Kagame ndie anaeleta vurugu Congo, ilitakiwa ashugulike na kagame waasi watakimbia wenyewe. Ukitaka kuua nyoka ponda kichwa.
Congo yote ina mali, kwann iwe congo mashariki tu ndo vita
Congo ya Angola imetulia
Congo ya Brazaville imetulia
Congo ya Chad imetulia
Congo ya zambia imetulia
Congo ya sudan imetulia
Kwann huyu mtu mmoja tu wanamlea.
Hao waasi wapo msituni awaaajili
WAGNER Group wanaowavalisha nepi USA na Nato kule Ukraine wawahishe kuzimu mapema, kuliko kulia lia.
Atafute mgodi awape mabosi wa WAGNER GROUP kama malipo. Ndicho walichofanya baadhi ya nchi za West Africa kuleta peace ikiwemo nchi ya Chad hao UN, sijui Piece cop hakuna kitu hapo, labda kama nae yupo na interest nao.