Mwanzo mzuri... Ikiwezekana pia huu uonozi uliomaliza muda wake uwajibishwe.
Mwanzo mzuri... Ikiwezekana pia huu uonozi uliomaliza muda wake uwajibishwe.
1. Mafanikio hayaji kwa kimwondoa kila anayekutikana madarakani.Tunataka mafaniko mapya ktk soka lasivyo tuwekeze Timu ya akina dada Tanzanite na Twiga Stars. Mbona hujauliza JK anazo mlipa Ekelege wa TBS na Jairo wa nishati na Madini!!
Kifuatacho TFF ni Julio kufungiwa kujihusisha na mambo ya soka kwa miaka 20 (ishirini).
1. Mafanikio hayaji kwa kimwondoa kila anayekutikana madarakani.
2. Si kila mshabiki wa mpira ni mshabiki wa siasa chelema kama unavyoonekana ndivyo ulivyo. Mifano unayoitoa hainihusu kwa sababu unaowatolea hiyo mifano hawanihusu.
Kikao cha kwanza cha kamati mpya ya utendaji ya TFF kimempa likizo katibu mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika Desember na watamlipa stahiki zake. Kikao iko chini ya Rais Jamal Malinzi, kimeamua kwamba ofisa habari bwana Boniface Wambura atakaimu nafasi ya Angetile kuanzia leo.
Source: mwanaspoti FB page
Ni one man show kweli. Kama alivyo yule jamaa wa ujenzi. Naona Jazba ndiyo inayoongoza TFF kwa sasa.Kituko cha pili.1.Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru.Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji.Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi.Its a one man show now.
2.Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi.Hii ni visasi na ubinafsi.Ndio hulka yao hawa jamaa hata dioniz pale gymkhan club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu
weka ndani Tenga
Ni one man show kweli. Kama alivyo yule jamaa wa ujenzi. Naona Jazba ndiyo inayoongoza TFF kwa sasa.
Ndege wa aina moja huruka pamoja. Na kwa jina lako (Rweyemamu?) haiyumkini basi huyu Malinzi ni home boy wako!Sawa sawa kama kuna baadhi ya watu walikuwa wakionekana wapowapo tu basi wapumzike tu make kila siku kwa mfano tunalia na JK kumweka Mwandosya hana wizara maalumu na afya yake ilivyo so what?
haya akina Lukuvi na Wassira wana msaada gani kwenye baraza la mawaziri? ...mwacheni Malinzi afanye kazi yake si katoa siku 100?ama mlifikiri hizo siku ni kunywa tu na kulala?kuna watakaonuna na kucheka,ndo hivyo.
Mwanzo mzuri... Ikiwezekana pia huu uonozi uliomaliza muda wake uwajibishwe.
Kama wao walivyoongozwa na Jazba mpaka kumuengua Jamal Malinzi kwenye kinyang'anyiro cha urais mapema mwaka huu kabla ya uchaguzi kufutwa na FIFA.
Kama wao walivyoongozwa na Jazba mpaka kumuengua Jamal Malinzi kwenye kinyang'anyiro cha urais mapema mwaka huu kabla ya uchaguzi kufutwa na FIFA.
mkuu julio akifungiwa tutakosa msisimko kwenye ligi, alafu kumbuka uyu jamaa ni kocha wa timu ya taifa