Unataka nikusaidie kutongoza?
yes my best friend, i thank God for giving me this well understandable woman.
Mke wangu ni muelewa..
tupige ngulilii
Cc; Mamndenyi, Arushaone, kibo10, Mtoto halali na hela.
iye meku maka chu nyi ombora ing'anyi kapsa..
si jana tu ulisema utakuja na ukakubali? hutaki tena?
mi ni mwema na nakuhubiria na wewe kwa njia hii
kukufanya uwe mwema, na utulie na mume wako tu!!
Unataka nikusaidie kutongoza?
Siyo mbaya ukiweka nguvu yako
mhhhhh....wewe
haya na ukiri sasa, kuwa ni kweli ulikuwa ukiiba mume asiye wa kwako..
uokolewe!!
Sasa nifanyeje wakati yeye anasubiri ruhusa ya kiwatengu itabidi ndiyo mwenye hati miliki?
Akinizingua chumbani sitambembeleza nampigia simu kiwatengu anamaliza kila kitu