Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,341
- 3,367
Nakala kwa myukrein wa Kajiado MK254Wanajeshi wa Kenya wangefukuzwa hamna kitu wanafanya
Nakala kwa myukrein wa Kajiado MK254Wanajeshi wa Kenya wangefukuzwa hamna kitu wanafanya
si kwa Tanzaniapigo kwa Rwanda maana Angola si wa mchezo mchezo kijeshi yuko imara mno hatumkuti katika ukanda wote wa Afrika Mashariki
Mi nilishangaa Sana watu walishindwa kuwadhibiti Alishababu hapo Jirani tena jangwani waje waweze muziki wa mustuni wa M23 wenye zana imara kuliko jeshi la Kongo. MK254 wapelekeni KDF kule Bakhmut wakapate uzoefu ndo warudi kuwasaidia, maana kazi imewashinda wako busy tu kupiga selfie nakula matunda mwitu.Kwa hiyo kazi tunayo fanya ya kula mabungo misituni siyo kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana tunazidi kubaki masikini.Tunu za taifa letu zinakata kabisa kufanya kitu cha aina hiyo hata kama kuna loophole ya kufanya hivyo. Tungeweza kufanya hivyo Uganda na majirani wazembewazembe ila ukizoea kula nyama ya huwezi kuacha. Sisi ukarimu ni jadi yetu na atakaejaribu kugusa nchi yetu tumuoneshe Moto.
Jeshi la Kenya alisifiki kwa kuiba mkaa wa Somalia na kuusafirisha kwenda na kuuza Arabuni tu, vile vile KDF wana kanuni za kukimbilia/kujiingiza changamkia fursa nyingine kama ya kwenda Congo DRC kwa mfano: lengo lao hasa ni kutaka kuiba madini na si ajabu wanaweza hata kuwa wanahusika kuwapa mambo ya intelijensia M23, we fikiria tangu wameenda Congo umesikia wakijihusisha kwenye operation gani ya maana badala yake tangu jeshi la Kenya liede huko Congo DRC ndio mashambilizi ya M23 yameongezeka exponentially ie kuzidi kupamba moto, wali sisi hilo halitushangazi tunajua vizuri kwamba Kenya hana rafiki wa kudumu hulka zao zimejikita kwenye interest zao za kudumu wanamuiga swahiba wao Amerika - ndio maana hatumushangai a very vocal MK254 wa Uncle SAM na mambo zake, labda analipwa kumpigia debe - who knows?Mi nilishangaa Sana watu walishindwa kuwadhibiti Alishababu hapo Jirani tena jangwani waje waweze muziki wa mustuni wa M23 wenye zana imara kuliko jeshi la Kongo. MK254 wapelekeni KDF kule Bakhmut wakapate uzoefu ndo warudi kuwasaidia, maana kazi imewashinda wako busy tu kupiga selfie nakula matunda mwitu.
Mi nilishangaa Sana watu walishindwa kuwadhibiti Alishababu hapo Jirani tena jangwani waje waweze muziki wa mustuni wa M23 wenye zana imara kuliko jeshi la Kongo. MK254 wapelekeni KDF kule Bakhmut wakapate uzoefu ndo warudi kuwasaidia, maana kazi imewashinda wako busy tu kupiga selfie nakula matunda mwitu.