Angola kutuma Majeshi Kuisaidia DRC

Angola kutuma Majeshi Kuisaidia DRC

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,751
Reaction score
90,254
Moja kwa Moja kwenye mada.

Angola imesema itatuma Wanajeshi kwenda DRC Congo kufuatia kutoheshimiwa Kwa makubaliano ya kusitisha amani Kati ya M 23 na Wanajeshi wa Serikali..

Angola kama kawaida itasomama na Tchisekedi.

Naona huu mgogoro unazidi kutanuka,soon tutasikia Uganda wanatumia Wanajeshi..

Hadi Sasa Kuna Wanajeshi wa Kenya,Burundi na Umoja wa Mataifa.

pigo kwa Rwanda maana Angola si wa mchezo mchezo kijeshi yuko imara mno hatumkuti katika ukanda wote wa Afrika Mashariki
Nakumbuka enzi jeshi la Congo DRC waliposhirikiana na Zimbabwe/Mugabe (jeshi la Zimbabwe), Jacob Zuma(jeshi la Afrika Kusini) bila ya kufanya mbinu hizo Congo DRC ingegawanywa baina ya Uganda na Rwanda iliyo kuwa na usongo zaidi ni Rwanda na Rwanda iliwahi kupigana na Uganda huko huko Congo, just imagine!
 
Kisa cha wagoni wanapigania mke wa mtu
 
Mpango wa Marekani naona unafanikiwa...
Ni kweli, we jiulize inakuwaje kikundi cha kigaidi cha Daesh kikichokuwepo Syria kwa lengo la kupindua Serikali ya Assad na kilikuwa kinapewa ufadhili wa US hivi sasa suddenly kinahibukia mashariki mwa Congo DRC,jehiinicoincident kweli au kuna mipango inasukwa.

Watu wakimshauri Tshekedi kwamba akodishewanajeshi wengi wa Wagner Group washirikiana na Angola kumaliza tstizo hili sugu - sijui kama Tshekedi anaelewa SOMO au anachukulia hatari inayo nyemelea Taifa lake lightly - hasipo kuwa makini taifa lake litagawanywa na Kivu zote mbili kuwa sehemu ya Rwanda zijui kama analiona hilo, viongozi wa Congo wana ambiwa wawafukuze Wachina wanao miliki migodi kihalali badala yake wawauzie akina Bill Gates na wenzake na wao wanakubaliana na ujinga huu bila ya kuona mbali - unajua kwa nini mtu kama Bill Gates wamepania kuwafukuza wachina kwenye migodi yamadini yahuko Zambia na Congo na vile vile kujiiingiza kwenye masuala ya commercial farming mwisho wa sikuwa introduce GMO seeds ili Afrika ibaki tegemezi ya mbegu zao hisipo kwenda kwao kununua mbegu ulizo hifadhi hazioti mazao yao zanaingilia mpaka mazao ya hasili na kuyaharibu through cross pollunation - jamaa hawa hawana nia njema na bara la Afrika. Tshekedi na viongozi wengine barani Afrika wanapashwa kuwa makini sana.
 
Hapo kwenye mbegu, wakifanikiwa watatutawala mpaka basi maana njaa haina bingwa
 
Back
Top Bottom