Angola kutuma Majeshi Kuisaidia DRC

Angola kutuma Majeshi Kuisaidia DRC

pigo kwa Rwanda maana Angola si wa mchezo mchezo kijeshi yuko imara mno hatumkuti katika ukanda wote wa Afrika Mashariki
Hamna pigo lolote agenda ya Angola ni ile ile kugawana rasilimali kule.
Wataenda wachukue chao waondoke.
Mmesahau Savimbi alikua kule zamani sana hata m23 haijaanzishwa,
Kulikua na Bosco Ntaganda,banyamulenge, yule mtoto mkubwa wa Mobutu.
Savimbi anaingia anaiba madini anaondoka daily.
Mpk anakufa alikua njiani kwenda au kurudi toka huko.
Ilikua ni km kwa mkewe.
Kwahiyo Angola hakuna lolote watabadilisha hapo tuseme wanafata chao basi
 
Kagame ndie anaeleta vurugu Congo, ilitakiwa ashugulike na kagame waasi watakimbia wenyewe. Ukitaka kuua nyoka ponda kichwa.
Congo yote ina mali, kwann iwe congo mashariki tu ndo vita
Congo ya Angola imetulia
Congo ya Brazaville imetulia
Congo ya Chad imetulia
Congo ya zambia imetulia
Congo ya sudan imetulia
Kwann huyu mtu mmoja tu wanamlea.
Hao waasi wapo msituni awaaajili
WAGNER Group wanaowavalisha nepi USA na Nato kule Ukraine wawahishe kuzimu mapema, kuliko kulia lia.
Atafute mgodi awape mabosi wa WAGNER GROUP kama malipo. Ndicho walichofanya baadhi ya nchi za West Africa kuleta peace ikiwemo nchi ya Chad hao UN, sijui Piece cop hakuna kitu hapo, labda kama nae yupo na interest nao.
 
Hii sio Angola ya Savimbi.
 
WAGNER Group waliwapeleka magaidi wa ISIS kuzimu, wakamfurusha USA Aalepo Syria, unapeleka makundi ya kulinda amani, badala ya kupeleka makundi ya kwenda kuua waasi.
Hao waasi wakifanyiziwa kwa kuweka haki za binadamu aichukui hata miezi kusambaratishwa.
Hao wamejaa msituni ni kucheza na satellite tu wanatumiwa drones wanawahishwa kuzimu.
 
Attachments

  • IMG_20220419_124027.jpg
    IMG_20220419_124027.jpg
    25.8 KB · Views: 13
Kumbe wako vizuri? Mimi nilikuwa nadhan choka choka tu
sana tu wana
Hawa si waliwahi kuingia mgogoro na Rwanda enzi za Kagame kutua Kinshasa kipindi flani?
Hapana hawa walimsaidia Rwanda kumtoa Lauren Kabila pale DRC lakini kama kawaida Watutsi hawana shukrani hata umsaidia nini kwa kipindi gani analipa roho mbaya tu Angola akachukia akawazuia Rwanda wasiingie kwake kuwatafuta wasaliti wa Rwanda waliojaa jijini Luanda Angola
 
Ni kweli, we jiulize inakuwaje kikundi cha kigaidi cha Daesh kikichokuwepo Syria kwa lengo la kupindua Serikali ya Assad na kilikuwa kinapewa ufadhili wa US hivi sasa suddenly kinahibukia mashariki mwa Congo DRC,jehiinicoincident kweli au kuna mipango inasukwa.

Watu wakimshauri Tshekedi kwamba akodishewanajeshi wengi wa Wagner Group washirikiana na Angola kumaliza tstizo hili sugu - sijui kama Tshekedi anaelewa SOMO au anachukulia hatari inayo nyemelea Taifa lake lightly - hasipo kuwa makini taifa lake litagawanywa na Kivu zote mbili kuwa sehemu ya Rwanda zijui kama analiona hilo, viongozi wa Congo wana ambiwa wawafukuze Wachina wanao miliki migodi kihalali badala yake wawauzie akina Bill Gates na wenzake na wao wanakubaliana na ujinga huu bila ya kuona mbali - unajua kwa nini mtu kama Bill Gates wamepania kuwafukuza wachina kwenye migodi yamadini yahuko Zambia na Congo na vile vile kujiiingiza kwenye masuala ya commercial farming mwisho wa sikuwa introduce GMO seeds ili Afrika ibaki tegemezi ya mbegu zao hisipo kwenda kwao kununua mbegu ulizo hifadhi hazioti mazao yao zanaingilia mpaka mazao ya hasili na kuyaharibu through cross pollunation - jamaa hawa hawana nia njema na bara la Afrika. Tshekedi na viongozi wengine barani Afrika wanapashwa kuwa makini sana.
Plan ni kuhakikisha Congo inagawanywa nchi 5 mojawapo itakuwa mtoto wa Rwanda muongozo wote utatoks kwa Paka
 
Kagame ndie anaeleta vurugu Congo, ilitakiwa ashugulike na kagame waasi watakimbia wenyewe. Ukitaka kuua nyoka ponda kichwa.
Congo yote ina mali, kwann iwe congo mashariki tu ndo vita
Congo ya Angola imetulia
Congo ya Brazaville imetulia
Congo ya Chad imetulia
Congo ya zambia imetulia
Congo ya sudan imetulia
Kwann huyu mtu mmoja tu wanamlea.
Hao waasi wapo msituni awaaajili
WAGNER Group wanaowavalisha nepi USA na Nato kule Ukraine wawahishe kuzimu mapema, kuliko kulia lia.
Atafute mgodi awape mabosi wa WAGNER GROUP kama malipo. Ndicho walichofanya baadhi ya nchi za West Africa kuleta peace ikiwemo nchi ya Chad hao UN, sijui Piece cop hakuna kitu hapo, labda kama nae yupo na interest nao.
Una uwezo mdogo wa kuchambua siasa za kimataifa siku nyingine jifunze kwanza kwa wenzio kabla ya kumwaga uharo wako hapa, ziko documentaries nyingi youtube, vitabu vimechambua vizuri mgogoro wa maziwa makuu, acha uvivu na ushabiki tafuta maarifa kwanza.
 
