Angetile Osiah ang'olewa TFF

Angetile Osiah ang'olewa TFF

Angetile alibugi. Yeye kama mtendaji hakutakiwa kuwa na upande. Nadhani mnakumbumbuka suala la katibu mkuu wa ccm marehemu gama kilichomtoke alipoamua kuwa na upande. Kwenye hili Tenga ana kosa kubwa zaidi la kuwa na upande ingawa hakuwahi kuwa hadharani. Ni utaratibu wa kawaida pia kiongozi mpya anapochaguliwa anatakiwa kuingia na timu mpya. Rais wa marekani hufanya uteuzi wa nafasi 3000.
 
1. Mafanikio hayaji kwa kimwondoa kila anayekutikana madarakani.
2. Si kila mshabiki wa mpira ni mshabiki wa siasa chelema kama unavyoonekana ndivyo ulivyo. Mifano unayoitoa hainihusu kwa sababu unaowatolea hiyo mifano hawanihusu.

Huna lolote ktk Kujenga hoja . Huwezi kutofautisha siasa na utendaji wa serikali na taasisi zake zote. Kaa tulia kalia kula nakulala tu.

Ina maana kaondoa safu nzima au staff wote? Kwa nn yeye tu? Kasome kwanza ndo uje hapa.
 
Kituko cha pili.

1. Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru. Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji. Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi. It's a one man show now.

2. Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi. Hii ni visasi na ubinafsi. Ndio hulka yao hawa jamaa hata Dioniz pale Gymkhana Club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu

Lakini pia kumbuka hawa Jamal na Oseah wana mitizamo tofauti kiuongozi, kwahiyo si busara kuwa na mtendaji ambaye mko tofauti kimtazamo na kiitikadi. Kupata perfomance nzuri lazima muwe na mwelekeo mmoka kama jeshi! Mambo yakienda kombo si lawama itakuwa kwa Jamal?
 
Huna lolote ktk Kujenga hoja . Huwezi kutofautisha siasa na utendaji wa serikali na taasisi zake zote. Kaa tulia kalia kula nakulala tu.

Ina maana kaondoa safu nzima au staff wote? Kwa nn yeye tu? Kasome kwanza ndo uje hapa.

Mimi sikukaribii hata kidogo kwa kusoma. Nimehitimu darasa la kwanza tu. Lakini namshukuru aliyenifundisha kujaribu kijenga hoja mpaka zikakasirisha watu kama wewe. Darasa la pili nakuomba unipeleke kwa mwalimu aliyekuhitimisha kuandika sentensi zisizo utata hata kidogo kama hizi ulizoziwekea alama ya kuuliza.
 
Duuhh!!! Hoja zingine bana. Ngoja nipite zangu.
 
Kifuatacho TFF ni Julio kufungiwa kujihusisha na mambo ya soka kwa miaka 20 (ishirini).

Hata sijui kwa nini? Simba wanamng'ang'ania hana weledi wowote... Zama za Soka la Mdomoni na mboyoyo limepitwa na wakati afungiwe tu!! Haoni wenzake kina Mwambusi, Mkwasa vitendo vinaongea hata Maxime anamshinda?? Hiyo nafasi apewe Matola Julio kapwaya
 
. . . . I wanna clear my wheel once and for all, and I don't care who will fall. . . !

BIG UP Jamal Malinzi!!
 
Mkuu Julio hana adabu alishazoea ugomvi,nakumbuka mapem mwaka huu wakati wa mechi ya simba na Toto Africans pale mwanz alipigwa ngumi baada ya kuanzisha ugomvi akavimba jicho mshari sana huyu jamaa!

Usisahau pia kuna skendo ya Chachandu kule Morogoro...
 
Kituko cha pili.

1. Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru. Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji. Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi. It's a one man show now.

2. Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi. Hii ni visasi na ubinafsi. Ndio hulka yao hawa jamaa hata Dioniz pale Gymkhana Club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu

You said it all.
 
Osiah ambaye aliapa kwamba Malinzi na Wambura hawataingia madarakani ndo mtu wa visasi...

Hivi unategemea Malinzi angeweza kufanya kazi na mtu ambaye alijionesha dhahiri kuwa hataki aingie madarakani kwa kumuwekea vikwazo visivyo na kichwa wala miguu mpaka FIFA wakaingilia kati...

Uchaguzi wa TFF ulitakiwa ufanyike tangu Desemba, 2012 lakini ulisogezwa mbele kwa sababu ya fitna za Osiah na kundi lake dhidi ya Malinzi na Wambura..

Kwenye uongozi haya ni mambo ya kawaida kabisa. Kumbukeni mheshimiwa mkuu wa mkoa fulani wa kipindi kile, yule aliyesema ' Katika msafara wa mamba hata kenge wamo' kitu gani kilimpata baada ya aliyeitwa kenge kuingia enzini! Nilidhani kilichompata yule homeboy kingekuwa fundisho kwa viongozi wengine wenye tabia kama hizo.
 
Kayuni vipi? Yeye fagio hili halimhusu?
 
nafasi ya KM ni kaa la moto, sijawahi kuona anayependwa kwenye hii nafasi
 
Mkuu hilo la kusamehe watu waliokuwa wamefungiwa na kamati hata mm linanitatiza sijui lakini katiba yao labda unampa mamlaka rais kuwafutia watu adhabu kama hizo?..

Kituko cha pili.

1. Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru. Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji. Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi. It's a one man show now.

2. Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi. Hii ni visasi na ubinafsi. Ndio hulka yao hawa jamaa hata Dioniz pale Gymkhana Club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu
 
hapa jamal kachemka ngeta kabakiza miezi miwili tu mkataba wake uishe angemsubiri kwanza amalize muda wake halafu waajiri mtu wanae mpenda . kwa mtaji huu anatengeneza maadui wengi uongozi wake utakuwa mgumu sana.
 
Kwa muono wangu tangu aondoke MWAKALEBELA pale TFF imepwaya sana! niseme2 kiukweli ANGETILE kz ilimshinda nilikuwa nasoma sn MAKALA zake wakati anaandikia Mwanasport Alikuwa mkosoaji sn! Alipoomba nafasi watu walitaka kuona utendaji wake wake ungekuaje! Lkn amedhihirisha UONGOZI cmaneno matupu! Tulipokuwa wadogo wazaz wetu walikuwa wanatukataza kula Sukari tukaazimia tukiwa wakubwa tutakula bila kikwazo matokeo yake tumekuwa wakubwa nacc tunakataza watt wetu Maana yake Uongozi c vile 2navyoona2 kwa NJE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom