Anguko kuu la CCM, dalili kuu ya kwanza!

Amewatibulia Lowassa, fisadi papa eti anataka uraisi, yaani akipitishwa campaign za UKAWA zitakuwa rahisi sana.
 
Anguko la kwanza la ccm ni kula wali maharage kwenye mikutano yake na lapili kutembea na Fisi kwenye mikutano yake pia mengine ndio inafuata

Chademakwanza
 
Nitasononeka sana kama hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu, nikiwa kama kijana aged 26 yrs natarajia kuwa diwani kupitia CHADEMA oktoba mwaka huu, of koz nasubr kuapishwa kwakuwa nilichowafanya local gvt hawatakuja kusahau.. uchaguz uwepo jaman pakachimbike baraza la madiwani ambalo kwa sasa limejaa maccm tupu
 
1)Kutokana na hali iliyonayo CCM (ya kutokuhangaika kabisa na ukizingatia hali halisi ya upinzani kwa sasa) PENGINE WANA UHAKIKA KUWA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA BADO SANA! KUNA MIAKA MIWILI MBELE (2017? )

Hiyo namba moja hali ya upinzani kwa sasa imenifanya nicheke kidogo.

Upinzani upi unaozungumzia hapo? Ule wa chopa tatu kata tatu au ule wa serikali za mitaa CCM ushindi 78 % na ukawa 22?

Ukiangalia operation mlizofanya, mmezunguka nchi nzima zaidi ya mara kumi na bado hampati matokeo ya kuridhisha. Hapo sasa CCM iumize kichwa kwa lipi?

Sasahivi tunaiogopa CHAUSTA Tuu. Nyie tushawakabidhi nchi yenu ya JF maaana huko mtaani hakuna hata anayewataka.
 
Kwa sasa ilipaswa vyama vya upinzani vijipange na virudi kwa wananchi kuzungunza shida halisi za wananchi
 
Back
Top Bottom