Kwani hao wengine wanaomaliza migogoro yao hizo siasa za kimataifa hawazioni.
Shirikisha ubongo na akili kabla ujavamia comment.
Wewe kama ni mnufaika wa uporaji Congo tambua pana hatia ya damu za watu kule
 
Ni kweli, we jiulize inakuwaje kikundi cha kigaidi cha Daesh kikichokuwepo Syria kwa lengo la kupindua Serikali ya Assad na kilikuwa kinapewa ufadhili wa US hivi sasa suddenly kinahibukia mashariki mwa Congo DRC,jehiinicoincident kweli au kuna mipango inasukwa.

Watu wakimshauri Tshekedi kwamba akodishewanajeshi wengi wa Wagner Group washirikiana na Angola kumaliza tstizo hili sugu - sijui kama Tshekedi anaelewa SOMO au anachukulia hatari inayo nyemelea Taifa lake lightly - hasipo kuwa makini taifa lake litagawanywa na Kivu zote mbili kuwa sehemu ya Rwanda zijui kama analiona hilo, viongozi wa Congo wana ambiwa wawafukuze Wachina wanao miliki migodi kihalali badala yake wawauzie akina Bill Gates na wenzake na wao wanakubaliana na ujinga huu bila ya kuona mbali - unajua kwa nini mtu kama Bill Gates wamepania kuwafukuza wachina kwenye migodi yamadini yahuko Zambia na Congo na vile vile kujiiingiza kwenye masuala ya commercial farming mwisho wa sikuwa introduce GMO seeds ili Afrika ibaki tegemezi ya mbegu zao hisipo kwenda kwao kununua mbegu ulizo hifadhi hazioti mazao yao zanaingilia mpaka mazao ya hasili na kuyaharibu through cross pollunation - jamaa hawa hawana nia njema na bara la Afrika. Tshekedi na viongozi wengine barani Afrika wanapashwa kuwa makini sana.
Acha fix wewe..nitajie mgodi unaomilikiwa na Bill Gates
 
Kwani hao wengine wanaomaliza migogoro yao hizo siasa za kimataifa hawazioni.
Shirikisha ubongo na akili kabla ujavamia comment.
Wewe kama ni mnufaika wa uporaji Congo tambua pana hatia ya damu za watu kule
Nimekupa ushauri wa bure ni kwa namna gani unaweza kupata maarifa juu ya chanzo na kiini cha mgogoro wa congo. Jaribu kutafuta hata maafisa wa jeshi letu pendwa haya mambo wanayajua vizuri. Jifunze ku argue kwa logic sio kulaumu au kutuhumu watu. Ukiona taifa lolote linalegalega kiusalama ujue makosa yalifanyika mwanzo katika kusimika misingi na tunu za taifa husika. Soma kitabu cha mercant of death, the curse of natural resources na documentaries nyingi. Tafuta wacongo wanaojielewa watakueleza mengi kuhusu nchi yao.

Congo ni taifa ambalo limegawika sana yaani liko vipandevipande ndio maana imekuwa rahisi kwa maadui kujipenyeza na kufanya dhambi provided that kuna mali wanaweza kuvuna.
 
Nakupa homework kwann iwe congo mashariki tu ndo yenye shida.
Mgogoro unaweza ukawa una chanzo lakini ukaendelezwa sababu waendelezaji wanufaika na mgogoro.
Mwanzilishi wa mgogoro wa Congo ni takataka mobutu ambae yupo kuzimu anakula moto akijutia matendo yake.
 
Usijenge hoja kwa huruma au hasira maana utapoteza rationality, tatizo la congo sio la mtu yoyote isipokuwa wacongo wenyewe, maadui wanapata loophole kujipenyeza kutokana na kukosa ulinzi madhubuti wa nchi yao. Taifa lina roho yaani national spirit na pia taifa lina mwili yaani home spirit. Congo ni taifa ambalo halina roho ndio maana mwili wake umeoza unaitaji kupata uhai ili kujitetea na madhira wanayopitia wacongo.

Kuwa na wingi wa natural resources Africa ni laana kwani huleta balaa badala ya baraka. Mashariki ya congo hapawezi kuwa na amani kamwe kwani serikali ya Kinshasa imeshafeli kudhibiti hali ya usalama mahali hapo. Kuna vikundi hivgi vya neighhours vinafanya uhuni ambavyo vingine vinawanufaisha mabwenyebye wa serekalini na jeshini. Ukifika maeneo ya uvira utajionea mwenyewe yaani ni wickleness society. Mgogoro wa congo unaitaji utulivu na data kuweza kuuelewa na sio huruma wala hasira.
 
Back
Top Bottom