo waisrael kibao wakristo na wanamtambua Yesu vizuri sana.

Ayatollah enzi yake imeisha ndani ya siku chache zijazo ataikimbia Iran
Duuh asee kukimbia hakuna mshia mwenye Imani Kafika level ya Ayatollah amkimbie adui, HassanNasralla alipigiwa simu dk za mwisho atoke jengo litalipuliwa lakini aliendelea na shughuli zake akafia Kwenye jengo Hilo hilo
 
Iran endeleeni kuipigania nchi yenu ili kulinda mnayoyaamini,kataeni kuonewa, kataeni kutawaliwa.
Nalog off Z
 
Niliwaambia watu kuwa njia sahihi ambayo inaweza kuangusha serikali ya iran ni kupitia uislamu wenyewe kwa sababu mtu awezi kuamini kwenye uislamu na akawa na akili ....Serikali pumbavu ya kiislamu ya iran inatumia dini dhidi ya wananchi wake na kufanya ichukiwe ndani ya nchi ....kosa kubwa sana ilo hivyo kufanya adui wa nje kuwa na nguvu...tazama upumbavu wa Samia bushiri ana taka kushindana na nguvu za dunia huku anazidi kuchukiwa ndani ya nchi.
Samia mlimchaguwa wenyewe wa Tanganyika , Leo mnapiga kelele Za kazi gani ? Yule aliivamia Zanzibar St Nyerere hamkumwona alichokifanya alipouwa watu zaidi ya elfu 10 ? Wacheni mfaidi matunda ya muungano huku Samia akiwatia vidole vya vutu
 
Uzuri watanganyika wamesha jua kuwa uislamu na mashekh wake ni upumbavu mkubwa sana ndiyo sababu ya mikoa hata yenye waislamu wengi kukataa kumpigia kura Samia licha wa wito wa mashekh nchi nzima ....MASHEKH WAMESHA PUUZWA NA KUONEKANI NI UCHAFU MBELE HATA YA WAISLAMU WENZAO..
 
Watanganyika mlimweka wenyewe kwa kishindo kwenye kumchagua na mkaimba sana kwa ujinga na ufala wenu lakini yote ni karma kwani mliyotufanyia na mnayoendelea kutufanyia Zanzibar Sasa yanawarudia wenyewe
 
Back
Top Bottom